Anadai Mimi sio type yake

Anadai Mimi sio type yake

Amos David Mathias

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2022
Posts
1,575
Reaction score
3,111
Anapenda Sana Hela.Nikiwa nazo anajileta kwangu tukalale wote.

Nisipokuwa nazo Anadai Mimi sio type yake.

Nikiwa nazo Anadai anataka nimnunulie pochi nzuri, suruali nzuri , gauni nzuri, wigi nzuri, high heels nzuri, anataka vitu vizuri vizuri tu.

Nikifulia nashangaa ananikimbia haonekani.Ananifanya akili yangu iende mbio mbio race.

Wanawake sio vizuri unampenda mtu kisa ana Hela akikosa unamkimbia.

Tukiwa hatuna Hela mnadai sisi sio type yenu
 
Sasa mkuu; mateso yote hayo ya nini?
Anza kujihurumia wewe kwanza.

Mbona kipato chako kina matumizi mengi ya msingi! Kwanini usikitumie kuwekeza ili kupiga hatua kimaisha?

Huwezi kumaliza shida zake ambazo wazazi wake wameshindwa. Ukiishiwa kabisa na hutamuona kabisa.

Shtuka
 
Anapenda Sana Hela.Nikiwa nazo anajileta kwangu tukalale wote.

Nisipokuwa nazo Anadai Mimi sio type yake.

Nikiwa nazo Anadai anataka nimnunulie pochi nzuri, suruali nzuri , gauni nzuri, wigi nzuri, high heels nzuri, anataka vitu vizuri vizuri tu.

Nikifulia nashangaa ananikimbia haonekani.Ananifanya akili yangu iende mbio mbio race.

Wanawake sio vizuri unampenda mtu kisa ana Hela akikosa unamkimbia.

Tukiwa hatuna Hela mnadai sisi sio type yenu
Na utakuta ni mke wa mtu huyo!
Ndomana nasema #KATAANDOA
 
Hao wa hivo hatuwapi moyo tunawapa mkuyenge tu

Unamla kama ambavyo angeliwa malaya mwingine tu
 
Back
Top Bottom