Unalo takiwa kujua

Unalo takiwa kujua

Joined
Nov 8, 2016
Posts
23
Reaction score
33
TIP YA MIZAGAMUO PART II

RECAP

........ kwenye swala la HISIA ni vizuri kumuonyesha MWANAMKE kuwa unamthamini sio KWASABABU tu pia na sababu zingine kama akili, mavazi, nywele,upole, mshauri, mpangilio wa nyumba nk


3. UTOFAUTI

Tusambazeee!!

Kwa mapana kuna wakati wa kufanya mapenzi na mwanamke (make love) na kuna wakati wa kumpa kidinyo (fuc*, kuweka misingi kwamba nani ni MWANAUME (dominance)

KWENYE mahusiano ni lazima kuwepo na utofauti, usifanye kitu kile kile kila MARA, Nilazima uwe una badilika kama kinyonga

Usitoe nafasi akafikiri ameshajua mbinu zako za kivita

UTOFAUTI KI VIPI?


Staili, maandalizi. huko umezoea kuambiwa ni LAZIMA umuandae mwanamke, MIMI NAKUAMBIA SI KILA MARA UNATAKIWA UMUANDAE

Kama una make love to her, maandalizi ni lazima. kama una establish dominance unaweza ukambeba juu juu ukamweka mezani/ ukutani tah! tah! tah! tah! ukamaliza

Wanawake wanapenda sana kuona hii aggressive side kwa mwanaume

Sehemu mnayofanyia mapenzi, si lazima iwe ile ile kila siku, staili sio lazima iwe mbuzi kagoma kwa sababu umeizoea au unaipenda

Isiwe kwasababu unajua kuna kitu kinaitwa G-spot basi ukawa unakimbilia kila mara kama fundi bomba

Tengeneza mazingira kwamba kuna WAKATI, unampa intense pleasure na wakati mwingine anashindwa kukuelewa umefanyaje

Kama unaingia unamkuta amekaa kwenye kochi unamgeuza unamlaza kichwa chini unambusu shingoni, unashika sketi/suruali unaishusha kama unataka kumpa mambo alafu unamka zako unaondoka unamuacha amelala hapo

Unapiga mechi, piga mashine piga mashine unaona kabisa huyu hajiwezi anafika kileleni unachomoa mb** unatoka kitandani unachukua chupa yako ya maji unaanza kunywa

Inaweza ukawa umemtoa out kwenye restaurant, sio mbaya ukipitisha mkono chini ya meza ukaingiza kwenye gauni ukashika paja ukiwa unakwangalia usoni, wazee kuna sex in the car, unaweza ukamgonga umeacha mlango wazi au nje kibarazani

Kama kawaida, too much of anything is harmful kwahiyo haya matukio hakikisha yanakuwa ya kimahesabu ili yasiwe ya kuchosha

4. KIDIMBWI chwaah!!![emoji16] (imersion)

Ili muweze ku enjoy ni lazima MWANAMKE asiwe (self conscious), mtu anaye jishtukia

Hii inategemea na jinsi anavyokuona na anavyo jisikia akiwa na WEWE. hapa ndio unaona umuhimu wa jambo la pili (2) HISIA

Inatakiwa umjengee mwanamke hisia chanya kiasi cha yeye kuwa free na kujiachia akiwa na WEWE

Hili JAMBO linachukua mda, mtengenezee mazingira kama haya kadri siku zinavyo enda na hamtakuwa kama MWANZO tena.

Inawezekana mlivyo kuwa mnaanza alikuwa anakupimia lakini jinsi unavyo mzamisha kwenye hiki KIDIMBWI basi inakuwa NGUMU yeye kufikiri fikiri


...... tuishie hapa kwa leo
 
Mkuu hizo performance zote zinahitaji energy... (msosi)
Ambayo ni lazima uwe na pesa...
 
Back
Top Bottom