Hili jambo linaniumiza kichwa sana unakuta mtu anahamasisha tusioe ilihali yeye yumo kwenye ndoa.
Mzee wa kaliua ukimsikiliza mambo yake huko Instagram, yeye na wrngine wana kandia ndoa sana...
Dunia haijali chochote kuhusu mwanaume mpaka unapokufa, ukiwa tajiri au kuna namna walimwengu wananufaika nawe.
Jamii imeshakua programmed kuwaonea huruma wanawake lakini mwanaume anapoanguka...
Habarini,
Kwenye mahusiano mengi sahivi, ya watu wangu wa karibu walionizunguka na mitandaoni pia naona mijadala mingi wadada wakiwa wanataka wanaume wenye hela nyingi ambao sio wabahili.
Tuje...
Mimi ni mwanafunzi wa chuo, binti mwenye sura ya kawaida lakini anayejua kuitumia. Natabasamu na kuongea kwa upole, lakini ndani yangu nimebeba maumivu makali sana. Na leo, nimeamua kusema ukweli...
Wakuu, kipindi kilichopita, tangu nijiunge humu kwenye jukwaa hili maarufu tanzania, nimekuwa nikiandika nyuzi ambazo kiukweli ukiziangalia kwa jicho la u great thinker unagundua kuwa nyuzi hizo...
Wilaya ya hai mkoani Kilimanjaro ni hatari sana, yani suala la mwanaume kula mbata n jambo la kawaida na ukicheza unasukumiwa na ngumi.Yan wadada wakimachame na waogopa kama moto. Sijui wanaum...
Angalia anavyocheka... Anavyobatasamu? Toto kama hili huwezi kupungukiwa nguvu za kiume. Zinajaa tu kila wakati. Midada mingine inasema hatuna nguvu za kiume kumbe ni sababu haina mvuto.
Jamii forums ilianzishwa miaka 20 iliyopita, je ni member gani anaweza kuwa ni GOAT wa hili jukwaa tangu lianzishwe? kwangu mimi nambari moja ni Nyani Ngabu Kiranga Pascal Mayalla Mshana Jr ...
Habari wana JF,
Naandika haya si kwa lengo la kudhalilisha mwanamke, bali kuweka wazi msimamo wangu kuhusu nafasi ya mwanaume katika jamii na familia.
Katika mpangilio wa asili na kimajukumu...
Wakuu,
Nilioa na nina miaka 7 kwenye ndoa, na tumejaliwa kupata watoto wawili.
Mke wangu alibadilika kila nikimuomba unyumba ananiambia hataki, nimetumia njia nyingi kumshawishi akubali lakini...
Kuna jamaa hapa mtaani ni likubwa miaka 31 Kuna kademu kake kana miaka 18 Sasa sijui imekuaje kamesema waachane Sasa Kuna mshikaji mwingine ndio anatoka nako haka kademu hapa mtaani Sasa huyu...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,
Natumaini jamiiforums ina watu wenye experience na ujuzi katika mambo mbalimbali,
Tatizo langu,
Nimerogwa na mpenzi,sasa siwezi kufanya mapenzi na mwanamke...
Kuna story huwa nasikia kuwa wanaume wanajua kama chakula kimepikwa na wake zao au lah, mfano mwanaume hayupo chakula kikapikwa na mtu mwingine akija kula anajua kabisa aliyepika si mkewe hata...
Kuna dogo fulani nilifanya nae sex tarehe 22 mwezi wa pili mwaka huu baada tu ya kutoka period,period yenyewe ilianza tarehe 18, sasa mpaka leo tarehe 20 bado hajaona siku zake, je atakuwa ana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.