Hongereni sana wanawake wote mnaojitambua

ankai

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2017
Posts
3,282
Reaction score
4,261
Leo nimenijiskia tu kuwapa hongera zenu wanawake wote duniani msiotipiga mizinga ama vizinga vya kijinga jinga. Mara dawa ya mswaki imeisha mara sijui lipstick imeisha mara sijui Rasta mara sijui kitu gani mara mkorogo wangu umeisha.

Nawapa hongera sana wanawake wote ambao mmeamua kujitofautisha na haya mapakashume ya baa yenye kujificha kwenye kilindi cha upisi kali. Pisi kali wenyewe ni njaa kali kweli kweli yani.

Karibu na wewe utoe pongezi zako kwa super women walioamua kujitofautisha na hizi pisi kali za mchongo.
 
Umri mkuu
Nashangaa sana wadada wenzangu wanaoomba wanaume hela sijui ya saloni sijui nini
Me kwa sasa siwezi .ila nimegundua sio kosa lao ni umaskini tu unatusumbua mkuu .muwezeshe
Kwa hiyo wewe huombi hela kabisa kwa mwanaume? Mambo si ndiyo haya bwana!
Ngoja nije inbox nijaribu bahati yangu.
 
Cha msingi ni wewe mwenyewe kujitambua ili kupata aina ya wanawake unaowataka., mzee. Hayo mengine unapoteza muda na energy tu.
Napotezaje muda mkuuna wakati nimeamua kuwapa hongera dada zety woote wanaojitambua?
 
Tatizo wanawake wa siku hizi hawajua mahitaji ya MSINGI YA MWANAMKE. Lakini kama wangekuwa wanaomba vitu vya msingi haya malalamiko ya singekuwepo.

Mara mchezo, mara vicoba, hujakaa sawa anata latest Iphone,sijui nguo brand LV,Blenciaga,vitu vya kipuuzi puuzi ambavyo havina msingi, kila siku anaomba umuunge bando,ana sherehe lukuki zote anata kuchangia na zote anata avae nguo tofauti tofauti.
 
Kumhudumia mwanamke sio tatizo ila wanawake wa ckuiz wamepitiliza mizinga Hadi kero Yaani.
 
Leo nimenijiskia tu kuwapa hongera zenu wanawake wote duniani msiotipiga mizinga ama vizinga vya kijinga jinga. Mara dawa ya mswaki imeisha mara sijui lipstick imeisha mara sijui Rasta mara sijui kitu gani mara mkorogo wangu umeisha.

Nawapa hongera sana wanawake wote ambao mmeamua kujitofautisha na haya mapakashume ya baa yenye kujificha kwenye kilindi cha upisi kali. Pisi kali wenyewe ni njaa kali kweli kweli yani.

Karibu na wewe utoe pongezi zako kwa super women walioamua kujitofautisha na hizi pisi kali za mchongo.
Mimi na-dedicate songi la Ne-Yo Miss Independent liende kwao.

Kuna kipande Ne-Yo anamzungumzia miss independent (demu asiyepiga vizinga) anasema:

🎶She got her own thing
That's why I love her
Car and a crib, she 'bout to pay 'em both off
And her bills are paid on time
She made for a boss
Only a boss
Anythin' less she tellin' them to get lost

That's the girl that's on my mind 🎶
 
Mimi na-dedicate songi la Ne-Yo Miss Independent liende kwao.

Kuna kipande Ne-Yo anamzungumzia miss independent (demu asiyepiga vizinga) anasema:

[emoji445]She got her own thing
That's why I love her
Car and a crib, she 'bout to pay 'em both off
And her bills are paid on time
She made for a boss
Only a boss
Anythin' less she tellin' them to get lost

That's the girl that's on my mind [emoji445]
Mwamba alitisha sana asee
 
Kwa apa mwamba alitisha mno
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom