Holly Star
JF-Expert Member
- Aug 25, 2018
- 4,373
- 8,284
Wakubwa shikamoni na wengine habari zanyu, wadogo marahaba. Kwenye mambo ya ndoa nipo mwaka wa 13 sasa nafikiri nina uzoefu wa kutosha.
Katika kujifunza kwa waliotangulia, nimegundua wanaume wenye mke mmoja uzeeni wanaishi maisha ya mateso makubwa yaan you become a stranger to your own family. Mama anatake advantage ya absence ya mume wake kudanyanya watoto mabaya yako. Mwisho wa siku ushapambania madogo ukizeeka wanakuadhibu kiaina.
Nlichoona mwanamke akiwa peke yake hiwa wanajisahau na upendo hupungua, ila akojua leo upo kwa bo mdogo zam yake ikifika anakuwa na ham na wewe vizuri ukija kwa bi mdogo naue kakumiss. So mda wote inakuwa brand new kwa wanawake wako