Kwanini unamwonea mwanandoa mwenzako

Kwanini unamwonea mwanandoa mwenzako

Amos David Mathias

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2022
Posts
1,575
Reaction score
3,111
Watu wanaonewa Sana kwenye ndoa. Mtu anajitahidi kutunza ndoa Kwa akili na Moyo wake wote lakini mwingine anachukulia advantage kumtesa mwenzake.

Wewe ni mtu aina gani huna huruma Kila siku unaombwa msamaha na kupigiwa magoti Kwa kosa ulilofanya wewe mwenyewe.So sad [emoji22][emoji22][emoji22][emoji24][emoji24][emoji24].
 
Huyo ni wewe na mkeo na ndoa yenu.
Huku nje mambo ni bam bam kwenye ndoa za mashemeji zetu
 
Watu wanaonewa Sana kwenye ndoa.Mtu anajitahidi kutunza ndoa Kwa akili na Moyo wake wote lakini mwingine anachukulia advantage kumtesa mwenzake.Wewe ni mtu aina gani huna huruma Kila siku unaombwa msamaha na kupigiwa magoti Kwa kosa ulilofanya wewe mwenyewe.So sad [emoji22][emoji22][emoji22][emoji24][emoji24][emoji24].
Shemej kakufanyaje aisee? Funguka tu itakusaidia kutoa yaliyokukaba kifuani na kuepusha sonona.
 
Watu wanaonewa Sana kwenye ndoa.Mtu anajitahidi kutunza ndoa Kwa akili na Moyo wake wote lakini mwingine anachukulia advantage kumtesa mwenzake.Wewe ni mtu aina gani huna huruma Kila siku unaombwa msamaha na kupigiwa magoti Kwa kosa ulilofanya wewe mwenyewe.So sad [emoji22][emoji22][emoji22][emoji24][emoji24][emoji24].
Pole sana bwana Amos
 
Mpe muda Kuna siku atabadirika
 
Kwanza Kwa nini uoe?
Kijana ambaye ni mwanaume aliyekamilika hawezi toa wazo kama hilo....labda sasa tuseme wamama tushapata hasara eee Mungu wangu😭😭😭😭😭
 
Watu wanaonewa Sana kwenye ndoa.Mtu anajitahidi kutunza ndoa Kwa akili na Moyo wake wote lakini mwingine anachukulia advantage kumtesa mwenzake.Wewe ni mtu aina gani huna huruma Kila siku unaombwa msamaha na kupigiwa magoti Kwa kosa ulilofanya wewe mwenyewe.So sad [emoji22][emoji22][emoji22][emoji24][emoji24][emoji24].
Si waachane tu

Yanini kung’ang’ania mateso kwa hiyari yao wenyewe ? Wanataka kuonewa huruma??
 
Back
Top Bottom