Kwa sasa kupenda kunazingua sana?

Kwa sasa kupenda kunazingua sana?

Mimi ndiyo maana nimeamua ule muda nipo idle sina cha kufanya najifungia zangu ndani
IMG_20260323_193659.jpg
 
Mapenzi halisi ni hisia na hisia huwekezwa.. ! Wengi wanachanganya mapenzi na matamanio ya kingono ndio maana humwagana fasta mmoja akizingua
Ukiwa deep penzini na mtu ikafika wakati mkashindwa kuendeleza jambo lenu huwezi kukatisha mahusiano ghafla?
 
Ukiwa deep penzini na mtu ikafika wakati mkashindwa kuendeleza jambo lenu huwezi kukatisha mahusiano ghafla?
Mapenzi ni sawa na duka la mangi.. Ukosefu wa bidhaa moja hauwezi kukufanya ulihame duka!
 
Mapenzi halisi ni hisia na hisia huwekezwa.. ! Wengi wanachanganya mapenzi na matamanio ya kingono ndio maana humwagana fasta mmoja akizingua
Very true dady watu wanachanganya mihemko na upendo kutoka ndani
Upendo wa kweli hauwezi kufa kwa siku moja never
Utasikia oooh mie nikiacwa leo
Kesho nime move on labda hukupenda ulitamani
 
Back
Top Bottom