Ushauri wako unahitajika: Kumbe mpenzi wangu ana mchumba!

Mtoto wa Jadu

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2018
Posts
468
Reaction score
1,135
Habari za muda huu wadau[emoji112]

Mimi ni muajiriwa katika sekta binafsi. Basi mara baada ya kupata kazi hii, nikazoeana sana na dada flani. Baadaye kiutani utani tukawa wapenzi na binafsi nikampenda sana kwa ile staili ya 'sioni wala sisikii'. Na yeye alionyesha kunipenda na kunijali sana, kwa sababu alinipa almost vyote nilivyohitaji.

Baada ya kuwa katika mapenzi kwa muda, baadaye akaniambia kwamba, 'Ni kweli unanipenda na mimi ninakupenda, lakini let me tell you something, nina mtu wangu kwa almost mwaka wa tatu huu sasa, na ameahatuma watu nyumbani kuja kujitambulisha, anategemea kunivisha pete hapo mapema mwakani'.

Seriously, baada ya kusikia hivi sikuamini kabisa, na nikawaulizia mpaka marafiki zake wa karibu, ambao at last wali confirm.

Sasa najiuliza sijui hata nifanyaje, am completely desperated. Binti ninampenda sana utafikiri ndio mapenzi ninaanzia kwake.

Ebu wadau naombeni mnishauri, nifanyaje ili angalau maumivu ya moyo yapungue, I love a girl so much, na ofcoarse kwa sababu ana mchumba, kuachana naye ndio solution, tatizo ni maumivu ya moyo.

Naombeni ushauri wana MMU.
 
We Kula mzigo .endelea Kula mzigo mzigo Anza kupapasa macho ili utafute mwingine.usijiendekeze Sana utaumia. Kitu muhimu iwe Papuchi.
 
Kama ameweza kukupa vyote unavyohitaji kwake ilhali ana mchumba hata ukimuoa atampa mwingine vyote anavyohitaji akiwa na wewe.
Mshukuru Mungu endears na maisha yako. Miezi miwili kuanzia sasa utakuwa na ahueni ya maumivu.
Sure, Sister Sky, umeongea point!!

Lakini nilimuulizia, hilo kwamba anajua kabisa ana mchumba why she granted everything to me?!

Alijibu, I don't love a boy, as he doesn't to me!!

Lakini umenishauri point sana Sister!!
 
We Kula mzigo .endelea Kula mzigo mzigo Anza kupapasa macho ili utafute mwingine.usijiendekeze Sana utaumia. Kitu muhimu iwe Papuchi.
Unachosema ni sawa mkuu DASM, shida inakuja ni haya maumivu ya moyo, how am I going to heal up!!
 
Kwanza hunabudi kumshukuru kwa kua amekwambia mapema. Kama ulikua umeishazama penzin sasa ni wewe akili kumkichwa, uendelee kuzama jumla au aunze kujitoa taratib.

Note that, hadi ameamua kukwambia ni either kuna baadhi ya vitu umezidiwa na mchumba waake or anakupenda saana hataki uje kuumia baadae.
 
Habari za muda huu wadau[emoji112]

Mimi ni muajiriwa katika sekta binafsi. Basi mara baada ya kupata kazi hii, nikazoeana sana na dada flani. Baadaye kiutani utani tukawa wapenzi na binafsi nikampenda sana kwa ile staili ya 'sioni wala sisikii'. Na yeye alionyesha kunipenda na kunijali sana, kwa sababu alinipa almost vyote nilivyohitaji.

Baada ya kuwa katika mapenzi kwa muda, baadaye akaniambia kwamba, 'Ni kweli unanipenda na mimi ninakupenda, lakini let me tell you something, nina mtu wangu kwa almost mwaka wa tatu huu sasa, na ameahatuma watu nyumbani kuja kujitambulisha, anategemea kunivisha pete hapo mapema mwakani'.

Seriously, baada ya kusikia hivi sikuamini kabisa, na nikawaulizia mpaka marafiki zake wa karibu, ambao at last wali confirm.

Sasa najiuliza sijui hata nifanyaje, am completely desperated. Binti ninampenda sana utafikiri ndio mapenzi ninaanzia kwake.

Ebu wadau naombeni mnishauri, nifanyaje ili angalau maumivu ya moyo yapungue, I love a girl so much, na ofcoarse kwa sababu ana mchumba, kuachana naye ndio solution, tatizo ni maumivu ya moyo.

Naombeni ushauri wana MMU.
Achana naye huyo hajatulia,yeye anajua ana mchumba ikawaje akukubalie na wewe,sasa kaa ukijua hata ikiwa utafanikiwa kumuachanisha na huyo mchumba wake hatashindwa kukuchanganya wewe na mwanaume mwingine,hayo maumivu ukikaa mwezi bila ya kuwa na mawasiliano nae yatakata,muombe Mungu wako akuepushe na hiyo roho,kifupi huyo mwanamake ana tamaa ya wanaume/malaya,sorry to say that...
 
Jamaaa na
Wewe ni kijipu,Kuna vitu kadhaa nimenotes from U.

1.Wewe ulikuwa unakula huyo dada ila ulikuwa hauna future plan naye.Hii ni shida ya wanaume wengi hatuonyeshi interest kwa wale tunao wapenda Kama tuna mpango nao wa abaadae or not.
2.Ukimya wa kutokutangaza dau la kumoa limekucost,if U love her na ungemwambia lini utao na yeye asingepata vishawishi vya kupata mtu mwingine wa kumweka moyoni na hadi kupelekwa kwao kwenda kutambulishwa.
3.Kuna mtu amesema huyo jamaaa anaye mchukua huyo amekuzidi kitu furana ambacho wewe huna kiasi kwamba dada anashindwa kujizui kutoka kwa huyo.

Note:let her go with peaceful,na wewe achana nae maana huyo dada na yeye ni penda penda angekuwa mvumilivu angekusubiri wewe mzee baba.
Ukipata mwingine muwe na future plan kubwa Sasa.
 
Pole sana. This is sad news to me.

Haya yote yamekupata kwa kuwa uliwekeza upendo kwa mwanamke. Hapo ndipo men wengi tunapojisahau.

Mungu wetu anasema tuishi kwa upendo, ila inapokuja inshu ya mwanamke anatusisitiza kutumia AKILI ya kiwango flani cha juu ili tusiongozwe na nguvu ya upendo.

Jipe moyo, hujaharibikiwa, jipe ujasiri. Tena mshukuru Mungu kwa kuwa umejua mapema. Anza kumtoa moyoni japo ni ngumu. Kama mlikuwa mnagegedana mara 10 kwa mwezi, basi fanya mara 2 tu.

Wakati unamtoa moyoni, pepesa macho kwingine ila usikurupuke.

Siku ukimpata mwingine mkaridhiana kama huyo, usicheleweshe mambo. Anza taratibu ili awe mtarajiwa na hatmaye awe mkeo.
 
Kama ameweza kukupa vyote unavyohitaji kwake ilhali ana mchumba hata ukimuoa atampa mwingine vyote anavyohitaji akiwa na wewe.

Mshukuru Mungu endelea na maisha yako. Miezi miwili kuanzia sasa utakuwa na ahueni ya maumivu.
Point
 
Jipange kawaida sana sisi wengine ukifuatilia kwa umakini unakuta ana mtoto na bwana ake yupo anaishi nae kisera ila nina swali hivi kwanini hawapendi kusema huwalisia wao mapema
Noted : kama ukimpata mwingine mfanyie uchunguzi kabla ya kuzama kwenye mapenzi
 
Back
Top Bottom