Kamwe usikubali mpenzi/mke wako kuwa na vifuatavyo, utapigiwa

Mjina Mrefu

JF-Expert Member
Dec 6, 2016
3,030
3,324
Wakuu,

Usikubali mke au mpenzi wako kuwa na vitu vifuatavyo ambavyo ni hatarishi kwa mahusiano yenu.

1. Usiruhusu mkeo kuwa na bodaboda wake, bobaboda wa mkeo kuna uwezekano mkubwa akamla.

2. Usiruhusu mkeo kuwa na vikundi vya kikoba vya hovyo hovyo. Kule wanashauriana vibaya na wanachepuka wakati mwingine ili kupata hata hela ya marejesho ya vikoba alivyoingia bila wewe kujua.

3. Usiruhusu fundi akaenda kufanya ujenzi au ukarabati nyumbani kwako wakati wewe haupo, mkeo analiwa kilaini sana na fundi.

4. Usiruhusu mkeo kuwa na mazoea na mangi dukani au gengeni. Mkeo atapewa nyongeza ya kitu kidogo tu na mangi na kuliwa kiulainiii!

5. Usiruhusu mazoea ya kijinga kijinga ya mkeo na marafiki wa kiume, watamla! Kumbuka hata nyie mlianza kama marafiki.

Ongeza nyingine,
 
Wakuu,

Usikubali mke wako au Mpenzi wako kuwa na vitu vifuatavyo ambavyo ni hatarishi kwa mahusiano yenu.

1. Usiruhusu mkeo kuwa na bodaboda wake. Bobaboda wa mkeo kuna uwezekano mkubwa akamla.

2. Usiruhusu mkeo kuwa na vikundi vya kikoba vya hovyo hovyo. Kule wanashauriana vibaya na wanachepuka wakati mwingine ili kupata hata hela ya marejesho ya vikoba Alivyoingia bila wewe kujua.

3. Usiruhusu fundi akaenda kufanya ujenzi au ukarabati nyumbani kwako wakati wewe haupo. Mkeo analiwa kilaini sana na fundi.

4. Usiruhusu mkeo kuwa na mazoea na Mangi dukani au gengeni. Mkeo atapewa nyongeza ya kitu kidogo tu na mangi na kuliwa lilainiii

5. Usiruhusu mazoea ya kijinga kijinga ya mkeo na marafiki wa kiume. Watamla. Kumbuka hata nyie mlianza kama marafiki

.. ongeza nyingine

Mwanamke achungwi Kaka!! Mtunze mke wako.....

thamani ya mke ni mavazi, kula vizuri nakulala vizuri watoto wako Wapeleke shule na wakwe zako pia uwaheshimu utaishi kwa raha amigo
 
Wakuu,

Usikubali mke wako au Mpenzi wako kuwa na vitu vifuatavyo ambavyo ni hatarishi kwa mahusiano yenu.

1. Usiruhusu mkeo kuwa na bodaboda wake. Bobaboda wa mkeo kuna uwezekano mkubwa akamla.

2. Usiruhusu mkeo kuwa na vikundi vya kikoba vya hovyo hovyo. Kule wanashauriana vibaya na wanachepuka wakati mwingine ili kupata hata hela ya marejesho ya vikoba Alivyoingia bila wewe kujua.

3. Usiruhusu fundi akaenda kufanya ujenzi au ukarabati nyumbani kwako wakati wewe haupo. Mkeo analiwa kilaini sana na fundi.

4. Usiruhusu mkeo kuwa na mazoea na Mangi dukani au gengeni. Mkeo atapewa nyongeza ya kitu kidogo tu na mangi na kuliwa lilainiii

5. Usiruhusu mazoea ya kijinga kijinga ya mkeo na marafiki wa kiume. Watamla. Kumbuka hata nyie mlianza kama marafiki

.. ongeza nyingine
Usijipe ugonjwa wa moyo mkuu, hoja ya msingi ni usioe kahaba,, basi.
 
mkuu ktk jambo hilo hakuna kanuni yoyote kuwa ukifanya hivi itakuwa vile!!ukitaka kuishi kwa amani dunia hii ya sasa, ni kutofuatilia sana hayo mambo,kwa mkeo/mmeo,
kwani hukusikia juzi kuna jamaa alikuwa hamuamini kabisa mke wake,kuwa akimuacha tu nyumbani pekee yake,house boy ana gonga,akaanza kila akisafiri anaenda naye,lakini hata huko,ilikuwa akimuacha tu lodge yeye akaenda kwenye shughuri iliyompeleka ,huku mwanamke ana gongwa!!!Jamaa imekubali matokeo na kumpa taraka!!!
 
Nitauliza hapa hapa Kuna wanawake wameolewa ila wanashobo sana mfano hivi kwa mliao Kuna wanawake Wana wish wanaume daily happy birthday kweny status zao ilihali wameolewa na jamaa wengi sio ndugu zao waliosoma nao au walitoka nao mkoani ,au wafanyakazi wenzao je mnavumiliaje??
 
Wakuu,

Usikubali mke wako au Mpenzi wako kuwa na vitu vifuatavyo ambavyo ni hatarishi kwa mahusiano yenu.

1. Usiruhusu mkeo kuwa na bodaboda wake. Bobaboda wa mkeo kuna uwezekano mkubwa akamla.

2. Usiruhusu mkeo kuwa na vikundi vya kikoba vya hovyo hovyo. Kule wanashauriana vibaya na wanachepuka wakati mwingine ili kupata hata hela ya marejesho ya vikoba Alivyoingia bila wewe kujua.

3. Usiruhusu fundi akaenda kufanya ujenzi au ukarabati nyumbani kwako wakati wewe haupo. Mkeo analiwa kilaini sana na fundi.

4. Usiruhusu mkeo kuwa na mazoea na Mangi dukani au gengeni. Mkeo atapewa nyongeza ya kitu kidogo tu na mangi na kuliwa lilainiii

5. Usiruhusu mazoea ya kijinga kijinga ya mkeo na marafiki wa kiume. Watamla. Kumbuka hata nyie mlianza kama marafiki

.. ongeza nyingine

Mkeo akiwa wa kuliwa ni kuliwa tuu,huwezi mzuia mwanamke asichepuke ata umfanyie nini'jiulize why mke wa mchungaji kapigwa itakuwa huyo ambaye anapanda bodaboda
 
Wakuu,

Usikubali mke wako au Mpenzi wako kuwa na vitu vifuatavyo ambavyo ni hatarishi kwa mahusiano yenu.

1. Usiruhusu mkeo kuwa na bodaboda wake. Bobaboda wa mkeo kuna uwezekano mkubwa akamla.

2. Usiruhusu mkeo kuwa na vikundi vya kikoba vya hovyo hovyo. Kule wanashauriana vibaya na wanachepuka wakati mwingine ili kupata hata hela ya marejesho ya vikoba Alivyoingia bila wewe kujua.

3. Usiruhusu fundi akaenda kufanya ujenzi au ukarabati nyumbani kwako wakati wewe haupo. Mkeo analiwa kilaini sana na fundi.

4. Usiruhusu mkeo kuwa na mazoea na Mangi dukani au gengeni. Mkeo atapewa nyongeza ya kitu kidogo tu na mangi na kuliwa lilainiii

5. Usiruhusu mazoea ya kijinga kijinga ya mkeo na marafiki wa kiume. Watamla. Kumbuka hata nyie mlianza kama marafiki

.. ongeza nyingine

Kabisa Mkuu.........Hiyo namba 3 ni hatari sana........Inaendana kabisa na wauza urembo au wapaka rangi na kusafisha kucha ,wasiingie ndani kama wewe m/me haupo.

Wake wa mageti kali huwa wanatafunwa sana na hawa wauza mboga mboga au wapaka rangi.
 
Sometimes We're complicating things while there's no need of it.
 
Kilichobaki ni kuwafungia ndani maana wakitoka nje tu imekula kwenu.
 
M
mkuu ktk jambo hilo hakuna kanuni yoyote kuwa ukifanya hivi itakuwa vile!!ukitaka kuishi kwa amani dunia hii ya sasa, ni kutofuatilia sana hayo mambo,kwa mkeo/mmeo,
kwani hukusikia juzi kuna jamaa alikuwa hamuamini kabisa mke wake,kuwa akimuacha tu nyumbani pekee yake,house boy ana gonga,akaanza kila akisafiri anaenda naye,lakini hata huko,ilikuwa akimuacha tu lodge yeye akaenda kwenye shughuri iliyompeleka ,huku mwanamke ana gongwa!!!Jamaa imekubali matokeo na kumpa taraka!naona
 
Kivipi mkuu

Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
Everything has got some principles in life and nature is what drives everything. Miaka inavyobadirika na vitu vinabadirika automatically, kama maisha yamefikia wanawake kutoziheshimu ndoa zao hata kifanyike nini maisha ndio yatakuwa hayo tu. Ila hatusemi kama hakuna waliopo kwenye maadili mazuri ndani ya ndoa wapo tena wengi tu.
Chamsingi ni mwanamke kujitambua nakujiheshimu, ila ukianza kumpa visheria ambavyo havina misingi ndio atajiachia sasa na wa pembeni.
 
Wakuu,

Usikubali mke au mpenzi wako kuwa na vitu vifuatavyo ambavyo ni hatarishi kwa mahusiano yenu.

1. Usiruhusu mkeo kuwa na bodaboda wake, bobaboda wa mkeo kuna uwezekano mkubwa akamla.

2. Usiruhusu mkeo kuwa na vikundi vya kikoba vya hovyo hovyo. Kule wanashauriana vibaya na wanachepuka wakati mwingine ili kupata hata hela ya marejesho ya vikoba alivyoingia bila wewe kujua.

3. Usiruhusu fundi akaenda kufanya ujenzi au ukarabati nyumbani kwako wakati wewe haupo, mkeo analiwa kilaini sana na fundi.

4. Usiruhusu mkeo kuwa na mazoea na mangi dukani au gengeni. Mkeo atapewa nyongeza ya kitu kidogo tu na mangi na kuliwa kiulainiii!

5. Usiruhusu mazoea ya kijinga kijinga ya mkeo na marafiki wa kiume, watamla! Kumbuka hata nyie mlianza kama marafiki.

Ongeza nyingine,
Ndugu yako ni
mtoto wako .hao wanawake wapo tu
 
Back
Top Bottom