Mhhh this z very strange!pole uran kwanza, alafu nimpe pole mwanamke mwenzangu kwa aliyopitia, baada ya kusepa bila kuwa na mawasiliano! Mi ningependa tu kumwambia huyo gal wako kua kosa moja haliachi mume! Kama mioyo yenu inapendana,sahauni ya nyuma na mrudiane,msiendlee kupeana stress,muda ndo huu kamaten fursa hz!
mhhhhhhhhh kosa ulilolifanya ni kumsaliti kwanini ulishindwa kuwa mvumilivu na kwanini ulikuwa mzembe maana ungetumia kinga mimba isingepatikana
anyway pamoja na hayo huyo mpenzi wako jullnbaby anapaswa kujua wewe ni mwanaume shupavu mfano wa kuigwa angekuwa mwingine angesema mimba itolewe lakini wewe umepigania uhai wa mtu HONGERA SANA
kwenye uzi umesema kila upatapo nafasi unamweleza dhamira yako naomba uwe unaongea hii dhamira kwa vitendo ili kujaribu kujenga uaminifu wake kwako take one step ahead nendeni kwa wazazi mkaweke mambo hadharani
hiyo kwenda kwa wazazi itaanzia wapi wakati ye bado hajakubali kabisa kunirudia?
much worse anapenda sana kunitisha kuwa anampango wakuolewa mwaka huu.
huwa siamini
sasa ukitishiwa nyau na wewe ndo unaogopa???? wewe peleka barua moja kwa moja kwa wazazi wake hapo ndo utajua kama yuko tayari kuwa na wewe au lah
usikute anakutishia ili uharakishe mambo
sasa ukitishiwa nyau na wewe ndo unaogopa???? wewe peleka barua moja kwa moja kwa wazazi wake hapo ndo utajua kama yuko tayari kuwa na wewe au lah
usikute anakutishia ili uharakishe mambo
hizi mila za kuandika barua zina power gani tena now days?
i wish kama tukubaliane kwanza ndiyo tuweka mambo sawa...
tatizo umeshaujeruhi moyo wake hakuamini 100% mfanyie suprise kwa kupeleka barua ajue ni jinsi gani uko serious
yeah, i wonder why she cant sense it
Ukiangalia hii story inaukweli kabisa kozi matukio ayanajieleza kabisa,mapenz gn huyo kanukuu hadithi za shigongo!!!!