Salaam,
Mwanzo upendo ktk mahusiano/ndoa hua na nguvu sana coz wahusika huziweka wazi hisia zao vile wanavofeel juu ya wenza wao.
Jambo hili hujenga bond strong baina yao na kuwafanya wahusika wapendane kupita kiasi, but jambo hili linapopuuzwa bond hua weak na kusababisha wahusika wachokane.
kama unapenda kuirejesha nguvu ya upendo ktk mahusiano/ndoa yako basi dumisha kueleza hisia zako vile unafeel juu ya mwenza wako daily ktk kila jambo.