Wasalam wana JF za mida hii?
Nimekuja na mada hii, siku hizi wadada wananuka shida. Yaani ukichukua tu namba yake ni kama umejitafutia matatizo, maana ile mnaanza tu mawasiliano utaambiwa na...
Wakuu mambo vipi? Mimi hali yangu si nzuri sana.
Naandika uzi huu nikiwa na maumivu sana kwenye uume wangu, sijui kama alinifanyia makusudi au laa. Kuna mwanamke nimetoka kupiga (kwa leo lengo...
Habari za mchana wapendwa wana JF
Kwanza kabisa natoa ninamshukuru Mungu kwa kunijalia pumzi na afya njema
Napenda kutoa mrejesho wa uzi wangu ambao niliuleta kwenye hili jukwaa umepita muda...
Una mke wako ambaye umeishi naye kwa miaka kadha hadi sasa. Je ni sehemu gani za mwili wake ambazo alama za viganja vyako (fingerprint) zikitafutwa hazitaonekana? (Sitarajii kutajwa sehemu za...
Miriam Lukindo Mauki anaandika;
Ukiona mume wako kachepuka na mfanyakazi wa kazi za ndani (na mara nyingine huwaoa kabisa), kuna mambo mawili;
1. Ni mwanamke mwenye lawama nyingi, yaani...
Bado tupo kwenye kitabu Cha MWANZO...Bado tupo na ukoo wa Yuda....Bado tupo na mjane Tamari.
Ni kitabu Cha MWANZO 38:11-26
Baada ya mzaliwa wa pili wa Yuda kufa(Onan) ...Yuda akamwambia Tamari...
Mambo vipi?
Iwe umeoa au una mpenzi, ukimfumania mubashara utafanya nini? Kama ni kweli unaishi naye kwa akili, utamshika mkono muondoke kuendelea na maisha.
Kama utapiga, kuua, kuzimia, kupata...
Kuna baadhi ya wanaume wanatabia ya kutishia kifo kwa wapenzi au hata wake zao.
Unakuta mwanaume anamwambia mpenzi wake ukichepuka ntakuua.. Halafu bahati mbaya asilimia kubwa wanaosema hivyo ni...
Wakuu,
Usikubali mke au mpenzi wako kuwa na vitu vifuatavyo ambavyo ni hatarishi kwa mahusiano yenu.
1. Usiruhusu mkeo kuwa na bodaboda wake, bobaboda wa mkeo kuna uwezekano mkubwa akamla.
2...
Mimi mwenzenu sijui nimeumbwa na moyo wa namna gani, yaani kuna muda najilaumu kwanini nipo hivi! Mimi huwa sina muda wa kupenda wanawake wengi na siweza kutoka na wanawake wawili kwa kipindi...
Habari za asubuhi wapendwa,
Mimi ni member wa JamiiForums kwa muda mrefu ila nimesajili ID mpya kwa sababu maalum na hayo niliyooyandika ni ya kweli na ndio hali halisi
''Unaroho mbaya ndio...
Ni siku nyingi zimepita, nimeona ni vyema nitoe mrejesho. Kesi ilimalizika mwaka 2017, na nilipata talaka yangu, hilo ndilo jambo la msingi kwangu.
Alifanikiwa kuchukua gari polisi maana polisi...
Habarii..
Kabla ya kuandika huu mkasa uliotokea miezi kadhaa iliyopita, ilibidi niukumbuke sana ule uzi wetu wa kula tunda kimasihara
Acha nifike kwenye mada..
Miezi michache iliyopita, mshkaji...
Habarini wana JF,
Leo nimeamua kushare na nyie jambo linaloniumiza sana sana, mimi ni jinsia Ke. Nilikua na mahusiano na mwanaume niliyempenda lakini amekua akipenda mchezo huo mchafu.
Nakumbuka...
Habari za mchana wapendwa
Kwanza napenda kutoa shukrani zangu za dhati kwa Jamii Forum na members mliotoa michango yenu. Nimeona si vizuri kukaa kimya bila kuleta mrejesho wa kinachoendelea...
Njoo tushirikishane uzoefu kuhusu vizinga vya wanawake wa hapa na pale. Kwa upande wangu kuanzia mwezi wa kwanza hadi sasa mwezi wa kumi vizinga tu nilivyopangua ni zaidi ya milioni 2 na bado hapo...
Mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 28, natafuta mwanamke serious ambaye twaweza kuwa wapenzi. Ninaishi Dar.
Napenda huyo mwanamke awe na vigezo vifutavyo;
Umri: 22-30
Elimu : yoyote...
Ni huyu mke ninaekaa naye, juzi tuligombana mara baada ya yeye kukuta meseji ya mwanamke mwingine akiniomba nimpitishie hela ya kula.
Nikiri wazi kweli nilikosea, na niliongea naye nikijua...
Nilikutana na huyu binti wa kimwera mrembo na nusu guu la bia na shepu la kuombea mkopo bank yoyote nchi hii tukawa tunawasiliana vizur
Siku moja akaja geto akasema hakai saana akaja nikamshika...
Bwana Ali ndoa yake ina mwaka wa tano, tangu ndoa ikiwa na miaka mitatu ugomvi usio na ukomo ulianza. Ali alikuwa akimtuhumu mkewe Asha kwa kutembea na bosi wake.
Mtoto wao ana mwaka wa pili...