Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Mimi nina umri miaka 28 Nina elimu ya chuo kikuu pia nafanya kazi katik kampuni Fulani Dar Nina mtoto Mmoja kiukweli nahitaji mume wa kunioa naumia sana kuishi maisha ya usingle, nipo serious na...
55 Reactions
114 Replies
19K Views
Za asubuhi, ni jirani yangu huyu na si mara ya kwanza mimi kumkopesha hela. Nimemkopesha jumla ya 15,000 kwa nyakati tofauti na zote hulipa. Hii ya sasa 3,500 anasema hana, na ukizingatia mimi...
16 Reactions
150 Replies
10K Views
Wakuu, Mwezi mmoja uliopita nilikuja nyumbani (kwa wazazi) kwa ajili ya Pasaka, hapa nyumbani pia nilijumuika na mdogo wangu wa mwisho (anasoma chuo) hapa nitamwita Denis (sio halisi) na mtoto wa...
14 Reactions
175 Replies
17K Views
UKWENI PAMOTO JAMANI, YAMENIKUTA. Na, Robert Heriel. Nimeanza mwaka vibaya jamani. Wapi naficha uso wangu. wapi nauliza? Kama ningejua mambo yenyewe yapo hivi walahi wabinlahi nisingepeleka pua...
12 Reactions
47 Replies
9K Views
Kwanza nitangulize kusema sitaki watu wakunicheka, kama wewe unajua kila kitu mimi sijui ndiyo maana naomba msaada. Kuna mwanadada ambaye nilikuwa na mfukuzia miezi takribani 3 na nusu, ila...
4 Reactions
14 Replies
994 Views
Habari wana JF Unakuta umepiga usafi heavy gheto, umepika misosi ya kibabe, umejaza vitu kwenye jokofu, umetandika shuka jipya, umevaa boksa ya maangamizi, umepiga pasi nguo kwa dobi, umelipia...
2 Reactions
24 Replies
3K Views
Salaam, Kuna kampeni inaendeshwa kimya kimya na wahuni kushawishi watu wasioe... Yaani watu waikatae NATURE... Maumbile yao ya asili... Sasa wewe usipooa... Maji maji yako unayajaza unamwekea...
73 Reactions
307 Replies
14K Views
Wakuu ndiyo nimetia timu kwenye huu mji wa Wambulu. Je, ni wapi niende nikaoshe macho? Niko kwa siku mbili tu. Ahsanteni na karibuni tujumuike.
2 Reactions
11 Replies
908 Views
Introverts are people who prefer time for themselves, few circle of friends, in short people who are not social because of being shy/quite/. I think I have this personality,and it cost me as I...
23 Reactions
97 Replies
14K Views
Tendo la ngono lina mambo mengi aisee na sababu nyingi sana. Kiukweli nimekua na tabia ya kumuuliza hili swali mwanamke ambaye nimehisi katokea kuvutiwa na mimi ama hela zangu. Lazima niulize...
12 Reactions
139 Replies
7K Views
Wakuu nina mchumba wa kiislamu ambae tumeshibana sana na nataka nimuoe lakini imetokea changamoto kwa baba yake anataka nibadili dini na amekomaa kweli kweli. Baba yake ni mtu wa dini na ni...
2 Reactions
46 Replies
3K Views
Nimeona wanawake wengi wakimsifu Masanja kama amefanya jambo la kishujaa kugongewa mke na badala ya kumwadhibu ndio kwanza anaoneshwa mapenzi ya social media na zawadi za kushangaza kwa jambo...
11 Reactions
20 Replies
2K Views
Siku moja nilikuwa nimetoka nyumbani, niliporejea kwangu, nilipofika mlangoni nilisikia mazungumzo ya mke wangu na shoga yake, ambaye hajabahatika kuzaa na mumewe. "Wewe tafuta mwanaume yeyote...
12 Reactions
25 Replies
3K Views
AMKA NA HII: Najua kuna kakitu wanawake wanaambiana “Ukitaka kujua kama anakupenda wewe muombe pesa kwanza kama akikupa basi yuko siriasi na wewe!” Hapana, haipo hivyo, hata wale wanaojiuza nao...
1 Reactions
10 Replies
856 Views
Aisee kwa walioa ama kuolewa wanaifahamu hii siku, inakuwa tamu lakini yenye presha nyingi. Binafsi siku hii jasho halikuacha kunitoka na hata uchangamfu ulitoweka, lakini ni siku yenye kumbukizi...
4 Reactions
41 Replies
4K Views
Habari, poleni kwa majukumu. Mimi nina rafiki yangu huku kampenda dada, akaongea naye wakakubaliana. Ilihali imepita wiki tatu, rafiki yangu ilibidi aombe penzi, dada ana mtoto hivyo shida...
5 Reactions
112 Replies
4K Views
Sina nia ya kutiririka wala kuperform kazi ya motivational speakers ila kwa niliyojionea, ningependa kufikisha ujumbe fulani. Niliachana na mwanamke wangu sababu alikuwa mkavu hadi kero. Baada...
0 Reactions
1 Replies
620 Views
Natumai mko salama, Leo nawiwa kuwaandikia haya enyi mabinti wenye nia ya kuutunza usichana wenu hata kama uko chuo au unatarajia kuingia huko. Fanya yafuatayo kama hutaki uasherati chuoni. 1...
14 Reactions
41 Replies
3K Views
Habari wana JF Ni matumaini yangu hamjambo wote mnaendelea vizuri. Kwangu mimi kuna suala lanitatiza kidogo hapa. Et wanaume wezangu baada ya sex ni lazima kumpa mwanamke hela au demu wako...
7 Reactions
32 Replies
3K Views
Kuna mdada nilimpa lift ya pikipiki (sina gari) tukabadilishana namba za simu. Baada ya kuchati siku mbili tatu tukajikuta tupo karibu, nikamtoa out kwenye kijiwe changu cha kitimoto (sorry) kumbe...
22 Reactions
52 Replies
11K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…