Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Shikamoon wakubwa zangu wote Wadogo zangu hamjambo. Hebu niulize,kwann baadhi ya wand wanajifanya kumjua mtu zaidi ya anavyojijua yeye. Nakumbuka wakati najiunga humu aliyenisaidia aliniambia...
17 Reactions
111 Replies
1K Views
Katika baadhi ya familia, baada ya wazazi kutengana au kutoshirikiana moja kwa moja katika ndoa, huibuka mifumo ya malezi kama co-parenting, au mtoto kubaki na mzazi mmoja huku mwingine akihusika...
0 Reactions
1 Replies
184 Views
Binti mrembo ambaye yuko tayari kutulia na mme aje inbox chap, umri wangu ni miaka 37, pia asome Uzi huu na azingatie Waepuke wanawake masikini
0 Reactions
3 Replies
155 Views
Mfano: Kutaka kuwa nae kila dakika na kufuatilia kila hatua yake pia kumvisha pete mbele ya watu wengi hii inaleta shinikizo kinoma. Ni yapi mengine unayohisi ni ya kimiyeyusho?
7 Reactions
20 Replies
313 Views
Wengine wanataka tu mtu wa kumsikiliza ajihisi nafuu. We kukimbilia kumshauri ni kama unadogosha tatizo lake. Unakuwa kama unamuona hana akili anahangaika na katatizo kadogo ambako wewe unaweza...
12 Reactions
17 Replies
217 Views
You’re not a man until your mother can’t manipulate you. Until then, you’re just a boy. Your mother was your first test. If she can guilt you or weaponize “I brought you into this world” to...
0 Reactions
3 Replies
174 Views
love + muziki + 🍻🍺
6 Reactions
41 Replies
365 Views
Shikamoon wakubwa zangu Unajua kuna namna ukipita, au ukiwa kwenye Nyakati ngumu unajikuta, huwazi mambo ya ngono na huhitaji mpenzi. Sasa kwasasa angalau nipo kwenye wakati mzuri. So kuna kitu...
38 Reactions
488 Replies
6K Views
Hello everybody, straight to the point. Mimi ni introvert na muda wangu mwingi nimekuwa nikiutumia kufanya mambo magumu, kama kusoma vitabu vyenye hard logics, kutengeneza complicated...
10 Reactions
52 Replies
834 Views
Huwa najiuliza huu mrundikano wa picha chafu mitandaoni hawa watu wana wazazi kweli? Kama wapo malezi gani ya namna hii au ndio sons of bitch wamejaa mtaani Binafsi sina dada wala ndugu alieko...
6 Reactions
77 Replies
990 Views
Habari. Mimi sijui nina shida gani wazoefu. Nikibahatika kulala na mwanamke yoyote nikakutana na harufu kali Ile ya shombo nashindwa kuelewa sijui wanawake hawajijui kama baadhi wanatoa harufu...
6 Reactions
31 Replies
520 Views
niende moja kwa moja. mabinti wengi wana matumbo flat, wamekaukiana, ngozi na makalio magumu, hawana usoft wa kutosha, hawana mafuta, hawana makalio. Sifa hizo tajwa kwangu sizitaki, wanawake...
14 Reactions
72 Replies
2K Views
Ugonile, kabla sijaendelea wale wa 50/50 hapa sio pahala pake. Binafsi sijaoa ivyo sitojikita sana kwenye mambo ya ndoa ingawa nmeishi na wanawake tofauti tofauti kwa nyakati tofauti na mpaka...
0 Reactions
0 Replies
300 Views
Hakuna kuwaza, hakuna usumbufu.ni bata tuh na kuenjoy life. happy day to all single`s.
2 Reactions
9 Replies
138 Views
Kabla ujaingia kwenye ndoa fanya mambo haya Ndoa ni muunganiko kati ya mwanaume na mwanamke kuwa kitu kimoja. Hii ni Wazo(idea) la Mungu mwenyewe alimpa Adam msaidizi wake hawa na kuwa kitu...
7 Reactions
18 Replies
910 Views
Habari za jumapili Wakuu! Miaka hiyo bhana! Niko zako mwaka wa Kwanza nikiwa Likizo. Nimerudi zangu Moshi. Sasa mtaa tuliokuwa tunakaa ni karibu na Kota za Polisi pale Moshi Mjini. Kwa wanaojua...
18 Reactions
40 Replies
4K Views
Umri wangu ni Mika 45, mfanyakazi+ mkulima, natafuta mke mkristo. Mcha MUNGU, mwenye bidii
0 Reactions
3 Replies
328 Views
Kuna Gen Z nilikuwa nae kwa mwaka jana sasa mwaka huu mwanzoni Kuna wahuni wakaweka mguu Kati mi naona katoto kanazidi kupendeza afu dharau zinazidi kishingo upande nikakubali yaishe. Sasa sijui...
5 Reactions
12 Replies
350 Views
Wakuu, leo nataka tuzungumze ukweli mchungu ambao wanaume wengi wanaishi nao lakini wanaogopa kuusema hadharani kwa hofu ya kuonekana wabaya. Huu ni ujumbe mzito kwa hawa wanawake tulioishi nao...
3 Reactions
17 Replies
633 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…