Hii hali ya kumpenda mchepuko kimapenzi kupita mke/mume wako dawa yake ni nini?

44mg44

JF-Expert Member
Jun 16, 2019
2,135
2,139
Wadau nianzie upande wa wanaume, imagine umepata mchepuko mzuri na mwenye shape + chura kuzidi mkeo, yaani siku ukikutana na huo mchepuko mahaba yananoga hasa hasa ukilinganisha na wife wako unaona kabisa wife kazidiwa.

Na hii hali imepelekea wanaume wengi sana kuvuruga ndoa zao, pia wengine waliamua kuwa na nyumba ndogo, na baadhi hupiga kisirisiri hadi wanasababisha mimba na mimba hizo huzikataa kwa kuhofia usalama wa ndoa zao.

Sasa nini kifanyike ili kumshinda huyu shetani? Hata kwa upande wa wanawake nako ipo vile vile, unakuta unapokuwa kwa mchepuko mapenzi yananoga ukiwa na mmeo hata huna hamu naye. Nini kifanyike wadada?
 
Wanasema uwanja ukiuzoea sana pira huwa halinogi! Na ukipata ndondo lazima uone pira linanoga!!
Naimani umeelewa! 🤦🏾‍♂️🤦🏾‍♂️🤦🏾‍♂️
 
Bado sjaelewa!! Pia naona Kama upo nje ya mada,,hebu isome vizur mada uielewe harafu uchangie tena
 
Focus kwenye Kilichokusababisha uchepuke

-Usichepuke TU ili mradi kuiga iga kama vile uchepukaji umefanya ni fashion

-Usichepuke kwa hisia mpk ukababaishwa na urembo wa Mchepuko mpk kufikia kumshushia thamani hadharani mkeo ulomuweka ndani. It's better Mengine yabaki TU kifuani mwako Kama mwanaume.

- Unapochepuka jua kabisa mke Ni wakudumu na Mchepuko Ni wakupita.
Usiwekeze sana ukajisahau na ujue Kuna uzima maradhi na kufilisika.
Hakuna mwanaume anakwenda kuugulia kwa Mchepuko, wote tukiugua au kufilisika tunarudi kwa mama mjengo.
 
Focus kwenye Kilichokusababisha uchepuke

-Usichepuke TU ili mradi kuiga iga kama vile uchepukaji umefanya ni fashion

-Usichepuke kwa hisia mpk ukababaishwa na urembo wa Mchepuko mpk kufikia kumshushia thamani hadharani mkeo ulomuweka ndani. It's better Mengine yabaki TU kifuani mwako Kama mwanaume.

- Unapochepuka jua kabisa mke Ni wakudumu na Mchepuko Ni wakupita.
Usiwekeze sana ukajisahau na ujue Kuna uzima na maradhi.
Hakuna mwanaume anakwenda kuugulia kwa Mchepuko, wote tukiugua au kufilisika tunarudi kwa mama mjengo.
Shukran Soma mkuu,umetoa SoMo zuri Sana hasa hasa mistari miwili ya mwisho,wachepukaj wote nawaomba wasome hapa ili wapate somo
 
Kwaiyo wake ni makombo mpaka muugue ama mfilisike ndo mrudi??? Do you think it is right??? Yani unasubiri uumwe au ukose fedha ndo utulie kwa mkeo..na unajisifu...
Chisossss....
 
Wadau nianzie upande wa wanaume, imagine umepata mchepuko mzuri na mwenye shape + chura kuzidi mkeo, yaani siku ukikutana na huo mchepuko mahaba yananoga hasa hasa ukilinganisha na wife wako unaona kabisa wife kazidiwa.

Na hii hali imepelekea wanaume wengi sana kuvuruga ndoa zao, pia wengine waliamua kuwa na nyumba ndogo, na baadhi hupiga kisirisiri hadi wanasababisha mimba na mimba hizo huzikataa kwa kuhofia usalama wa ndoa zao.

Sasa nini kifanyike ili kumshinda huyu shetani? Hata kwa upande wa wanawake nako ipo vile vile, unakuta unapokuwa kwa mchepuko mapenzi yananoga ukiwa na mmeo hata huna hamu naye. Nini kifanyike wadada?
Hili swali angeweza kujibu the late mchepuko wa Monica Masanja
 
Kwaiyo wake ni makombo mpaka muugue ama mfilisike ndo mrudi??? Do you think it is right??? Yani unasubiri uumwe au ukose fedha ndo utulie kwa mkeo..na unajisifu...
Chisossss....
Wew una shauri nin ??
 
Wew una shauri nin ??
Kiukweli mpaka unaamua kuoa ulikua unajua nini unafanya. Shetani msimtaje. Mungu amekupa uwezo wa kuchagua. Unajua uzinzi ni dhambi na unaufanya..your choice.

By the way Mungu aliekuumba, amekupa pumzi, anakupa uzima..wengine mna bahati mnapewa mke mwema, Mungu anakulinda na kukupa uponyaji ukiumwa...lakini humuheshimu unafikiri utamheshimu mkeo???? Sio rahisi.

Ili kumpenda na kumuenzi mke lazima udumu na kukaa katika Imani. Kumshinda shetani wa kuchepuka lazima uwe unasali na kujaa hofu ya Mungu ama kuswali sana.

My take: we chepuka tu m*** si yako bwana, hela si zako, ujana si wako. Do what you want. Hata kumi kuwa nao. Mke kitu gani mkuu...mke si makombo ambayo mkishafulia na kuumwa ndo mnarudi. Its your choice
 
Nimekupata mkuu!!
 
Wengi mnaogopa kusema ukweli maana waume au wake zenu wako hum
 
Back
Top Bottom