Wakuu, nitumie njia gani ili nisiwe nao kimapenzi?

Equation x

JF-Expert Member
Sep 3, 2017
29,420
40,405
Leo katika tafakari yangu na tathmini; nimegundua nina watoto nane, na wanaotambulika na mama zao kuwapa jina langu ni sita, wakike 3, na wa kiume 3; wa nje ya ndoa 3 mama tofauti.

Changamoto iliyopo kwa sasa ni namna ya kuwahudumia bila nyumba kubwa kuwafahamu; ingawa huwa nawatumia ada na vihela kidogo pale ninapokuwa navyo; kwa sasa wako chekechea (wa nje).

Kinachoniumiza kichwa kwa sasa, ni mama zao kuendelea kuniita 'mume wangu' na kunilazimisha tuendeleze mahusiano ya mapenzi; huku wakijua nina familia.

Wengine wanapiga simu usiku wa manane; mpaka nikatafuta laini nyingine ambayo awaijui na kuiweka usiku.

Wakuu, nitumie njia gani ili nisiwe nao kimapenzi na wao wanielewe, ila nibaki kuhudumia watoto tu?

Kwa sababu nikiendelea kuwa nao karibu kimahusiano; ni sawa na gari dogo kuendeshwa na madereva sita; nitazeeka mapema.​
 
Muulize Nick Cannon:)
 
IMG_4086.jpg
 
Tatizo wanaume halisi tumebaki wachache, ke wengi hawana wanaume
Sasa kama unalijua hili kwanini utafute ushauri?
Maisha yameshakufikisha hapo ulipofikia sasa inasikitisha unayo familia kubwa kiasi hicho lakini bado mapenzi yanakusumbua. Focus kwenye malezi ya watoto zaidi mahaba kwa hao wanawake wengine yazike
 
Leo katika tafakari yangu na tathmini; nimegundua nina watoto nane, na wanaotambulika na mama zao kuwapa jina langu ni sita, wakike 3, na wa kiume 3; wa nje ya ndoa 3 mama tofauti.

Changamoto iliyopo kwa sasa ni namna ya kuwahudumia bila nyumba kubwa kuwafahamu; ingawa huwa nawatumia ada na vihela kidogo pale ninapokuwa navyo; kwa sasa wako chekechea (wa nje).

Kinachoniumiza kichwa kwa sasa, ni mama zao kuendelea kuniita 'mume wangu' na kunilazimisha tuendeleze mahusiano ya mapenzi; huku wakijua nina familia.

Wengine wanapiga simu usiku wa manane; mpaka nikatafuta laini nyingine ambayo awaijui na kuiweka usiku.

Wakuu, nitumie njia gani ili nisiwe nao kimapenzi na wao wanielewe, ila nibaki kuhudumia watoto tu?

Kwa sababu nikiendelea kuwa nao karibu kimahusiano; ni sawa na gari dogo kuendeshwa na madereva sita; nitazeeka mapema.​
Simple! Mwambie bi mkubwa ukweli na uchukue watito wako umletee bi mkubwa ili walelewe na mama mmoja. Kwa njia hiyo kama una nia ya dhati kuaxhana nao utatoboa, lkn pia utawapa wanao malezi unayoyatamani. Angalizo, bi mkubwa awe na ubinadamu, vinginevyo kasheshe
 
Kuwaleta home itakuwa mtihani, mi naona bora wabaki huko huko kwa wamama zao; mahitaji yao yaendelee kutumwa kimya kimya tu.
Nadhani wakianza la kwanza, itabidi wawe bweni nakuwa nawalipia 'bill' kimya kimya.
Wakishakuwa wakubwa ndio, bi mkubwa ajue.​
 
Back
Top Bottom