Natafuta mchumba mgumba (asiyeweza kupata mtoto)

flamini

JF-Expert Member
Apr 10, 2015
483
474
Habari

Ni kijana wa miaka 28
Kutokana na matatizo Yangu (kiafya) sitoweza kuzalisha kwa njia ya kawaida.
Ukiacha tatizo hilo,Niko mzima wa afya na mchapa kazi.
Nimejiajiri
Ni msomi,mstaarabu na mvumilivu.
Kama mtoto tunaweza kuasili kama tukikubaliana.

Sifa zako
Uwe mgumba au uwe tayari tuishi bila kuzaa
Usiwe mnene sana
Uwe unajishughulisha
Rangi yoyote

Maswali mengine njoo DM siwezi kuandika kila kitu.
 
Natamani nikushauri kitu upate mtoto kwa upande wa pili.. but too risk
 
Kila la heri ila Kuwa makini upate ambaye hana uwezo wa kuzaa kabisa, kwa nini? ATasema haitaji Mtoto akiwa na malengo yake Halafu Baadae atakuja kukusumbua
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom