Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kumezuka wimbi kubwa la wanaume wengi wanaozama kwenye dimbwi la mahusiano ya kimapenzi na baadae sana wanagundua wapenzi wao wamewazidi umri kitu ambacho jamii ya kiTanzania inakichukulia kama...
4 Reactions
54 Replies
3K Views
Hivi kati ya wanawake hawa ninani ambaye anaweza kuwa mke bora kwangu Wa kwanza ni mwanamke ambaye tuseme mauzo ni mtu wa ma showoff saana Uzuri wa huyu mwanamke anajua kumtunza mwanaume saana...
1 Reactions
9 Replies
702 Views
Wakuu wasalaaam, Nautafuta mwanamke tuyajenge, tuzae tulee wanetu. Umri wake awe kati 29-34, kama ana mtoto ni sawa tu ila mtoto asizidi mmoja. Umri wangu ni 38. Kwa taarifa zaidi karibu sana...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Wakuu, leo Naandika kwa uchungu Sana, Hivi karibuni Nilikua Kwny msiba wa mfanyabiashara mwenzangu alifariki. Baada ya msiba kimekaa kikao Cha mirathi.Kama marafiki na washirika wa karibu wa...
22 Reactions
184 Replies
8K Views
Habari za muda huu wapendwa katika bwana,natumaini nyote mu wazima. Niende moja kwa moja kwenye mada,Leo mchana katika mizunguko angu ya hapa na pale nkakutana na demu ambae niliwahi kumfukuzia...
4 Reactions
126 Replies
7K Views
Leo tarehe 13 mwezi February ni Valentine's day maalum kwa wale ambao kesho hawawezi kuwa pamoja; michepuko, wapenzi wa siri nk. Kesho ni kwa wale wapenzi rasmi. Hasa kama kesho una mpenzi rasmi...
7 Reactions
33 Replies
2K Views
People always going on about how women are hypergamous and expect a super high income bla bla bla - only true if you live in a third world country. You know what's rarer than money in the west...
8 Reactions
88 Replies
3K Views
Mpende sana mama mzazi, mpende sana mkeo mama wa watoto wako. Mungu awabariki sana. Happy Valentine's day.
9 Reactions
98 Replies
3K Views
Kwanini wanakata viuno na wanafundishwq kukata viuno msingi wa hizi trainings au mafundisho ni nini? Tusipoteze nguvu sisi tutafute pesa wao waburudishe naongezea hapa chini maelezo. Katika akili...
5 Reactions
19 Replies
1K Views
Wakurungwa niaje niaje, leo ni siku ya kwanza baada ya ile siku muiitayo ya wapendao, mengi yametokea mazuri kwa mabaya. Ila mazuri yaliyotokea hayazidi mabaya yaliyo tokea, mabaya ni makubwa sana...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Wasalaam JF Nimekoshwa sana na hulka na tabia ya wanawake waislam, wadada, wamama na mabinti ama kweli kama dini imewapa maarifa mema sana, mna heshima, mnajua kujishusha, kuomba radhi hamchoki...
33 Reactions
112 Replies
5K Views
LIKE is skin deep. LIKE leads to sex with no commitments. They leave you after sex. When you LIKE someone, moving on is a piece of cake. Their absence in your life doesn’t make much difference...
11 Reactions
39 Replies
2K Views
Way back nilimpenda sana nilionyesha wazi, lakini alikuwa mguu nje mguu ndani kwamba ningemchezea, ilinivunja moyo na toka hapo mawasiliano yalipungua. Simu sometimes sipokei, sms sijibu au...
7 Reactions
46 Replies
3K Views
Leo baada ya kutoka kazini , au uko home? Uko single na Una ki alf 30000 au 50000 chako mahalii ... Amka, oga vizuri, vaa nguo nzuri upendezee sana , vaa na high hills matata kulingana na hako...
22 Reactions
100 Replies
4K Views
Nianze na ujumbe Mtunzi Daughtry: You and I, right or wrong There's no other one After this time spent alone It's hard to believe That a man with sight could be so blind Thinking about the better...
0 Reactions
0 Replies
226 Views
Baada ya kurudi toka USA nikiwa sina kitu,kazi ya kwanta ilikuwa kutafuta shughuli ya kufanya. Rafiki yangu mmoja tuliyesoma nae High School alikuwa tayari ni boss kwenye kampuni moja ya simu za...
28 Reactions
41 Replies
5K Views
Kuna hii story nimeisoma somewhere. Kuna mama mmoja alijiunga kwenye self-improvement program, katika iyo program walipewa assignment wakawaombe waume zao wawatajie mapungufu sita walinayo hao...
0 Reactions
2 Replies
391 Views
Habari Wanajamvi. Napenda kufahamu kama kuna uwezekano wa kubaki katika zone ya urafiki baina ya Mwanamke na Mwanaume, like real non Sexual. Kama inawezekana kivipi? Kama haiwezekani why...
9 Reactions
54 Replies
4K Views
Kwa wale vijana wenzangu ambao 2023 mna mipango ya kuoa kama unajiona Hali yako ya kiuchumi haieleweki achana ndoa na kataa ndoa Yaani mwanangu asikwambie mtu ukiwa huna kitu mwanamke...
7 Reactions
12 Replies
839 Views
Zawadi yako lazima iwe na uzito na itoke kwa moyo mmoja. Wanaume wengi hutoa zawadi kwa wanawake ili kuomba msamaha au ili apendwe au ili amshawishi mwanamke awe naye kimapenzi, hii hupunguza...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Back
Top Bottom