Nina miaka 40+, elimu Shahada ya miaka 15 iliyopita. Nina shughuli zangu binafsi, naishi DSM, na wakati mwingine husafiri kwenye shughuli zangu za kikazi.
Nahitaji mwenzi ambaye kadri...
Nalia na naumia sana moyoni mwangu
Hata mke wangu mkubwa simjali kama ninavyomjali yeye
Kila siku nimeweka bill ya maziwa fresh lita moja na mtindi nusu lita.
Na bado matumizi mengine kama...
Bila shaka ndoa za kiislam wanandoa huwa wanafaidi sana linapokuja suala la kuongeza mke, kuoa ama kuolewa upya kwa urahisi, talaka, n.k. na haya mambo ndio penye udhaifu wa ndoa za kikristo, hata...
Usiku tulivu kwenu!
Mama wa mumeo mtarajiwa alikuwa anahakikisha mwanawe anakula kwa wakati je, wewe binti utaweza kumpikia kwa wakatu kama mama yake?
Mumeo mtarajiwa alikuwa akidekezwa na...
Ikiwa ni mara ya kwanza unakutana naye, ulihisi mapigo ya moyo wako yakienda kasi… vipepeo tumboni mwako… unahisi kama ulikutana naye hapo awali…unalazimika kuongea naye…huwezi kumwondoa kichwani...
Mdaa huu tupo na jamaa kachanganyikiwa baada ya kusikia rafiki yake kumzunguka na kumpa mimba mpenzi wake.
Tulimkanya sana jamaa ila kwa vile tukisema ukweli tunaonekana wachawi na watu wa wivu...
Nilienda Kwa jamaa yangu Ifakara kusikilizia harakati zinavyoenda ikiwezekana na mimi nijichanganye area hizo ili niweze pata chochote so ikawa tunadamka asubuhi tunaenda ofisini kwake then jioni...
Habari JF,
Kwa unyenyekevu mkubwa Nipo mbele yenu kuomba ushauri juu ya hili suala la Mimi na mpenzi Wangu.
Kwa upande wangu iko hivi.
Ninaishi na msichana ambae tupo kwenye uhusiano almost...
Habari wana Jf poleni na majukumu ya kazi... Natumai siku ya tar 14 ilikua njema kwenu lakini kwa upande wangu haikua poa.
Jana nimekutana na mpenzi wangu wa muda mrefu katika hali ambayo...
Hivi inakuaje unaweka kabisa dhamira na kuitekeleza ili tu utimize haja zako huku ukimuachia mtoto kovu lisilofutika kabisa katika maisha yake hapa duniani?
Cha ajabu mmekuwa mkijinasibu kuwa na...
Wasalaam JF
Kama mada inavyojieleza, Nianze mimi Nina kawaida huwa siwazi kuhusu wanawake, ila inapotokea kunyandua nawasemesha na ikitiki nakwenda kunyandua.
huwa siwazi kuhusu wanawake kabisa...
Kwa mlioko Dar, Poleni kwa mgao wa kuanzia maji, umeme mpaka mapenzi, ila ndugu zangu tutafika kwa Baba tuko hoi sana maskiini, imagine duniani tunateseka hivii na bado huko naskia kuna moto...
Nimekutana na wadada wengi wasomi wanahangaika kutafuta wanaume wa kuwaoa, mpaka wengine wanaamua kuzaa tu na yeyote baada ya kuona umri unaenda bila kumpata mwanaume wa kumuoa.
Je, unafikiri...
Here why! 'Cause I am hooked on yuh lovin like a big snapper fish
Di way yuh look di way yuh dressed a dat mi caan resist
Yuh personality there's no odda like it
Buji Buji tellin' di world woman...
Mwanamke yeyote anahitaji usalama kutoka kwa mwanaume wake, ndicho kitu cha kwanza wanakiangalia kabla ya kuwa kwenye mahusiano, japo huwa halisemwi waziwazi.
Usalama wanaotaka ni usalama wa...
Wadau salama, kuna jambo moja naona linazidi kuwa gumzo mitaani, awali nilijua labda ni mtaani kwetu tu lakini naona asilimia kubwa ya wanaume wanalalamika kuhusu hili suala.
Nina rafiki yangu...
Wakati nasoma nili jihifadhi sana ni siazishe mahusiano prematurely kwa lengo la kutoharibu hisia zangu kwa mke/ au mpezi asie sahihi.
Kusema ukweli mimi nilichelewa sanaa kufanya mapenzi paka...
Habari wakuu,
Kuna binti flani namkubali sana na anajua. Sasa kanigeuza kuwa mpenzi wa kwenye simu tu kila nikimpanga tuonane analeta excuse.
Juzi nikamtega kwa kumuomba tuonane Valentine hii...
Kwanza nianze kwa kuwapa big up wanaume wote mlioachana na mambo ya mahusiano na kugeukia upande wa kununua, kuchakata na kusahau, hakika tunaupiga mwingi
Kwanini mbususu za kununua ni bora...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.