Dumuzii
JF-Expert Member
- Jan 4, 2019
- 3,601
- 8,711
Huu ni mfumo uliomtoa mwanamke kutoka kuwa tegemezi na kumfanya kuwa tegemezi zaidi. Kwa kisingizio kuwa wanahaki sawa na wanaume....!
Yaani kumpaka mwanamke mafuta kwa mgongo wa chupa na kumuaminisha kila siku kuwa anaweza kuwa sawa na mwanaume. Na majority yao wameamini kuwa wapo sawa na wanaume.
Lakini tukirudi kibaolojia ,kikemi,kifisikia, kiroho, kinafsi,kisiasa nk hakuna kicho weza kutupa majibu ya kweli kuwa kuna usawa kati ya hivyo vitu ....kama kweli tupo sawa kweli tungeanza na kushea public toilets
1; wanaume tupo sehem ambayo tunasaidiwa majukumu yetu by 50% na hiyo asilimia ilio baki ni miguu juu hatuhitaji kuumia sana cos hatubebi mimba.
2;Swala la mbususu limekua rahisi mno na sana wewe tu kujichagulia ule ipi ya sampuli ipi. Kukuamonisha hili kawaulize wanaume ambao wameishi kabla ya huu mfumo kukolea ilikua kuiona mbususu ufanye kazi kweli na ukikutwa hicho kipigo chake utaomba ardgi ipasuke ujifiche. Wengine ili wale mbususu iliwabidi waende naporini waue simba ndio wapewe mke wa kwenda kula nje na hapo utapiga puli ufe ... yaani saizi unaweza kifurushi tu cha Jero unaagiza mbususu unakula.
3; ongeza mwenyewe
Hasara zake.
1; Watoto wengi kulelewa na mzazi mmoja.
2; Maumivu makali kwa wanaume ambao wamegoma kuupokea huu mfumo ambao wanatumia templets za mapenzi ya mababu zao kwenye mapenzi ya karne hii.
3; Wanawake wamejikuta nao wanakula kwa jasho ...yaani shurba ambayo ilitakiwa apate mwanaume basi wanaipitia wote sasa huku mwanaume akiwa kapunguziwa mzigo wa majukumu. Wakati jukumu la mwanamke chini ya hili jua lilikua ni kuzaa kwa uchungu tu . Ila saizi wamejikuta wanatumikia hadi azabu ya kula kwa jasho.
NB
Waanzilishi wa huu mfumo ni wanaume hivyo wanawake amkeni mnapitia shurba ambazo hamkustahili ....bibi zanu ndio waliifaidi hii dunia ya kuletewa kila kitu nyumbani wao walibaki miguu juu tu na kupewa mnyanduo safi na kuzalishwa watoto ambao wanawapenda mama zao sana kuliko baba .