Maswali Ambayo Mwanaume Hapaswi Kumuuliza Mwanamke

Kambi ya Fisi

JF-Expert Member
Feb 3, 2018
13,409
21,781
KWA MWANAUME AMBAYE HAJAOA :
Ikiwa huna mpango wa kumuoa huyo mwanamke wako, kamwe usimuulize umri wake.

Usimuulize kwanini bado yuko single.

Usimuulize ana uzito wa kilo ngapi.

Na ikiwa haujawahi kulala naye, kamwe Usimuulize ikiwa ana ujauzito kuwa kaupataje.

Kamwe usimuulize mwanamke wako kama rangi yake, kucha zake, nywele zake, matiti na matako yake ni halisi.

Moja ya maswali ya hovyo kabisa ni kumuuliza mwanamke "ni wanaume wangapi amelala nao"

Na usijaribu pia kumuuliza mwanamke swali kama hili , "Ulitumia shilingi ngapi kuremba nywele zako?"

Kama urembo wake unakuumiza kaa naye mbali.

KWA WANAUME MLIOOA, kamwe Usimuulize mkeo
"Je, ndivyo unavyovaa siku hizi?" Badala yake, pendekeza mavazi ambayo ungependa awe anavaa siku hizi na atakuelewa tu.

Na usimuulize ikiwa yuko hedhi. Hasira za hedhi ni hadithi tu.

Ubarikiwe.
 
Na mwanaume asiulizwe maswali gani? No wonder aliyeweka mada hii ni mwanaume lkn anajifanya kuwajua sana wanawake. Wanaume Tz tunapoteza muda mwingi kuwawazia hawa majambazi mpaka tunaacha wajibu wetu wa msingi
 
Wanaume Tz tunapoteza muda mwingi kuwawazia hawa majambazi mpaka tunaacha wajibu wetu wa msingi
Migogolo mingi iliyopo sasa kati ya wanaume na wanawake wa kisasa imesababishwa na wanaume wengi kushindwa kuwaheshimu wanawake, mnawauliza maswali ya hovyo hovyo tu yasiyo na tija ktk mahusiano yenu mwisho wa siku mnapigwa ban kisha mnaanza kuropoka "wanawake wa siku hizi ni majambazi"

We waulize tu hayo maswali utapewa majibu 😂😂
 
Kwa hiyo hamna wanawake wa sasa wasiowaheshimu wanaume? Mbona umeweka upande mmoja tu?
 
KWA MWANAUME AMBAYE HAJAOA :
Ikiwa huna mpango wa kumuoa huyo mwanamke wako, kamwe usimuulize umri wake.

Usimuulize kwanini bado yuko single.

Usimuulize ana uzito wa kilo ngapi.

Na ikiwa haujawahi kulala naye, kamwe Usimuulize ikiwa ana ujauzito kuwa kaupataje.

Kamwe usimuulize mwanamke wako kama rangi yake, kucha zake, nywele zake, matiti na matako yake ni halisi.

Moja ya maswali ya hovyo kabisa ni kumuuliza mwanamke "ni wanaume wangapi amelala nao"

Na usijaribu pia kumuuliza mwanamke swali kama hili , "Ulitumia shilingi ngapi kuremba nywele zako?"

Kama urembo wake unakuumiza kaa naye mbali.

KWA WANAUME MLIOOA, kamwe Usimuulize mkeo
"Je, ndivyo unavyovaa siku hizi?" Badala yake, pendekeza mavazi ambayo ungependa awe anavaa siku hizi na atakuelewa tu.

Na usimuulize ikiwa yuko hedhi. Hasira za hedhi ni hadithi tu.

Ubarikiwe.
We s umetukataza kuchezea wake za watu we jamaa
 
Ungesema kwanini tusiulize na tukiuliza nini kitatokea.
Hilo la kalala na waneume wangapi kwangu ni la lazima yani ni lazima nijui CV yake ili niwe na mpango kazi unaomfaa kudeal nae

Eti nisimuulize ikiwa yuko hedhi😂 nikitaka mzigo je? Nitajuaje😂😂😂😂
 
KWA MWANAUME AMBAYE HAJAOA :
Ikiwa huna mpango wa kumuoa huyo mwanamke wako, kamwe usimuulize umri wake.

Usimuulize kwanini bado yuko single.

Usimuulize ana uzito wa kilo ngapi.

Na ikiwa haujawahi kulala naye, kamwe Usimuulize ikiwa ana ujauzito kuwa kaupataje.

Kamwe usimuulize mwanamke wako kama rangi yake, kucha zake, nywele zake, matiti na matako yake ni halisi.

Moja ya maswali ya hovyo kabisa ni kumuuliza mwanamke "ni wanaume wangapi amelala nao"

Na usijaribu pia kumuuliza mwanamke swali kama hili , "Ulitumia shilingi ngapi kuremba nywele zako?"

Kama urembo wake unakuumiza kaa naye mbali.

KWA WANAUME MLIOOA, kamwe Usimuulize mkeo
"Je, ndivyo unavyovaa siku hizi?" Badala yake, pendekeza mavazi ambayo ungependa awe anavaa siku hizi na atakuelewa tu.

Na usimuulize ikiwa yuko hedhi. Hasira za hedhi ni hadithi tu.

Ubarikiwe.
Tumeanza kupangiwa hadi maswali ya kuwauliza wapenzi wetu????
Kweli huu mwaka mupya....
 
Mkuu wakati wa yeye kuwa hedhi piga naye story tu, mambo ya kutaka mzigo subiri baada ya siku 3
Sasa ndio nisimuulize kama yuko hedhi?

Mimi ninauliza na ninauliza anajisikiaje kuwa hedhi

Nikukumbushe tena “women are not tender creatures as men would like them to be” - R. Greene
 
KWA MWANAUME AMBAYE HAJAOA :
Ikiwa huna mpango wa kumuoa huyo mwanamke wako, kamwe usimuulize umri wake.

Usimuulize kwanini bado yuko single.

Usimuulize ana uzito wa kilo ngapi.

Na ikiwa haujawahi kulala naye, kamwe Usimuulize ikiwa ana ujauzito kuwa kaupataje.

Kamwe usimuulize mwanamke wako kama rangi yake, kucha zake, nywele zake, matiti na matako yake ni halisi.

Moja ya maswali ya hovyo kabisa ni kumuuliza mwanamke "ni wanaume wangapi amelala nao"

Na usijaribu pia kumuuliza mwanamke swali kama hili , "Ulitumia shilingi ngapi kuremba nywele zako?"

Kama urembo wake unakuumiza kaa naye mbali.

KWA WANAUME MLIOOA, kamwe Usimuulize mkeo
"Je, ndivyo unavyovaa siku hizi?" Badala yake, pendekeza mavazi ambayo ungependa awe anavaa siku hizi na atakuelewa tu.

Na usimuulize ikiwa yuko hedhi. Hasira za hedhi ni hadithi tu.

Ubarikiwe.
Huu ni ushosti ukishakuwa na fikra hizo uanaume haupo tena
 
Back
Top Bottom