Mbona hamnaga single FAZA?

Mbona hamnaga single FAZA?

KIDUME20

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2023
Posts
1,951
Reaction score
4,492
Wakuu hamjambo

Marahabaaa.....

Nimekuja kuwauliza hivi mbona
Hamnaga singo faza mtaani. Yaani huwezi kuta mwanaume mwenye mtoto bila ndoa aitwe singo faza.

Hata kama wapo mbona wana CV nzuri na hawawezi kusemwa kabisa.

Lakini hawa singo maza wanaonekana kama takataka au matapishi na jamii haiwapendi kabisa

Ikiwemo mimi [emoji19][emoji848][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957]

Naombeni mnijuze hiii hali siielewi

View attachment 2549685
Screenshot_20230312-010212~2.jpg
 
Men are poligamous by nature. It is taken to be strange when a man is monogamous.
 
Wakuu hamjambo

Marahabaaa.....

Nimekuja kuwauliza hivi mbona
Hamnaga singo faza mtaani. Yaani huwezi kuta mwanaume mwenye mtoto bila ndoa aitwe singo faza.

Hata kama wapo mbona wana CV nzuri na hawawezi kusemwa kabisa.

Lakini hawa singo maza wanaonekana kama takataka au matapishi na jamii haiwapendi kabisa

Ikiwemo mimi [emoji19][emoji848][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957]

Naombeni mnijuze hiii hali siielewi

View attachment 2549685View attachment 2549686
Wapo kibao tena humu ndo ile timu kataa ndoa.
 
Mbona tupo. Tofauti yetu na single Maza ni kuwa ss sio wasumbufu na tukiisha jua mtoto haishi na mama yake ndio kabsa hatuna time na wazazi wenzetu tena uwezi tukuta tunapiga simu kumsimulia mama mtoto vituko vya mtoto wake au kumwambia mwanao kakumis.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom