kwisha
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 1,793
- 5,053
Kwanza nitangulize kusema sitaki watu wakunicheka, kama wewe unajua kila kitu mimi sijui ndiyo maana naomba msaada.
Kuna mwanadada ambaye nilikuwa na mfukuzia miezi takribani 3 na nusu, ila alikuwa ananitupilia nje kila nikijaribu kuingiza voko zangu, lakini nilikaza kwa bahati nzuri akaniambia ni mpe muda wa kufikiria.
Nilimpa mda kweli kwa bahati nzuri, jana ndiyo nikaongea naye kama kawaida nikaomba jibu langu nikaona ameshikwa na kigugumizi akawa anashindwa kujibu. Nikaona siyo kesi acha nifanye ufupisho.
Nikajibu kuwa tayari nimeelewa kwa hiyo niliomba tu anipe ratiba yake ya kuongea naye, akanipa eti Jumamosi tu.
Ila kinacho nifanya niombe msaada ni kuwa huyu mwanamke yupo tofauti na wanawake ambao nimezoea kutongoza kabisa, yaani nina maana tabia zake zipo tofauti.
Cha kwanza siyo muongeaji sana, pili naona ni mtu ambaye hana shauku sana na mapenzi na cha mwisho yeye hakujibu kama ananipenda ila niliona nifanye ufupisho labda alikuwa anaona aibu ya kujibu "I love you too", ndiyo maana niliona ni jibu ki ufupisho kuwa nimeelewa.
Kwa hiyo mwanamke kama huyu, ni njia zipi ninaweza kuzitumia ili niteke hisia zake?