Habari ganj wanafamilia wa MMU, Ni muda sana umepita tangu nilete maada yangu kuomba ushauri. Poleni kwa changmoto za maisha NA misiba iliyoikumba nchi yetu pendwa.
Niende kwenye maada, mie na...
Nitaandika kwa kifupi tu, kuna case nimeshindwa kuipa suluhu nimeitwa kuleta amani kwenye nyumba ya hawa wanandoa.
Wewe ni mwanamke muislamu olewa na mwislamu mwenzako, na kama wewe mwanaume ni...
Kuna binti mmoja niliwahi kumtongoza akanikataa,basi me nikabembeleza sana ila akawa amebaki na msimamo wake,kwa kweli huyu binti nilitokea kumpenda sana na ikafikia hadi hatua nikawa namhonga...
Nawasalimu wana MMU wote kwa jina la JF, Alasiri hii nimejisikia tu kwa utashi wangu kumuelezea jinsi ninavyomjua Miss Nakadori humu MMU, kwa upande wangu kutokana na thread zake ambazo huwa...
Wakuu hamjambo
Marahabaaa.....
Nimekuja kuwauliza hivi mbona
Hamnaga singo faza mtaani. Yaani huwezi kuta mwanaume mwenye mtoto bila ndoa aitwe singo faza.
Hata kama wapo mbona wana CV nzuri...
Habarini waungwana.!
Niende kwenye dhima ya uzi wangu. Mke wangu mdogo ana week ya pili mguu unamuwasha mno. Naomba kueleweshwa tiba.
Anasema akifanya mapenzi asubuhi hali hii humkuta. Pia ana...
Inawezekana ukafunga ndoa bila kutoa mahari, yaani hata ukiambiwa utoe ukagoma? Mahari ni lazima ili kufunga ndoa?
Mfano mmekubaliana mnaenda kufunga ndoa ya kiserikali au kanisani. Kuna kigezo...
Habari Wadau, niende kwenye mada. Hii imemtokea rafiki yangu amabae ana girlfriend wake wamekaa muda mrefu mdogo.
Katika harakati za kutafuta maisha rafik yangu alipata kazi akapangiwa mkoani...
Ni Hawara yako (Demu wako) kabisa (japo una Mke) na Umeshamjulisha na Kumkataza kabisa asiwe anakupigia Simu Usiku ukiwa Kwako na Mkeo na ikitokea akakiuka Makubaliano na Masharti yako na akapiga...
Aisee,
Mnaoenda mikoani kwa shughuli mbalimbali (hasa msimu huu wa kilimo) kuweni makini Sana na mabinti/wanawake wazur mnaowatamani uko mitaani.
Wee Ni mgeni Umeenda mkoani. Unamuona binti...
TIP YA MIZAGAMUO PART II
RECAP
........ kwenye swala la HISIA ni vizuri kumuonyesha MWANAMKE kuwa unamthamini sio KWASABABU tu pia na sababu zingine kama akili, mavazi, nywele,upole, mshauri...
Kati ya vitu vigumu ambavyo vimekuwa vinawasumbua vijana wengi sikuhizi ni pale anapokuwa ana mapenzi na mtu ambaye kiukwel yeye anampenda kutokana na mazingira labda waliokutana au vitu...
Naenda kupata mtoto wa tatu na mwanamke ambaye sikuwahi fikiri nitazaa naye!
Ipo hivi mwaka jana katika safari zangu za biashara nilijikuta nalala hotel moja Mbeya, sababu ya kulala hapo ni ubora...
Habari JF
Nina mahusiano Mazuri na ninayetaka kumuoa ila tatizo ni kwamba yeye anataka Nimuoe mwezi wa kumi na sio huu wa Ramadhani.
Nina muhudumia kila kitu, naogopa kupoteza pesa mana mwanamke...
Habari,
Mimi naishi Songea, najishughulisha na ufundi, nimekuja mbele yenu nahitaji mke wa kuoa ambaye ameamua sasa kutulia na familia. Awe single mother, asizidi mtoto mmoja. Nahitaji single...
Kutojali hiyo siyo kwamba ndio uwe mkatili kwa mwanamke. Kutojali hiyo siyo kwamba ndio usimtimizie mahitaji ya muhimu. Kutojali hiyo siyo kwamba ndio umfanye mwanamke hana thamani kwako.
Hapana...
Habari za siku nyingu wandugu, Mwaka 2010 nilioa mwanamke tuliyedumu naye uchumba takribani miaka 5 tena ndoa ya kanisani lakini huyo Mke aliniacha naye akakimbila USA, baada ya hapo mwaka 2012...
Habari wakuu
Nina rafiki yangu mmoja sio tu rafiki bali pia amekuwa kama ndugu yangu jamaa anadate na mke wa mtu Tena anakaa nae mtaa mmoja na mine wake ya huyo manzi anamjua, kibaya zaidi...
Habarini wana MMU
Karibuni leo tushare hili kwa pamoja,kuna usemi unasema kilajambo lina mwanzo,kuna mwanzo wa kila kitu na kila mwanzo wa jambo mtu huwa nahisia Fulani juu ya mwanzo wa jambo...