Habari zenu, naombeni ushauri hata kunichangia hata mawazo niondokane na hili, jambo.
Nilikuwa na mpenzi wngu tumedumu kwenye mahusiano miaka mitatu, hatimae mwaka huu mwezi wa 2 kaniacha kisa...
Kijana apewe pongezi zake na hongera nyingi mno kwa kutunga mashairi ya wimbo mzuri wa mapenzi 'Zuena', amejitahidi sana.
Wadau wa muziki tumuunge mkono kwa kutunga wimbo mzuri na wenye mvuto...
Wanaume hawasikii vizuri wanapoulizwa swali na wake zao mara ya kwanza.
Unapowauliza kuhusu kuweka nguo zao chafu kwenye washing room - au kubadilisha balbu - au kurekebisha kabati la jikoni -...
Habar wana JF,
Nashukuru mungu wote ni wazima
Mtanisamehe mimi sio muandishi mzuri sana wakuu.
Nimetoka kugombana na wife mpaka nimebaki nashangaa na kuwaza kwa maneno alioyasema wife, nikwamba...
Hawa viumbe wamenishinda tabia kabisa! Eti kazi Gani unafanya? Inakuhusu Nini? Taarifa zangu za kazi anazijua mke wangu na watoto wangu labda na wazazi !!wewe husna wa tabata na ashura wa tandale...
Ntajaribu kuifupisha Sana hii kadiri ya uwezo wangu[emoji116]
NI HIVI,
Bila shaka mnamkumbuka yule Mchepuko Wangu anaesoma chuo kikuu ambae ni mdg wake na mamaJ.
Uyu Binti mahusiano yangu na...
Hellow,
Hivi karibuni kumezuka mzozo mkubwa sana katika familia, chanzo kaka yetu anataka kuoa lakini mahari anasema mzazi wetu ndio atoe, kisa huyo mchumba wake amemuambia kuwa mahari yako...
Tuache kujidanganya hawa watoto wa 2000 wapo mtaani tani kwa tani.
Aisee kwa huu muda unachagua mwenyewe unywe kinywaji gani; Balimi au Safari Lager au Castlel au K Vant.
Kijana kataa ndoa maana...
Habari ndio hiyo. Siwatakini nyie wote, namtaka mmoja tu kati yenu nyie wote.
Watu wa takwimu wameshindwa kuniweka mmimi kwenye category yangu special, nina mademu 14 ila mmoja tu ndio...
Pose like you only mind your own business, umuhimu wake kwako ni wa kawaida sana huna shobo kiviiile.
Instead mpigie simu mama yako ama someone else unayemkubali kwenye harakati zako.
Wanaume...
Daah maisha siyo fair na wala hayajawahi kuwa fair hata kidogo na hayatawahi kuwa fair hata kidogo as long as tunashaishi wacha tuendelea kuhustle. Si maana yaani bwana mwingine anacheka na...
Hii siku inaweka presha kwa watu wengi muda mfupi. Leo ukimtoa mtoto wa kike aliyempweke utakuwa umejishindia biko.
Subiri turushe kete ofisini maana wife kasafiri.
Kwa muda mrefu nimekuwa mpweke ila siku za karibuni kwenye mtandao nikawa niko busy na dada mmoja mzuri sana.
Basi tukaona kuna haja ya sisi kuonana kwani niko Dar na Yeye yuko Dar. Tukapanga...
Kuna uhaba sana wanawake kuingia kwenye ndoa mpaka wengine kwenye dini za ndugu zetu waislamu kuomba kuwa mke mwenza.
Wanawake wengi wamepata msongo kutokana tabia za wanaume kutoonesha nia ya...
Siku ya Valentines Day asili yake ni kutoka Dola ya Warumi. Ni siku ya kumbukumbu (memoria day) na sehemu nyingine ni (festum) maana yake siku kuu ya daraja la kwanza kwa kumkumbuka Padre...
Achana na hawa wadada ana ka IST na duka la nguo Kinondoni anajiona tajiri. Tajiri anaishi nyumba ya kupanga chumba na sebule na jiko, anajiona kayapatiiiiiiia.
Ninaongelea wale wenye mega...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.