Kulea mimba, mtoto si wako! Inaumaga hiyoooo....

Kulea mimba, mtoto si wako! Inaumaga hiyoooo....

Nsimbi

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2014
Posts
1,091
Reaction score
1,208
Matukio ya watu kulea watoto ambao sio wao yamekuwa yakileta mifarakano katika jamii kwa miaka mingi.

Utakuta mtoto analelewa kwenye nyumba ya baba mnyamwezi lakini ukimwangalia pua na masikio yake yote ya kinyaturu!!! Eti kitanda hakizai haramu....!

Ni mtihani mkubwa kuishi na mtoto ambaye unahisi wewe si baba yake!! Ingawa mtoto hana kosa off course lakini mama ndio chanzo cha uncertainty.. Too many possible fathers at a time.

Hii haina maana mwanamke alikuwa necessarily kahaba. Inaweza kutokea kwa mwanamke yeyote hasa akidate wanaume tofauti in short intervals.

Wakati mwingine ukimuuliza mama juu ya uncertainty kuhusu huyo mtoto hakubali wala hakatai possibility ya kwamba si wako!! Wengi wanatumia kisingizio cha kuwa wakaliiii ili ku buy time. Labda.

Ni fedheha, aibu, hatari na changamoto kubwa kama unaona sura ya mtoto huyo imefanana na jamaa unayemjua na sometimes mnakutana bar.

Nahisi baadhi ya akina dada huamua kuwapakazia watoto wanaume wasiooa bado kwa kuwa baba halisi wa watoto wao ni waume za watu. Hawataki kuvuruga ndoa.

Je ni ujinga kulea mtoto ambaye si wako kwa miaka na mikaka either kwa kujua au kutojua?! ... Was I stupid kuweka mapenzi above anything else?

Sometimes mapenzi yanapofusha macho hata kama wewe mweusi tiii ukiletewa mtoto mwarabu wakisema amefanana na babu wa great great babu yako unakubali!! Sasa nimeshtuka. Nifanyeje?

Sidhani kama kuna haja ya DNA. She looks exactly like 'him' !!!! Hata siku ya kwanza kumuona huyo mtoto I felt amefanana na huyo jamaa...

Kuna haja ya kumshitaki huyo mwanamke kwa kunighilibu? Vipi dini zinasemaje juu ya hilo. Any lessons learned?
 
Pole kwa yaliyokukuta

Ungekua kaka angu ningekusindikiza kituo cha polisi kumshitaki huyo mwanamke
 
Leta picha yako, ya mkeo, ya huyo jamaa unayehisi alimukuna mkeo na picha ya Mtoto mwenyew. Bila hivo ni kufeli kwa FASIHI
 
Wanawake Wanawake Wanawake. Kulea mtoto sio wako inauma Sanaa.Hawa wanawake sijui Huwa wanafikiria nini[emoji848][emoji848]
 
Back
Top Bottom