Wanawake chukueni hii

Wanawake chukueni hii

Dumuzii

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2019
Posts
3,601
Reaction score
8,711
Wengiwenu mmekua mkijisifia kuwa mnakula na kuwatumia wanaume. Yaani mnakula na kutumbua pesa za wanaume. Ili kumkomoa mwanaume .

Nawafichulia tu siri mwanaume utakae mfuja hivyo ni yule ambaye alikupenda ukweli na alikuwa na ndoto na wewe kama kuna siku mtajenga familia na utakua mama wa wanae ambao wengi wa wanaume hawa huishia chuo na sekondary.

Wanaume wengi juu ya hapo wanakua walisha pevuka kifikra so inakuwa ngumu kutumika kama walivyo tumika huko nyuma.

Wanaume wengi baada ya hapo mnao kula hela zao wengi wao ni wanakua wamewaandalia bajeti. Yaani mwanaume kabla ya kukufuata anakua amekukadiria kwamba kwa muonekano wako na jinsi ulivyo ajipange na bajeti ya shingapi ili akuvue chupi. Na kwa hili wanawake wengi hawajui kuwa zile hela tunazo wapa ni fungu lao ambalo lilisha pangwa kuteketezwa kwa ajili yake wao huzani wametukomoa [emoji16][emoji16].

Sad enough wanawake wangi wapo kwenye bajeti ya chenji za pombe yaani tulewe kidimbwi alafu twende geto nikunyandue alafu asubuhi nikupe masalia ya hela zilizo baki jana usiku kwenye bar wenyewe mnaita pesa ya sabuni [emoji23][emoji23]

Wanawake jueni kwamba hamtukomoi bali mnapoteza muda wenu hizo elfu 15....30..50..70...150 kwetu sio kitu . Yaani ukiona nimekupa 20 basi jua ilitengwa elfu 50 kwa ajiri ya bata la siku hiyo na katika bata na wewe ulisha kuwepo kwenye hiyo bajeti, yaani nitakunywa bia nne....bajaji....na pisi..bila kusahau na ya emergency...so msipo badirika tutaendelea kuwafanya bidhaa.

Na nikimaliza anasa zote hizo nikitaka kuoa nakuja speed kwa mtoto mwenye miaka yake 20 ... 25 anaejitambua mwenye sura yake personal na shepu isio eleweka namuheshimisha na kufanya uwekezaji wa mabilioni na ulinzi mkali. Huku nyie mnao jiita pisi kali tuwaacha hukohuko kidimbwi muendelee kula chenji chenji za masela wengine huku mkiendelea kuona wanaume wajinga na nyie ndio wajanja. Huku hao wanaume wakiendelea kuwachora tu na pale kengele za kufanya maendeleo ya future zao zitakapo lia tu nao mbio kwa vitoto vya 20...25 vinavyo jielewa na kuvifanyia uwekezaji wa mabilioni na kuwaacha nyie mkiendelea kuhubiri kuwa wanaume ni mbwa.

Wanawake jitambueni mwanamke wa kumtumia mwanaume karne hii hayupo acheni kujidanganya wengi wenu mnatumika tu ....mwanaume kukutengea hata bajeti ya milioni 10 ili akutafune tu kwetu sio kitu cha ajabu.

Kazi kwenu...
 
Pitia nyuzi zangu kadhaa may be utapata idea upo kwenye uzi wa mwanaume type gani.

Acha kubuni na "kulabdisha" mambo
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Tulia basi uandike vizuri dogo.

Anyway, ndio ukubwa huo. Tulia tu, hata hili litapita.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tulia basi uandike vizuri dogo.

Anyway, ndio ukubwa huo. Tulia tu, hata hili litapita.
Hauna jinsia
 
Wengiwenu mmekua mkijisifia kuwa mnakula na kuwatumia wanaume. Yaani mnakula na kutumbua pesa za wanaume. Ili kumkomoa mwanaume .

Nawafichulia tu siri mwanaume utakae mfuja hivyo ni yule ambaye alikupenda ukweli na alikuwa na ndoto na wewe kama kuna siku mtajenga familia na utakua mama wa wanae ambao wengi wa wanaume hawa huishia chuo na sekondary.

Wanaume wengi juu ya hapo wanakua walisha pevuka kifikra so inakuwa ngumu kutumika kama walivyo tumika huko nyuma.

Wanaume wengi baada ya hapo mnao kula hela zao wengi wao ni wanakua wamewaandalia bajeti. Yaani mwanaume kabla ya kukufuata anakua amekukadiria kwamba kwa muonekano wako na jinsi ulivyo ajipange na bajeti ya shingapi ili akuvue chupi. Na kwa hili wanawake wengi hawajui kuwa zile hela tunazo wapa ni fungu lao ambalo lilisha pangwa kuteketezwa kwa ajili yake wao huzani wametukomoa [emoji16][emoji16].


Sad enough wanawake wangi wapo kwenye bajeti ya chenji za pombe yaani tulewe kidimbwi alafu twende geto nikunyandue alafu asubuhi nikupe masalia ya hela zilizo baki jana usiku kwenye bar wenyewe mnaita pesa ya sabuni [emoji23][emoji23]


Wanawake jueni kwamba hamtukomoi bali mnapoteza muda wenu hizo elfu 15....30..50..70...150 kwetu sio kitu . Yaani ukiona nimekupa 20 basi jua ilitengwa elfu 50 kwa ajiri ya bata la siku hiyo na katika bata na wewe ulisha kuwepo kwenye hiyo bajeti, yaani nitakunywa bia nne....bajaji....na pisi..bila kusahau na ya emergency...so msipo badirika tutaendelea kuwafanya bidhaa.


Na nikimaliza anasa zote hizo nikitaka kuoa nakuja speed kwa mtoto mwenye miaka yake 20 ... 25 anaejitambua mwenye sura yake personal na shepu isio eleweka namuheshimisha na kufanya uwekezaji wa mabilioni na ulinzi mkali. Huku nyie mnao jiita pisi kali tuwaacha hukohuko kidimbwi muendelee kula chenji chenji za masela wengine huku mkiendelea kuona wanaume wajinga na nyie ndio wajanja. Huku hao wanaume wakiendelea kuwachora tu na pale kengele za kufanya maendeleo ya future zao zitakapo lia tu nao mbio kwa vitoto vya 20...25 vinavyo jielewa na kuvifanyia uwekezaji wa mabilioni na kuwaacha nyie mkiendelea kuhubiri kuwa wanaume ni mbwa.


Wanawake jitambueni mwanamke wa kumtumia mwanaume karne hii hayupo acheni kujidanganya wengi wenu mnatumika tu ....mwanaume kukutengea hata bajeti ya milioni 10 ili akutafune tu kwetu sio kitu cha ajabu.

Kazi kwenu...
Nimewaza haraka haraka , pesa ambazo huwa nahonga, nikagundua ni kweli huwa naweka kiwango maalumu kabla sijaitoa hiyo pesa.
 
Back
Top Bottom