Afumaniwa na mke wa mtu kwenye guest ya mume wa mke husika

Mjina Mrefu

JF-Expert Member
Dec 6, 2016
3,030
3,324
Wakuu,

Nimeshangaa sana.

Kuna jamaa mmoja ni mhaya, ana hela hela. Sasa ana guest house kadhaa maeneo tunayoishi.

Huyo jamaa ana mke mrembo, mdogo bado, ndo kwanza alimaliza kidato cha sita mwaka juzi ila hakufaulu.

Sasa kumbe kuna mshkaji mmoja ambaye ni bwana kilimo hili eneo, alikuwa anamlia timing mke wa huyo Mhaya. Mwisho wa siku akampata.

Katika hali ya kushangaza, ameingiza huyo mwanamke kwenye guest ya mumewe kuchachua. Sasa baada ya kulipia room wameingia ndani kama nusu saa hivi, wanasikia mlango unagongwa. Kumbe mhudumu wa guest alimtonya Mhaya.

Bwana kilimo alipigwa kinoma, akalazwa kituoni, amemlipa Mhaya 1M ndiyo akatoka.

Mhaya naye hajamfanya neno mkewe, bado wanaishi na ile fine ameitumia kumfanyia shopping ya nguo mkewe.
 
Wakuu,

Nimeshangaa sana.

Kuna jamaa mmoja ni mhaya, ana hela hela. Sasa ana guest house kadhaa maeneo tunayoishi.

Huyo jamaa ana mke mrembo, mdogo bado, ndo kwanza alimaliza kidato cha sita mwaka juzi ila hakufaulu.

Sasa kumbe kuna mshkaji mmoja ambaye ni bwana kilimo hili eneo, alikua anamlia timing mke wa huyo mhaya. Mwisho wa siku akampata.

Katika hali ya kushangaza, ameingiza huyo mwanamke kwenye guest ya mumewe kuchachua. Sasa baada ya kulipia room wameingia ndani kama nusu saa hivi, wanasikia mlango unagongwa. Kumbe mhudumu wa guest alimtonya mhaya.

Bwana kilimo alipigwa kinoma, akalazwa kituoni, amemlipa mhaya 1M ndo akatoka.

Mhaya nae hajamfanya neno mkewe, bado wanaishi na ile fine ameitumia kumfanyia shopping ya nguo mkewe

Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
Walipanga fumanizi
 
Kitu usichokijua Ni kuwa huyu binti alimtegeshea jamaa, na huenda binti alishakataa kitambo Ila jamaa akawa anamlazimisha.

Binti Kama angekuwa kadhamiria asingekubali kufanya upuuzi ndani ya guest house ya jamaa
huenda hata mke alikuwa hajuwi kuwa guest ni ya mkulungwa!
 
Kitu usichokijua Ni kuwa huyu binti alimtegeshea jamaa, na huenda binti alishakataa kitambo Ila jamaa akawa anamlazimisha.

Binti Kama angekuwa kadhamiria asingekubali kufanya upuuzi ndani ya guest house ya jamaa
Huu ndio ukweli wenyewe,hata huyo muhudumu wa guest pia alipangwa kwamba wakishaingia tu ampigie simu mme wa wa demu na pia kuna uwezekano katika huo muda wa nusu saa jamaa alikuwa bado hajakula tunda sema ndio hivyo mkishakutwa chumbani na mke wa mtu hakuna cha kujitetea.
 
Wakuu,

Nimeshangaa sana.

Kuna jamaa mmoja ni mhaya, ana hela hela. Sasa ana guest house kadhaa maeneo tunayoishi.

Huyo jamaa ana mke mrembo, mdogo bado, ndo kwanza alimaliza kidato cha sita mwaka juzi ila hakufaulu.

Sasa kumbe kuna mshkaji mmoja ambaye ni bwana kilimo hili eneo, alikua anamlia timing mke wa huyo mhaya. Mwisho wa siku akampata.

Katika hali ya kushangaza, ameingiza huyo mwanamke kwenye guest ya mumewe kuchachua. Sasa baada ya kulipia room wameingia ndani kama nusu saa hivi, wanasikia mlango unagongwa. Kumbe mhudumu wa guest alimtonya mhaya.

Bwana kilimo alipigwa kinoma, akalazwa kituoni, amemlipa mhaya 1M ndo akatoka.

Mhaya nae hajamfanya neno mkewe, bado wanaishi na ile fine ameitumia kumfanyia shopping ya nguo mkewe

Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
Umeeleza vizuri,ila hiyo paragraph ya mwisho umeifanya story yako iwe na ukakasi...
 
Back
Top Bottom