Mungu amekataza kuzini sio kuoa mke zaidi ya mmoja

karv

JF-Expert Member
Dec 26, 2019
1,799
3,221
Habari zenu mabibi na mabwana

Leo katika pita pita zangu nimekutana na andiko moja ambalo jamaa ametusema wanaume vibaya sana nami nimelikopi na kulileta kwenu kama hivi

""Mwanaume anayeweza kuzishinda hisia zake za mapenzi ndiye atakayeweza kuishi maisha marefu. Chanzo Cha kufeli Kwa wanaume wengi kinatokana na kuwa na Wanawake wengi.

Wanawake wengine wamebeba roho za mauti kitendo Cha kulala naye TU maisha Yako yote yanaharibika.

Zingatia mambo yafuatayo

1: mwanaume kamili ni yule mwenye mwanamke mmoja katika maisha yake.

2:Zuia hisia zako za mapenzi Kama hutaki kuishi maisha mafupi nayaliyojaa umasikini ndani yake.

3: Usimtake mwanamke kisa ana makalio makubwa au ana mwili wenye kuamsha hisia za mapenzi ...kumbuka shetani Yuko kazini.

4:Sio Kila kilicho chini ya sketi ya mwanamke kinafaa kula vingine ni sumu Kali na vimeangamiza wengi.

5:Kuwa na mke mmoja haimanishi kuwa mke wako anakutawala Bali inaonyesha ni jinsi Gani umekomaa na una uwezo wa kushinda vishawishi vya Dunia hii.

6:Muheshimu mwanamke uliye naye maana kiasi utakachompimia ndicho atakachokupimia pia

7: Hakuna mwanadamu aliyewahi kufurahiwa na kuchukuliwa wa mfano kwakuendekeza umalaya.""

Basi katika hilo andiko lake huyo anayejiita mtumishi wa Mungu kuna baadhi ya sehemu amesema kweli ila sehemu kubwa sana amepuyanga.

Kwanza kabisa naungana na yeye kwamba anguko la mwanaume siku zote husababishwa na mwanamke hasa asiyefaa katika maisha yake mwanamke asiyejali na asiye na maono mfano: Samsoni, Adamu, Suleiman, Daudi huwa nasema kila siku hata shetani mwenyewe amemshindwa mwanaume ndio maana mara nyingi huwa anatumia wanawake ili kuhakikisha mwanaume anaanguka katika hili wanaume tuwe makini kuchagua.

Lakini sio kila mwanaume mwenye wanawake wengi wa ndoa amefeli kwenye maisha yake

Wapo watu wana wanawake wengi na wanaishi maisha ya furaha na amani kuliko hata hao wanaume wenye mke mmoja ambao kila siku wanakaa vikao vya upatanishi. Kwa haraka haraka mwanaume mwenye wanawake wengi anafuraha sana kuliko mwenye mke mmoja.

Mpende mwanamke kutokana na vigezo ambavyo wewe unataka kama hana vyote tafuta mwingine na mwingine na mwingine ili mradi katika wale uliokuwa nao basi wote wanavigezo ambavyo wewe unavitaka. Kama unapenda tako na weupe tafuta ukipata mwenye tako mweusi oa akijitokeza mweupe tako dogo oa ili kufidia pale.

Tunachotafuta chini ya sketi ya mwanamke ni kimoja lakini utamu ni tofauti. Ndio maana kuna visima vina kina kirefu na majani mengi pembeni na maji yapo kidogo ni ruksa tafuta kisima chenye kina kifupi na maji kiasi au mengi ili mradi ufurahie maisha yako.

Kuishi na mke mmoja ni kazi sana ambao mpo kwenye ndoa mnalijua hili.

Huu uzi wangu sio kwamba nahamasisha mitala hapana isipokuwa nataka niwaambie kwamba kwenye vitabu vyoooote vya dini hakuna kitabu ambacho Mungu amesema oeni mke mmoja hapana. Isipokuwa usifanye zinaa oa hata 10 kama unaweza ila usifanye zinaa.

NIPO NASUBIRI KUPIGWA MAWE

FB_IMG_16611495733534992.jpg
 
Huyo jamaa ameongea vyema sana. kwamba anguko la mwanaume linatokana na mwanamke, hapa naongelea mwanamke mzinifu/malaya hata kama yupo kwenye ndoa takatifu.

Ndio maana dini zikaturuhusu kumpa talaka mara moja mke msalaiti/mzinifu maana tayari ameshakaribisha roho ya uchafu, roho ya kishetani na mabalaa ndani ya familia, hivyo ni rahisi Mwanaume kukumbwa na hayo maroho machafu kama hatafata maagizo ya kumuacha huyo mwanamke, lakini pia Mungu anachukia kitu kinaitwa “kuachana” kwa maana mlishafunga agano la damu na likapitishwa mbinguni,

Basi kutokana na Mungu wetu mwenye rehema kuchukia sisi wanandoa wa agano la damu kuachana, akatuwekea sakramenti ya kitubio, kukubali na kutubu dhambi zetu ili kumkaribisha roho wa Mungu ndani yetu ili tusiingiliwe na roho wachafu/mapepo, hapo ndo Mwanamke mzinzi anapata neema ya utakaso.

Kutokana na hayo maelezo hapo juu inaonesha jinsi gani Mume anabidi awe mlinzi wa mke wake tena kwa uangalifu sana, kwa maana shetani humtumia mwanamke mzinifu kama mlango wa kupitia, kuingia ndani ya familia na kuingamiza, ndio maana shetani amewekeza sana kwenye taasisi ya ndoa maana wengi hatusomi maandiko, tumejikita sana kutafuta pesa.

Sasa hapo jiulize mwenyewe utaweza kuwachunga wanawake 4–10? Ili usikaribishe najisi ndani ya nyumba yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huhitaji dini kukwambia kama hiki fanya ama hiki usifanye. Ukiwa na akili timamu na unafikiri sawa sawa unajua tu mwenyewe.

Hili la mwanaume kua na mwanamke mmoja huhitaji elimu ya darasa la 7 kujua kua ni utaahira na pia ni ulemavu wa kufikiri na wa viungo.

Mwanaume unaanzaje kua na mwanamke mmoja? Mzee wangu hakua na mwanamke mmoja, babu yangu hata kama hakwenda shule alijua mke mmoja ni ulemavu, babu yake baba the same, babu yake babu hivyo hivyo na kuendelea.

Halafu leo waje watokee wazungu huko mashoga wanishawishi niwe na mwanamke mmoja, nimerogwa?
 
Naunga mkono hoja
 
Habari zenu mabibi na mabwana

Leo katika pita pita zangu nimekutana na andiko moja ambalo jamaa ametusema wanaume vibaya sana nami nimelikopi na kulileta kwenu kama hivi

""Mwanaume anayeweza kuzishinda hisia zake za mapenzi ndiye atakayeweza kuishi maisha marefu. Chanzo Cha kufeli Kwa wanaume wengi kinatokana na kuwa na Wanawake wengi.

Wanawake wengine wamebeba roho za mauti kitendo Cha kulala naye TU maisha Yako yote yanaharibika.

Zingatia mambo yafuatayo

1: mwanaume kamili ni yule mwenye mwanamke mmoja katika maisha yake.

2:Zuia hisia zako za mapenzi Kama hutaki kuishi maisha mafupi nayaliyojaa umasikini ndani yake.

3: Usimtake mwanamke kisa ana makalio makubwa au ana mwili wenye kuamsha hisia za mapenzi ...kumbuka shetani Yuko kazini.

4:Sio Kila kilicho chini ya sketi ya mwanamke kinafaa kula vingine ni sumu Kali na vimeangamiza wengi.

5:Kuwa na mke mmoja haimanishi kuwa mke wako anakutawala Bali inaonyesha ni jinsi Gani umekomaa na una uwezo wa kushinda vishawishi vya Dunia hii.

6:Muheshimu mwanamke uliye naye maana kiasi utakachompimia ndicho atakachokupimia pia

7: Hakuna mwanadamu aliyewahi kufurahiwa na kuchukuliwa wa mfano kwakuendekeza umalaya.""

Basi katika hilo andiko lake huyo anayejiita mtumishi wa Mungu kuna baadhi ya sehemu amesema kweli ila sehemu kubwa sana amepuyanga.

Lakini sio kila mwanaume mwenye wanawake wengi wa ndoa amefeli kwenye maisha yake

Huu uzi wangu sio kwamba nahamasisha mitala hapana isipokuwa nataka niwaambie kwamba kwenye vitabu vyoooote vya dini hakuna kitabu ambacho Mungu amesema oeni mke mmoja hapana. Isipokuwa usifanye zinaa oa hata 10 kama unaweza ila usifanye zinaa.

NIPO NASUBIRI KUPIGWA MAWE

View attachment 2334930
Umechelewa sana kulijua hili..kiufupi kuoa wake wengi ndio asili ya ulimwengu...

Wazungu walitulisha matango pori kwasababu ya ufinyu wa bajeti zao.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Habari zenu mabibi na mabwana

Leo katika pita pita zangu nimekutana na andiko moja ambalo jamaa ametusema wanaume vibaya sana nami nimelikopi na kulileta kwenu kama hivi

""Mwanaume anayeweza kuzishinda hisia zake za mapenzi ndiye atakayeweza kuishi maisha marefu. Chanzo Cha kufeli Kwa wanaume wengi kinatokana na kuwa na Wanawake wengi.

Wanawake wengine wamebeba roho za mauti kitendo Cha kulala naye TU maisha Yako yote yanaharibika.

Zingatia mambo yafuatayo

1: mwanaume kamili ni yule mwenye mwanamke mmoja katika maisha yake.

2:Zuia hisia zako za mapenzi Kama hutaki kuishi maisha mafupi nayaliyojaa umasikini ndani yake.

3: Usimtake mwanamke kisa ana makalio makubwa au ana mwili wenye kuamsha hisia za mapenzi ...kumbuka shetani Yuko kazini.

4:Sio Kila kilicho chini ya sketi ya mwanamke kinafaa kula vingine ni sumu Kali na vimeangamiza wengi.

5:Kuwa na mke mmoja haimanishi kuwa mke wako anakutawala Bali inaonyesha ni jinsi Gani umekomaa na una uwezo wa kushinda vishawishi vya Dunia hii.

6:Muheshimu mwanamke uliye naye maana kiasi utakachompimia ndicho atakachokupimia pia

7: Hakuna mwanadamu aliyewahi kufurahiwa na kuchukuliwa wa mfano kwakuendekeza umalaya.""

Basi katika hilo andiko lake huyo anayejiita mtumishi wa Mungu kuna baadhi ya sehemu amesema kweli ila sehemu kubwa sana amepuyanga.

Lakini sio kila mwanaume mwenye wanawake wengi wa ndoa amefeli kwenye maisha yake

Huu uzi wangu sio kwamba nahamasisha mitala hapana isipokuwa nataka niwaambie kwamba kwenye vitabu vyoooote vya dini hakuna kitabu ambacho Mungu amesema oeni mke mmoja hapana. Isipokuwa usifanye zinaa oa hata 10 kama unaweza ila usifanye zinaa.

NIPO NASUBIRI KUPIGWA MAWE

View attachment 2334930
Ni kweli hajakataza, ila ukirejea kwenye bible Yesu aliwaambia mitume wake,

Mathayo 18:18​

“Nawaambieni kweli, mtakachofunga duniani kitafungwa mbinguni, na mtakachofungua duniani kitafunguliwa mbinguni".
Kwaiyo walipewa mamlaka ya kuamua, kuoa mke mmoja ni sheria ya kanisa iliyowekwa na mtume Petro na wala sio sheria ya Mungu
 
Hata uwe na mwanamke mmoja joto la maisha kupanda na kushuka, kupata na kukosa lazma likupate.
 
Nitajie matajiri 10 Tanzania wenye MKE mmoja

Nitajie manabii 3 kwenye biblia waliokua matajiri wenye MKE mmoja
 
Habari zenu mabibi na mabwana

Leo katika pita pita zangu nimekutana na andiko moja ambalo jamaa ametusema wanaume vibaya sana nami nimelikopi na kulileta kwenu kama hivi

""Mwanaume anayeweza kuzishinda hisia zake za mapenzi ndiye atakayeweza kuishi maisha marefu. Chanzo Cha kufeli Kwa wanaume wengi kinatokana na kuwa na Wanawake wengi.

Wanawake wengine wamebeba roho za mauti kitendo Cha kulala naye TU maisha Yako yote yanaharibika.

Zingatia mambo yafuatayo

1: mwanaume kamili ni yule mwenye mwanamke mmoja katika maisha yake.

2:Zuia hisia zako za mapenzi Kama hutaki kuishi maisha mafupi nayaliyojaa umasikini ndani yake.

3: Usimtake mwanamke kisa ana makalio makubwa au ana mwili wenye kuamsha hisia za mapenzi ...kumbuka shetani Yuko kazini.

4:Sio Kila kilicho chini ya sketi ya mwanamke kinafaa kula vingine ni sumu Kali na vimeangamiza wengi.

5:Kuwa na mke mmoja haimanishi kuwa mke wako anakutawala Bali inaonyesha ni jinsi Gani umekomaa na una uwezo wa kushinda vishawishi vya Dunia hii.

6:Muheshimu mwanamke uliye naye maana kiasi utakachompimia ndicho atakachokupimia pia

7: Hakuna mwanadamu aliyewahi kufurahiwa na kuchukuliwa wa mfano kwakuendekeza umalaya.""

Basi katika hilo andiko lake huyo anayejiita mtumishi wa Mungu kuna baadhi ya sehemu amesema kweli ila sehemu kubwa sana amepuyanga.

Lakini sio kila mwanaume mwenye wanawake wengi wa ndoa amefeli kwenye maisha yake

Huu uzi wangu sio kwamba nahamasisha mitala hapana isipokuwa nataka niwaambie kwamba kwenye vitabu vyoooote vya dini hakuna kitabu ambacho Mungu amesema oeni mke mmoja hapana. Isipokuwa usifanye zinaa oa hata 10 kama unaweza ila usifanye zinaa.

NIPO NASUBIRI KUPIGWA MAWE

View attachment 2334930
Wapi hapo Mungu aliposema tuoe wanawake zaidi ya mmoja?? Weka kifungu sio kumsemea Mungu
 
Nitajie matajiri 10 Tanzania wenye MKE mmoja

Nitajie manabii 3 kwenye biblia waliokua matajiri wenye MKE mmoja
Unataka manabii au manabii matajiri Ili kulinganisha hoja yako? Maana wapo manabii sio tu kuwa na mke Mmoja Bali hawakuwa na mke kabisa
 
Ni kweli hajakataza, ila ukirejea kwenye bible Yesu aliwaambia mitume wake,

Kwaiyo walipewa mamlaka ya kuamua, kuoa mke mmoja ni sheria ya kanisa iliyowekwa na mtume Petro na wala sio sheria ya Mungu
Wapi pameandikwa kwenye biblia kwamba oa mke Mmoja hebu acha mahubiri janja janja
 
Unataka manabii au manabii matajiri Ili kulinganisha hoja yako? Maana wapo manabii sio tu kuwa na mke Mmoja Bali hawakuwa na mke kabisa
Kama nabii nani nabii Tito au
 
Habari zenu mabibi na mabwana

Leo katika pita pita zangu nimekutana na andiko moja ambalo jamaa ametusema wanaume vibaya sana nami nimelikopi na kulileta kwenu kama hivi

""Mwanaume anayeweza kuzishinda hisia zake za mapenzi ndiye atakayeweza kuishi maisha marefu. Chanzo Cha kufeli Kwa wanaume wengi kinatokana na kuwa na Wanawake wengi.

Wanawake wengine wamebeba roho za mauti kitendo Cha kulala naye TU maisha Yako yote yanaharibika.

Zingatia mambo yafuatayo

1: mwanaume kamili ni yule mwenye mwanamke mmoja katika maisha yake.

2:Zuia hisia zako za mapenzi Kama hutaki kuishi maisha mafupi nayaliyojaa umasikini ndani yake.

3: Usimtake mwanamke kisa ana makalio makubwa au ana mwili wenye kuamsha hisia za mapenzi ...kumbuka shetani Yuko kazini.

4:Sio Kila kilicho chini ya sketi ya mwanamke kinafaa kula vingine ni sumu Kali na vimeangamiza wengi.

5:Kuwa na mke mmoja haimanishi kuwa mke wako anakutawala Bali inaonyesha ni jinsi Gani umekomaa na una uwezo wa kushinda vishawishi vya Dunia hii.

6:Muheshimu mwanamke uliye naye maana kiasi utakachompimia ndicho atakachokupimia pia

7: Hakuna mwanadamu aliyewahi kufurahiwa na kuchukuliwa wa mfano kwakuendekeza umalaya.""

Basi katika hilo andiko lake huyo anayejiita mtumishi wa Mungu kuna baadhi ya sehemu amesema kweli ila sehemu kubwa sana amepuyanga.

Lakini sio kila mwanaume mwenye wanawake wengi wa ndoa amefeli kwenye maisha yake

Huu uzi wangu sio kwamba nahamasisha mitala hapana isipokuwa nataka niwaambie kwamba kwenye vitabu vyoooote vya dini hakuna kitabu ambacho Mungu amesema oeni mke mmoja hapana. Isipokuwa usifanye zinaa oa hata 10 kama unaweza ila usifanye zinaa.

NIPO NASUBIRI KUPIGWA MAWE

View attachment 2334930
Unajua amri kumi za Mungu ??
Hata kama wewe ni muislamu unajua.
Kuna ile inayosema usimtamani mke wa jirani yako .
Sio usitamani wake za jirani yako so acha kudanganya watu mchana kweupe usizini usiue ukiwa na mke zaidi ya mmoja ni unazini
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom