Kumbe ana mtoto nimemuacha na nimemfukuza

Kumbe ana mtoto nimemuacha na nimemfukuza

Aseee...umekosea sana.Akidai umempotezea muda usilie humu.Kuwa na mapenzi ya kweli mkuu!Ingekua kilema je?
 
Hawa wachumba bwana siku zote mwanamke ndio mwenye makosa jamani! yeye angekua na mtoto angesema bahati mbaya kaa mama tuanze maish lakini kwa mwanamke ni haram, yale yale mwanamke akifumaniwa ni Malaya mwanaume yeye ni Lijali, Hana mashiko mtoa mada.
Wewe ungekua na mtoto je? Usijione smart bro dunia ndogo hii utakae mpata mwingine atakuambukiza HIV
 
Mtoto sio kikwazo cha kukuzuia kumuoa,labda kama una sababu nyingine!
 
Umemuacha kwa sababu kakudanganya au kwa sababu ana mtoto kijijini? Dada alishaona hutaki mwanamke mwenye mtoto, na yeye alishakolea akaogopa kukupoteza. Wote wawili ni waoga. Sasa kama umeshakuwa nae muda mrefu, ukaona ni mzuri mpaka ukataka kumuoa ina maana uzuri umeondoka ghafla kwa sababu ya mtoto? Watu wengi walishafanya ngono kabla ya ndoa, labda hata wewe, na baadhi yao walitoka huko na watoto. Unaposema wanawake wasubiri waje kuzaa na waume zao unataka kutuaminisha kuwa muda wote uliokaa na huyo binti hujawahi kumfanyisha majukumu ya ndoa ambayo yangeweza kuleteleza mtoto? Hii haikufanyi uende kinyume na principles zako lakini ikufikirishe kuwa unaweza kukutana na binti mwingine asiye na mtoto lakini akawa na hango over za mahusiano yake ya zamani, au ukabahatisha bikira mwenye changamoto ya tofauti. Changamoto ni nyingi ila usikurupuke kufanya maamuzi. Ushajua kwa nini alikudanganya ingawa lengo halihalalishi njia, sasa chunguza kuhusu huyo mtoto kama baba na mama wana mahusiano hatarishi. Si ajabu alishakufa au alikuwa mtoto mwenzie enzi hizo na sasa kila mtu ana maisha yake. Lakini kama moyo wako haukutumi kabisa kuwa naye basi muache kiroho safi kabisa.
 
Usihukumu utahukumiwa...ila kaa nae na akueleze sababu nahisi huyo mwanamke anakupenda ndo maana hajakuambia na atakuwa mke bora maana amejifunza pia so mchukue anakufaa sana
 
usihukumu usije ukahukumiwa, wasamehe wengne nawe utasamehewa, mbona unaangalia kibanzi kilicho ndani ya jicho la ndugu yako?
Kama hujawahi kuzini basi uwe wa kwanza kumwacha huyo mwanamke.
 
Hakika leo nimejua kwanini mabint wanatoa sana mimba nyakati hizi, kwa unyanyapaa huu hakika mnakuja kuoa mwanamke alizaa watoto 7 na wababa tofauti ila wote wapo kwenye dustbin la hosp khaa!.

jamani binabamu anabadilika, kuzaa sio sababu za kuwa alikuwa malaya, kunamabint wanakuwa katika mahusiano vizuri tena waamifu ila ikitokea kapata mimba jamaa anakimbia, sasa huyu binti akiamua kuzaa ni malaya kweli? ifike wakati tuangalie pande zote mbili, huyo mwenye mtoto mbona akienda kuoa anapokelewa kwa mikono miwili ila binti ni malaya HAPANA HAPANA.

Jambo lingine lingine ambalo watu hawalijui ni kwamba bint aliyezaa huwa makini kwa kuwa mwaminifu ili asilete aibu tena nyumbani, maana kitendo cha kuzaa nyumbani ni fedheha isiyomithilika kwa bint na familia, hali hii huwafanya mabint wengi wanaojitambua kuwa waamifu na wavumilivu sana ili tu asije akaachika kwenye ndoa/mahusiano.

naishia hapa.
 
Bora tu umuache usije ukaishia kumnyanyasa dada wa watu kwa maneno kila siku kisa mtoto. Ila nae angekuwa mkweli tangu mwanzo msingepotezeana muda na kupeana false hope!
 
Umemuacha kwa sababu kakudanganya au kwa sababu ana mtoto kijijini? Dada alishaona hutaki mwanamke mwenye mtoto, na yeye alishakolea akaogopa kukupoteza. Wote wawili ni waoga. Sasa kama umeshakuwa nae muda mrefu, ukaona ni mzuri mpaka ukataka kumuoa ina maana uzuri umeondoka ghafla kwa sababu ya mtoto? Watu wengi walishafanya ngono kabla ya ndoa, labda hata wewe, na baadhi yao walitoka huko na watoto. Unaposema wanawake wasubiri waje kuzaa na waume zao unataka kutuaminisha kuwa muda wote uliokaa na huyo binti hujawahi kumfanyisha majukumu ya ndoa ambayo yangeweza kuleteleza mtoto? Hii haikufanyi uende kinyume na principles zako lakini ikufikirishe kuwa unaweza kukutana na binti mwingine asiye na mtoto lakini akawa na hango over za mahusiano yake ya zamani, au ukabahatisha bikira mwenye changamoto ya tofauti. Changamoto ni nyingi ila usikurupuke kufanya maamuzi. Ushajua kwa nini alikudanganya ingawa lengo halihalalishi njia, sasa chunguza kuhusu huyo mtoto kama baba na mama wana mahusiano hatarishi. Si ajabu alishakufa au alikuwa mtoto mwenzie enzi hizo na sasa kila mtu ana maisha yake. Lakini kama moyo wako haukutumi kabisa kuwa naye basi muache kiroho safi kabisa.

Hajampenda tu.ukute na yeye kakataa mimba kibao huko mtaani, alafu anajidai hataki Mwenye mtt. Anajichimbia shimo tu asilojua urefu wake.
 
Rule no moja,Ukiwa na Mtoto,usiharakie kumuambia mwanaume,vuta subira,akishafall in Love,mwambie,kikuacha ana yake...
 
Bora shetani unayemjua, Kuliko malaika usiomfahamu.
 
Chapa lapa mkuu huwezi kuoa mwanamke mwenye mtoto. Jiulize huyo mwanaume mwenzio amekimbia nn?
 
kuna binti nimekuwepo nae for longtime mpaka nika plan kuwa mungu akipenda awe wife kumbe kwao ana mtoto na amenidanganya ila katika kufanya utafiti nikajua ameshazaa nimejitoa mdogomdogo.

Hivi wanawake mnapenda kuzaa tena na kuolewa?basi muwe na subira uzae na mume wako.




kwaiyo mwanamke akishakuwa amezaa huwa hafai kuolewa au kuchumbiwa,,,,,,,nni kitaleta kikwazo labda???
 
Back
Top Bottom