Kwanini mapenzi ni gundu kwa wengine?

Kwanini mapenzi ni gundu kwa wengine?

mmmuhumba

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2017
Posts
493
Reaction score
480
Kuna watu tokea wayajue mapenzi, hawana raha nayo ni kama wapo ukanda wa vita.

Yamewafanya wawe walevi, wafirisike, wapoteze kazi na marafiki na wamekuwa ni watu wenye misongo ya mawazo.

Ukiwa na tatizo katika mahusiano upaswi kujitenga na kuwa kimya, zungumza ama funguka.
 
Ukikimbilia sura na maumbile + Kujidanganya kinafsia na kuwapuuza waliokosa vigezo vya kuonekana.
Wawili wasiotakana waliigiza kupendana
#Muda ukawa Padre na mahakama
4d6deb2f1c4f267aa77f0f41eac52ba6.jpg
 
Soma makala hii upate elimu
[emoji116]
 
Tena imeenda mbali kuna wengine wanadai hawajawahi kukubaliwa ngono, ikifikia kumtaka tu kingono anamwagwa
 
Tena imeenda mbali kuna wengine wanadai hawajawahi kukubaliwa ngono, ikifikia kumtaka tu kingono anamwagwa
Hii ninayo mimi aisee ninaweza kuwa na mtu kwa muda mrefu mkawa sawa na mkaelewana kwa kila kitu ila inapokuja ishu ya kuomba mzigo unaona anapunguza mazoea taratibu,huu nahisi mkosi mwisho relationship inavunjika maana nitaanza kufosi kwasababu muda nimepoteza mwingi
 
Pole, karibu 0624 440 454 naweza kushauri na kukupa mbinu bora za kuepuka hilo
 
Usichukulie mahusiano serious hivo and learn to be happy ukiwa peke yako
Ukitegemea furaha kutoka kwa watu ayeeee utashangazwa[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Ukikimbilia sura na maumbile + Kujidanganya kinafsia na kuwapuuza waliokosa vigezo vya kuonekana.
Wawili wasiotakana waliigiza kupendana
#Muda ukawa Padre na mahakama
View attachment 2392958
Nakukaribisha kusoma makala zangu na kutoa mawazo yako.

[emoji116]

Na

na

Asante
 
Back
Top Bottom