Kuanzia January hadi sasa October mapenzi yamekugharimu nini?

Mnyiramba

JF-Expert Member
Jun 19, 2022
1,112
2,953
Njoo tushirikishane uzoefu kuhusu vizinga vya wanawake wa hapa na pale. Kwa upande wangu kuanzia mwezi wa kwanza hadi sasa mwezi wa kumi vizinga tu nilivyopangua ni zaidi ya milioni 2 na bado hapo December haijafika! Hapo ndiyo inaonyesha ni kwa namna gani ukiendekeza wanawake utazidi kujitumbukiza kwenye giza tororo la umaskini!

Kesi tu za baby simu yangu imeibiwa, imeingia maji, imekufa kioo, zinafika 5 kwa wanawake tofauti tofauti. Kesi za kufiwa nyingi zaidi, kesi za kuumwa, umeme kuisha, ada ya chuo, hizi sherehe za kuzaliwa, miadi ya hovyo, pesa za lodge, likizo za kipumbavu!

Kijana wa kiume usipoamka utaumia sana, utajuta sana uzeeni! Wakuu tuendelee tu kupeana mbinu za vizinga maana huwa zipo kasi kama magoli ya Haaland!
 
Leo tu nimemtumia mchepuko 2m anataka kuanzisha pub kama ile ya ireen uwoya.
Kwa hesabu za haraka haraka 10m imeishakata na mwaka haujaisha
 
mwaka huu yamenigharimu sana !Dem nilnnunulia kila kitu cha ndani ,baadae akahamia sehemu nyingne bila kuniambia nikaachana nae mwingne niligharamia nauli alikuw anasoma chuo mwanza kuja songea na akaibiwa simu yake stend nikamnunulia akaja songea akawa anatoka na dereva bajaji nikamtema.
 
12 Reactions
Reply
Back
Top Bottom