Mikoani wanandoa hutengeneza mafumanizi feki kujipatia kipato

DeepPond

JF-Expert Member
Nov 18, 2017
40,458
99,092
Aisee,
Mnaoenda mikoani kwa shughuli mbalimbali (hasa msimu huu wa kilimo) kuweni makini Sana na mabinti/wanawake wazur mnaowatamani uko mitaani.

Wee Ni mgeni Umeenda mkoani. Unamuona binti kanona, unamtamani anakwambia hajaolewa na anaishi mwnyw. Unaridhika na majibu yake na mnaanza rasmi mahusiano.

Mihemko inakuzidia
Unajipeleka kichwa kichwa kufanya mapenzi nyumbani kwake,guest,gheto la mtu au kwny shamba house yako.

Ghafla unavamiwa na watu kibao Wana silaha za jadi, wanaongea kilugha chao na unatuhumiwa unatembea na MKE wa mtu,
Na mmoja wao anajitambulisha ndo mume wa binti yule. Na binti anakiri kweli yule Ni mumewe.

Utajitetea Sana ulikua hujui
ila husikilizwi maana hamna anaekujua wee Ni mgeni tu eneo Lile. Utachezea sana kichapo, utapekuliwa mifukoni na kulazimishwa ulipe fidia kubwa yaishie pale pale wasikudhalilishe mitaani.

Mpk unaachana nao,
Tayar ushaumia Sana kimwili,kihisia kiuchumi,kijamii na kiroho

Ukija kufuatilia kwa wenyeji,
Unaambiwa kweli yule binti ulietembea nae ni MKE wa mtu,Tena wa ndoa ya kimila kabisa

Na kibaya zaidi
Wewe Ni Kama mtu wake tatu unafumaniwa na binti yule yule na mume yule yule akiwa na kikosi kile kile kilichokupiga na kukutoza faini nzito.

Cha kushangaza,
Wanaokwambia habari hizo,
Ni wenyeji wale wale waliokua wanaona unajimwmbafai na MKE wa mtu mitaani na hawakukwambia chochote kile mpk madhila yote yamekukuta
JamiiForums1024735338.jpg
 
Wengine mnajikuta matatizoni Kwa kesi za kuwabaka wanafunzi,

Mabinti wa mikoani wanasoma wakubwa mno, wengine wanaenda shulen jinsi wanavyotaka kutokana na mazoea,mila na tamaduni zao

Msimu huu wa kilimo watoto wengine hawaendi shule kabisa ili kuuwasaidia wazazi wao kazi za mashambani.

Ukikutana nao mitaani siku za shule
huwez jua Kama ni wanafunzi.

Ukianza mazoea na binti husika,
Utaona na hata wazazi wake Kama wanakuchekea na kukusapoti unachokifanya kwa binti yao
(Hasa Kama Ni mtoaji wa pesa ndg ndg)
Kumbe wanakulia TIMING wakule kichwa upigwe pesa ndefu.

Siku Ukifumaniwa nae,
Utaonekana sikuzote Wewe ndo chanzo Cha binti yao asisome shule na wanakua wakali mno na kukubadilikia kana kwamba ndo wamekuona leo.

Mpk umalizane nao,
Tayar ushachojolewa pesa nyingi sana ili kuizima kesi yako usifikishwe kwenye jamuhuri.
 
Songea vibinti vingi ukiviambia umetoka Daslam unang'oa. Kuweni makini mkitoka mijini kuja huku shamba mje na adabu!
Na Hii iko Sana,
Ukienda mkoani kutokea daslam
Unaonekana Lulu Sana na ukitongoza wanawake/mabinti hawakatai kabisa.

Mume wa mtu au mzaz wa binti akiona umeanza shobo na mtu wake haoneshi kukufatilia kabisa ili ujae vzur kwny mtego upigwe pesa Watu wakanywe pombe
 
Nina ushahidi jamaa alichukua pisi kuipeleka hotel baada ya muda zikaja njemba pisi inaanza kutweta mume wangu.
Alofanyiwa utapeli wa Hali ya juu walibeba simu 13pro max pesa zote maana aliambiwa ama tukufile ama utoe pesa
Mm mtu akijichanga kufanya hivyo ntajikusanya mishahara yangu mishe mishe kila kona nijaze kibunda cha kutosha ambacho najua wale machizi boti kina mudi hawawezi kuchomoa ili huyo mwamba alienitengenezea fumanizi feki yy na demu wake walichezee libolo mpaka Angola.

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom