Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Naomba nianze na mimi Mimi alinipa simu yake nimuungie bando la Airtel Nikaona text imepop up kwa juu imeandikwa "Happy Anniversary baby, Cant wait to see you tonight" Nikameza mate...
2 Reactions
10 Replies
211 Views
Wasalam ulifanyaje mwenza wako alipokuona uelekeo wa fikra zako na macho yako yapo kwa binti/ kijana anayepita ? Kuna siku nimetulia sehemu wife akafuata kitu dirisha la huduma, ghafla kikakatiza...
11 Reactions
23 Replies
253 Views
Machifu na Malkia Kwenye kale ka mchezo ka chakula cha wapendanao Wewe chifu au malkia kionjo kipi unakitumia ili kujua umeupiga mwingi? Je, chifu performance yako malkia alikupa muitikio upi...
15 Reactions
181 Replies
2K Views
Jamani nisaidieni na mimi nimsaidie huyu mwanaume Tuna mahusiano inaelekea mwaka sasa lakini nashindwa namna ya kufanya ili kumsaidia huyu kijana Jamani kijana ananuka mno mno mno mdomo kiasi...
18 Reactions
164 Replies
2K Views
Mlio owa Kuna Nini huko tuambieni mapema wakuu mana sio wakwanza huyu niwengi wakisha owa Wana Anza kuzeeka na kukonda tuambieni shida hua Nini huko
4 Reactions
22 Replies
296 Views
Dada yangu alipoteza akili zake baada ya kuingia kwenye mahusiano na mwanaume X Nasema hivi kwasababu kabla ya hapo alikuwa vizuri , alikuwa akipangilia mshahara wake kutimiza malengo yake kama...
14 Reactions
46 Replies
862 Views
Wazazi, mtoto wako wa kiume akikueleza wenzake wanamcheka kwa kua yeye bado hajawahi kufanya tendo la ndoa, utamsaidiaje?
7 Reactions
23 Replies
180 Views
Hongereni wanasimba kwa pira zuri hakika mmeonesha mwanzo mzurii. Aisee jana baada ya mechi kuisha nilikaa nisikilizie Usiku wa Bongo fleva. Nikaagiza kinywaji ili nivutie muda. Nikapiga konyagi...
9 Reactions
51 Replies
937 Views
Natumai mpo poa wadau leo ningependa kuwapa codes wanaume wenzangu waliooa na ambao hamjaoa someni hizi sheria 1.Hutakiwi kueleweka sana kwa mkeo(fanya kama upo upo tu) muache atumie nguvu kujua...
7 Reactions
43 Replies
387 Views
Jamani katika pitapita zangu nimekutana na kimwana mkenya, mwenye asili ya hukoo Nyanza. Tumeanza ku-date kama miezi 6 iliyopita. Ni mzuri wa sura na tabia yake so far ni poa. Mcha Mungu kiasi...
7 Reactions
403 Replies
83K Views
TULIOOA Watu wengi, hususan Wanaume waliozingua kwenye ndoa zao wana brag sana kuhusu uzuri wa ndoa, kama ulioa na clear purpose, huwezi kuwa unajieleza sana kuhusu maamuzi yako. Kama ndivyo...
2 Reactions
3 Replies
129 Views
Sio miguu ya bia sio makebo si smile.ngoz yao lain mno wanavutia kishezi.Afrika ina maunyama sana kwanza sauthi ni balaa tupu.
6 Reactions
17 Replies
213 Views
Huyu jamaa amebobea katika mswala ya IT ni ngosha mmoja.kutoka.mwanza kajichukulia jiko kwa raisi. Lakini kichwani yupo vizuri siyo wa mchezo mchezo ila sasa wasukuma hizi ni sifa.
9 Reactions
40 Replies
973 Views
Wataalamu?
4 Reactions
77 Replies
750 Views
Hakuna pigo linaloweza kumvunja mwanamume vipande vipande kama kujitoa kwa 100% kwa mwanamke unayemwamini na kumpenda, halafu mwisho wa siku anakunyima hata sehemu ya kulala kwenye nyumba...
9 Reactions
28 Replies
422 Views
Unafurahia mahusiano yako na kimapenzi, Ndoa,Urafiki,Ama unajutia.???? Kama ndiyo kwa nini ? Hapana kwa nini ? Ninyi wenye mahusiano yaliyofanikiwa ni Mambo gani/Hatua mlizopitia mpaka...
6 Reactions
360 Replies
26K Views
Kwema Wakuu! Acheni wivu! Yaani mkiona Watu wamebarikiwa jambo fulani roho mbaya zenu mbaya hazitulii. Wivu na maumivu moyoni yanawachoma. Mnaanza kuropoka mashudu yenu. Mkiona mdada mzuri tuu...
34 Reactions
337 Replies
28K Views
Kuna baadhi ya familia zina migogoro mikubwa,ndugu hawapatani hawapendani wana chuki wivu na kijicho kati yao.Wengine wanafanyiana mambo ya ajabu hata kufikia hatua ya kuendeana kwa waganga,chuki...
20 Reactions
85 Replies
10K Views
Makebo,sura,sauti,tabia,manyonyo,miguu ya bia,walking style
0 Reactions
1 Replies
74 Views
Sasa ninafuraha tele hivo vitu havitanisumbua tena.tayari nimepoteza hisia za kutaman na kupenda.asante sana mtaalam sasa nitakuwa tajiri #tagg kataa ndoa daima.
0 Reactions
10 Replies
132 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…