Unaweza kumshauri jamaa yangu

Unaweza kumshauri jamaa yangu

Nickson Swai

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2018
Posts
597
Reaction score
553
Habari, poleni kwa majukumu. Mimi nina rafiki yangu huku kampenda dada, akaongea naye wakakubaliana. Ilihali imepita wiki tatu, rafiki yangu ilibidi aombe penzi, dada ana mtoto hivyo shida. Anamuambia jamaa naomba ela ya matumizi ya kula, kama kawaida anampatia, siijala.

Ila jamaa akimuita waonane waongee dada bado anampanga, kama anamkwepa jamaa. Kilichotokea dada kamwambia siku fulani, huku jamaa akijua watatoka pamoja, muda unakwenda kumbe kamlaghai dah.

Ilipofika siku hiyo dada kamwambia kipato chako kidogo, hivyo sitaweza kuwa na wewe na hujitoshelezi. Jamaa kabaki kwenye mshangao, hivyo ushauri unahitajika, ahsante ni hayo tu.
 
Habari poleni kwa majukumu mimi nna rafiki yangu huku jamaa kampenda dada akaongea naye wakakubaliana ilihali imepita wiki tatu rafiki yangu ilibidi aombe penzi dada ana mtoto hivyo shida anamuambia jamaa naomba ela ya matumizi ya kula kama kawaida anampatia, siijala.

Ila jamaa akimuita waonane waongee dada bado anampanga kama anamkwepa jamaaa kilichotokea dada kamwambia siku fulani huku jamaa akijua watatoka pamoja muda unakwenda kumbe kamlaghai dah.

Ilipofika siku hiyo dada kamwambia kipato chako kidogo hivyo sitaweza kuwa na wewe na ujitoshelezi jamaa kabaki kwenye mshangao,hivyo ushauri unahitajika ahsante ni hayo tu.
Madem wapo wengi wakali.... Na wanautelezi wa kutosha mnahangaika na jiko la jela kilaukuni unaingia jiko lishakua kavu hata ulimwagie maji haliloani
 
Habari poleni kwa majukumu mimi nna rafiki yangu huku jamaa kampenda dada akaongea naye wakakubaliana ilihali imepita wiki tatu rafiki yangu ilibidi aombe penzi dada ana mtoto hivyo shida anamuambia jamaa naomba ela ya matumizi ya kula kama kawaida anampatia, siijala.

Ila jamaa akimuita waonane waongee dada bado anampanga kama anamkwepa jamaaa kilichotokea dada kamwambia siku fulani huku jamaa akijua watatoka pamoja muda unakwenda kumbe kamlaghai dah.

Ilipofika siku hiyo dada kamwambia kipato chako kidogo hivyo sitaweza kuwa na wewe na ujitoshelezi jamaa kabaki kwenye mshangao,hivyo ushauri unahitajika ahsante ni hayo tu.
Bwana Nickson, pole sana. Huyo mwanamke muache tu, maana atakuua kwa stress, ona hata kuandika unapata kazi.
 
Habari, poleni kwa majukumu. Mimi nina rafiki yangu huku kampenda dada, akaongea naye wakakubaliana. Ilihali imepita wiki tatu, rafiki yangu ilibidi aombe penzi, dada ana mtoto hivyo shida. Anamuambia jamaa naomba ela ya matumizi ya kula, kama kawaida anampatia, siijala.

Ila jamaa akimuita waonane waongee dada bado anampanga, kama anamkwepa jamaa. Kilichotokea dada kamwambia siku fulani, huku jamaa akijua watatoka pamoja, muda unakwenda kumbe kamlaghai dah.

Ilipofika siku hiyo dada kamwambia kipato chako kidogo, hivyo sitaweza kuwa na wewe na hujitoshelezi. Jamaa kabaki kwenye mshangao, hivyo ushauri unahitajika, ahsante ni hayo tu.
Unamsingia rafiki yako😅😅 , nakushaur tafuta mwingine
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom