Soma hapa nikufundishe kudandia mtumbwi wa vibwengo

samakiurembo

JF-Expert Member
Dec 8, 2021
445
684
Mbinu hii ni ya kijesh kujua nafas yako ndani ya penzi lako na please ifanye hii at your own risk msinitaje hapo baadae mahakamani au ukiwa unahojiwa na waandishi sitaki lawama dandia mtumbwi wa kimbengo kwa mapenzi yako utakachokutana nacho shauri yako.

Ingia kwenye whatsapp ya mpenzi wako andika neno nakupenda au i love you alafu soma mtiririko wa sms zenye jumbe zitakazokuja hapo utajiona upo status gani katika penzi kama chaguo lakwanza au la mwisho unaweza anza kujifanyia majaribio wewe kwanza before bae.

Au kwenye sms za kawaida upande wa searching andika maneno hayo.

Narudia tusitajane wala kulaumiana
 
Vijana wanahangaishwa sana na mapenzi na mahusiano kuliko hata hali zao za maisha......yaani maumivu anayopitia kijana akiwa hana ajira sio kwa kuwa tu na hofu wa ustawi wa maisha yake ya baadae bali kwa kushindwa kuwapata wanawak.......na wengine wakipata ajira wanajisifia ngono na umalaya makazini...... wengine kubadilisha wanawake sehemu walizopanga.....yaani vijana ni kama Wana pepo la ngono.......

Ukikaa kwenye vijiwe story ni ngono na namna ya kumfikisha mwanamke kileleni, dawa za nguvu za kiume, kutembea na wanawake wengi basi.........

Kwa kweli kuna kitu hakipo sawa kwa vijana wetu wa Sasa......
 
Kama huyo mchepuko wake haujui Kiingereza? Hiyo I love you utaikutia wapi?
 
Vijana wanahangaishwa sana na mapenzi na mahusiano kuliko hata hali zao za maisha......yaani maumivu anayopitia kijana akiwa hana ajira sio kwa kuwa tu na hofu wa ustawi wa maisha yake ya baadae bali kwa kushindwa kuwapata wanawak.......na wengine wakipata ajira wanajisifia ngono na umalaya makazini...... wengine kubadilisha wanawake sehemu walizopanga.....yaani vijana ni kama Wana pepo la ngono.......

Ukikaa kwenye vijiwe story ni ngono na namna ya kumfikisha mwanamke kileleni, dawa za nguvu za kiume, kutembea na wanawake wengi basi.........

Kwa kweli kuna kitu hakipo sawa kwa vijana wetu wa Sasa......
Kwa hiyi kijana asingumzie mapenz kama hitaj muhimu la kimwili maisha yake yote azungumzie ajira tu mpaka anakufa au una maana gan mr negativity
 
Hyo sio kwangu mm, katika vitu nimevipa nafasi ya mwisho ni mapenzi, ye kama anaenda kutombwer aende tu ilimradi tunaheshimiana, huo muda wa kuanza kupekua cm ya mtu nautoa wapi kwanza.

Mapenzi ni udhaifu.
 
Umesahau kwamba asilimia 70 ya ubongo wa kijana yeyote huwa kwa mpalange.
Vijana wanahangaishwa sana na mapenzi na mahusiano kuliko hata hali zao za maisha......yaani maumivu anayopitia kijana akiwa hana ajira sio kwa kuwa tu na hofu wa ustawi wa maisha yake ya baadae bali kwa kushindwa kuwapata wanawak.......na wengine wakipata ajira wanajisifia ngono na umalaya makazini...... wengine kubadilisha wanawake sehemu walizopanga.....yaani vijana ni kama Wana pepo la ngono.......

Ukikaa kwenye vijiwe story ni ngono na namna ya kumfikisha mwanamke kileleni, dawa za nguvu za kiume, kutembea na wanawake wengi basi.........

Kwa kweli kuna kitu hakipo sawa kwa vijana wetu wa Sasa......
 
Vijana wanahangaishwa sana na mapenzi na mahusiano kuliko hata hali zao za maisha......yaani maumivu anayopitia kijana akiwa hana ajira sio kwa kuwa tu na hofu wa ustawi wa maisha yake ya baadae bali kwa kushindwa kuwapata wanawak.......na wengine wakipata ajira wanajisifia ngono na umalaya makazini...... wengine kubadilisha wanawake sehemu walizopanga.....yaani vijana ni kama Wana pepo la ngono.......

Ukikaa kwenye vijiwe story ni ngono na namna ya kumfikisha mwanamke kileleni, dawa za nguvu za kiume, kutembea na wanawake wengi basi.........

Kwa kweli kuna kitu hakipo sawa kwa vijana wetu wa Sasa......
🤣🤣🤣 na hapa JF ndo mada pendwa zenye wachangiaji wengi. Daaah!
 
🤣🤣🤣 mwana kulifind mwana kuliget
Nilishafanya huo mchezo, niliishia kugombana alafu nikawa mjinga, niliweka key word mbili, mpenzi, na nakupenda nakazikuta kibao.. nyingi za marafiki wake wa kike, na kwenye makundi yao.. Nika mind kumbe upupu mtu😃😃😃😃 ya mwanaume niliyo ikuta ni ya ndugu yake
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom