Hivi mwenye mapenzi ya kweli huteseka na mapenzi?

kwisha

JF-Expert Member
Sep 9, 2021
1,666
4,365
Mimi mwenzenu sijui nimeumbwa na moyo wa namna gani, yaani kuna muda najilaumu kwanini nipo hivi! Mimi huwa sina muda wa kupenda wanawake wengi na siweza kutoka na wanawake wawili kwa kipindi kimoja. Nikipenda ujue nimependa kweli.

Lakini nimejikuta nimekuwa mtu wa kuumizwa na mapenzi sana, tofauti na wale ambao wanakula na kuondoka! Leo nilikuwa na ongea na mpenzi wangu kwenye simu, kwa bahati nzuri tulivyokuwa tunaongea hakukata simu, alifikiri mimi nimekata simu.

Nikaanza kusikia sauti ya kunitukana, alikuwa anaongea na rafiki yake. Eti amenichoka, mimi ni mwanaume gani ambaye sina vituko, muda wote nipo kimya sana kama mtu ambaye anatoa mzigo chooni. Amechoka na hali yangu, sijui anapenda mwanaume ambaye kidogo ana changamsha akili yake.

Mara anasikia yupo na huyu, sijui yupo na yule, ndiyo raha; mimi na yeye kuwa na ugomvi tuna fanya wiki hatuongei sijui. Aliongea mengi sana, hakika nimeumia sana. Nimejikuta dhaifu sana! Kumbe nilivyo na mahaba kwake yeye hapendi.

Naombeni mbinu za kuwa "Bad boy"!
 
Akishajua unampenda kiburi inaanza na makusudi inalindima
Inakuwa na moyo ambao kila siku unawaka kama upo kwa oven

Mapenzi sura ya kwanza nitasoma ile amri inayosisitiza yasikutese
1:2 Jipende mwenyewe vaa vizuri kula ushibe lala unono na hakika utafurahia maisha ya furaha milele yote
 
Kuna msemo unasema
Never forget what you are, for surely the world will not. Make it your strength. Then it can never be your weakness. Armour yourself in it, and it will never be used to hurt you.

Kuwa makini sanaa na aina ya wanawake unao husiana nao,usibadili utu wako wa ndani kwaajili ya vichaa fulani.
 
Mapenzi yasikusahaulishe we ni Nani .
Usizame miguu miwili ht km anaonekana mtukufu mbele ya macho yako ili mradi ni mtu kaa kitaalam.
#Ukweli husemwa pindi wewe haupo.😁
 
Mimi mwenzenu sijui nimeumbwa na moyo wa namna gani, yaani kuna muda najilaumu kwanini nipo hivi! Mimi huwa sina muda wa kupenda wanawake wengi na siweza kutoka na wanawake wawili kwa kipindi kimoja. Nikipenda ujue nimependa kweli.

Lakini nimejikuta nimekuwa mtu wa kuumizwa na mapenzi sana, tofauti na wale ambao wanakula na kuondoka! Leo nilikuwa na ongea na mpenzi wangu kwenye simu, kwa bahati nzuri tulivyokuwa tunaongea hakukata simu, alifikiri mimi nimekata simu.

Nikaanza kusikia sauti ya kunitukana, alikuwa anaongea na rafiki yake. Eti amenichoka, mimi ni mwanaume gani ambaye sina vituko, muda wote nipo kimya sana kama mtu ambaye anatoa mzigo chooni. Amechoka na hali yangu, sijui anapenda mwanaume ambaye kidogo ana changamsha akili yake.

Mara anasikia yupo na huyu, sijui yupo na yule, ndiyo raha; mimi na yeye kuwa na ugomvi tuna fanya wiki hatuongei sijui. Aliongea mengi sana, hakika nimeumia sana. Nimejikuta dhaifu sana! Kumbe nilivyo na mahaba kwake yeye hapendi.

Naombeni mbinu za kuwa "Bad boy"!

Kifupi ni kwamba wewe ni beta male. Sasa ukitaka kujua zaidi soma kuhusu Male Personalities na charater zao.

Ma beta males mnapigika sana kwenye mahusiano kama ambavyo umesema, mpenzi wako hakuoni kama potential husband, anakuona kama zezeta fulani hivi maana kila mwananke anataka kujihisi kama kabahatika sana kumpata mpenzi anayewavutia wengine siyo mtu hata message za kwenye simu kufumaniwa hamna.

Hapo anajiona kama kaokota kitu ambacho hakipendwi labda kina kasoro. Huku wewe unajifanya mwaminifu.

Tuache sisi ma alpha males tupige mbususu.
 
Huyo sio mwanamke wa wewe, mwache akapate waliochangamka kama yeye
 
Akishajua unampenda kiburi inaanza na makusudi inalindima
Inakuwa na moyo ambao kila siku unawaka kama upo kwa oven

Mapenzi sura ya kwanza nitasoma ile amri inayosisitiza yasikutese
1:2 Jipende mwenyewe vaa vizuri kula ushibe lala unono na hakika utafurahia maisha ya furaha milele yote

Na ukienda pale 1:3 inasema
Na hakikisha unao watatu au wa nne ili ifikapo wakati usiotarajiwa wengine wataziba nafasi yake
 
Mimi mwenzenu sijui nimeumbwa na moyo wa namna gani, yaani kuna muda najilaumu kwanini nipo hivi! Mimi huwa sina muda wa kupenda wanawake wengi na siweza kutoka na wanawake wawili kwa kipindi kimoja. Nikipenda ujue nimependa kweli.

Lakini nimejikuta nimekuwa mtu wa kuumizwa na mapenzi sana, tofauti na wale ambao wanakula na kuondoka! Leo nilikuwa na ongea na mpenzi wangu kwenye simu, kwa bahati nzuri tulivyokuwa tunaongea hakukata simu, alifikiri mimi nimekata simu.

Nikaanza kusikia sauti ya kunitukana, alikuwa anaongea na rafiki yake. Eti amenichoka, mimi ni mwanaume gani ambaye sina vituko, muda wote nipo kimya sana kama mtu ambaye anatoa mzigo chooni. Amechoka na hali yangu, sijui anapenda mwanaume ambaye kidogo ana changamsha akili yake.

Mara anasikia yupo na huyu, sijui yupo na yule, ndiyo raha; mimi na yeye kuwa na ugomvi tuna fanya wiki hatuongei sijui. Aliongea mengi sana, hakika nimeumia sana. Nimejikuta dhaifu sana! Kumbe nilivyo na mahaba kwake yeye hapendi.

Naombeni mbinu za kuwa "Bad boy"!
Hao ndio wanawake. Ukipenda sana anakuona boring, ukiwa muhumi analalamika.

Women mind zinataka constant emotional turmoil iwe ni neg au positive. Ukiwa cool sana wanakuchukulia poa
 
Kifupi ni kwamba wewe ni beta male. Sasa ukitaka kujua zaidi soma kuhusu Male Personalities na charater zao.

Ma beta males mnapigika sana kwenye mahusiano kama ambavyo umesema, mpenzi wako hakuoni kama potential husband, anakuona kama zezeta fulani hivi maana kila mwananke anataka kujihisi kama kabahatika sana kumpata mpenzi anayewavutia wengine siyo mtu hata message za kwenye simu kufumaniwa hamna.

Hapo anajiona kama kaokota kitu ambacho hakipendwi labda kina kasoro. Huku wewe unajifanya mwaminifu.

Tuache sisi ma beta males tupige mbususu.
Sasa ndo umeandika nini?
Kwamba yeye ni beta male na wewe pia ni beta male, ila wewe unatafuna mbususu zaidi?!!!
 
Kifupi ni kwamba wewe ni beta male. Sasa ukitaka kujua zaidi soma kuhusu Male Personalities na charater zao.

Ma beta males mnapigika sana kwenye mahusiano kama ambavyo umesema, mpenzi wako hakuoni kama potential husband, anakuona kama zezeta fulani hivi maana kila mwananke anataka kujihisi kama kabahatika sana kumpata mpenzi anayewavutia wengine siyo mtu hata message za kwenye simu kufumaniwa hamna.

Hapo anajiona kama kaokota kitu ambacho hakipendwi labda kina kasoro. Huku wewe unajifanya mwaminifu.

Tuache sisi ma beta males tupige mbususu.
Edit mstari wa mwisho.
 
Mimi mwenzenu sijui nimeumbwa na moyo wa namna gani, yaani kuna muda najilaumu kwanini nipo hivi! Mimi huwa sina muda wa kupenda wanawake wengi na siweza kutoka na wanawake wawili kwa kipindi kimoja. Nikipenda ujue nimependa kweli.
Kosa lipo humo kwenye bold ,mwanaume hukuumbwa kupenda mwanaume ameumbwa kumjali/kuwajali wale wanaomzunguka akienda zaidi ya hapo ndo humkuta yanayokukuta.

Uache kumpenda mama yako aliyekuzaa ujikute busy na mtu hujui hata alitokana na nini?
 
Pole sana, anapendwa kupigwa matukio... hahaha

Weka picha yake upewe muongozo...

Depal pitia hapa...
 
Back
Top Bottom