Mapenzi si uzuri wa sura!

Mapenzi si uzuri wa sura!

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,793
Reaction score
5,042
Kuna demu mmoja ambaye alikuwa anadharaulika mtaani kwetu huyo demu alikuwa bad face kinoma Sasa Kipindi wanaume tulikuwa tunamuona wa kawaida saana.

Sasa kuna rafiki yetu mmoja hivi alijitokeza kuwa anataka kumtongoza mwanamke huyo tulimuona amepungukiwa akili kinoma na tukafikiri anatania tu kumbe jamaa alikuwa Serious.

Jamaa akaanza kama utani tu wakaendana na mwanamke huyo jamaa akawa anatafuna kama kawaida kama aliona nini! Hakaona kutafuna pekee hakutoshi akachukua jiko akaweka ndani watu tukashangaa. Baada ya miaka wengine wanaoaa. Cha ajabu kuna watu walioa nyuma ya msela lakini tayari wameshaachana na wake zao wengine na wachumba wao.

Lakini jamaa bado yupo saana na mke wake. Na sidhani kama wale wataachana. Mwanamke huyo ambaye sisi tulimuona kama bad face kwasasa Mimi Namuona good face kabisa.

Kweli mapenzi si sura bali ni tabia

Uzuri wako mpelekee Rick Ross huko.
 
Hakuna kitu kizuri kama ukijua mwanamke anasura ngumu halafu ukampenda kweli..man Huwa wanahisi wamegusa mbingu na ndoa zao hazina 50/50
 
[emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419]
 
😂😂😂😃😀 aisee nimecheka sana
bad face hadi kuwa good face 😃🤣🤣🤣🤣

Kiukweli tupo pamoja mapenz sio sura.
Kuna binadamu wanatabia nzuriiiiiii hatari, wanamaneno mazuri kinoma, Mungu ni wa ajabu sana ukiwa mjinga mjinga hujui kumsoma mtu mazuri yake huwezi kuelewa chochote
 
Kuna demu mmoja ambaye alikuwa anadharaulika mtaani kwetu huyo demu alikuwa bad face kinoma Sasa Kipindi wanaume tulikuwa tunamuona wa kawaida saana.

Sasa kuna rafiki yetu mmoja hivi alijitokeza kuwa anataka kumtongoza mwanamke huyo tulimuona amepungukiwa akili kinoma na tukafikiri anatania tu kumbe jamaa alikuwa Serious.

Jamaa akaanza kama utani tu wakaendana na mwanamke huyo jamaa akawa anatafuna kama kawaida kama aliona nini! Hakaona kutafuna pekee hakutoshi akachukua jiko akaweka ndani watu tukashangaa. Baada ya miaka wengine wanaoaa. Cha ajabu kuna watu walioa nyuma ya msela lakini tayari wameshaachana na wake zao wengine na wachumba wao.

Lakini jamaa bado yupo saana na mke wake. Na sidhani kama wale wataachana. Mwanamke huyo ambaye sisi tulimuona kama bad face kwasasa Mimi Namuona good face kabisa.

Kweli mapenzi si sura bali ni tabia

Uzuri wako mpelekee Rick Ross huko.
Uzuri wa mwanamke siyo sura wala shape...ni tabia tuuh...Mkubali mkatae...huo ndy ukweli.
 
Mungu hakunyimi vyote, hao Wana Radha tamu mno.
 
Kwa hyo wanaume mkawa mnamjadili mtoto wa kike...!!!dah
 
Back
Top Bottom