mimiamadiwenani
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 5,749
- 7,857
Kijana apewe pongezi zake na hongera nyingi mno kwa kutunga mashairi ya wimbo mzuri wa mapenzi 'Zuena', amejitahidi sana.
Wadau wa muziki tumuunge mkono kwa kutunga wimbo mzuri na wenye mvuto, biti nzuri na hata video ni nzuri.
Safi kabisa!
Wadau wa muziki tumuunge mkono kwa kutunga wimbo mzuri na wenye mvuto, biti nzuri na hata video ni nzuri.
Safi kabisa!