Msiwachukulie poa wanaume

moonlightj12

Member
Dec 6, 2022
33
90
Habari wana jamvi
Leo nilikua kwenye kikao Cha familia tukijarbu kusuluhisha hii case, uyu dada ameolewa lakini kuna muda hajiskii tu kukaa na mumewe, yaani according to her kwa maudhi aliyonayo mumewe hua kuna muda anataka kukaa mwenyewe.

Kwaiyo amekua akiiba Hela ndan hata 10m anaondoka anaenda anakaa ukoo zikiisha anawatuma ndugu wanamuomba mume wanaludiana.

Hii imejiludia kama mara tatu. Juzi mdada wa kazi akamskia akipanga kuondoka tena kwenda dar, dada akamshilikisha baba mwenye nyumba ndo tukakaa icho kikao.

But nimeobserve machache nimeona tushare

Wanawake heshimu waume zenu tuacheni kuleta maisha ya bongo movie in real life.

Kama mwanaume anasomesha watoto ndan mnakula vzuri na wewe anakujali jamani hayo mengine vumilieni punguzeni drama.

Mwanaume hata awe mlevi chakaram hafai kiasi gani niamin mim a man is very useful in the house nyumba yenye baba siku zote inaheshima yake.
Muombee mumeo pale unapoona umefika mwisho but please acheni kuwadhalilisha Hawa wanaume.

Kitendo Cha kua na mwanaume wa kulala nae usiku ni jambo tosha la kumshukuru Mungu heshimuni waume zenu.

NB: Kuna wanaume ni wakatili uku nje jamani na kuna wanaume wana mateso kupitlza uuyo wako anaeonesha kujali embu na wewe mjali, mtunze, muheshimu, muombee.
 
Pole sana mkuu kwa unayopitia. Hata biblia imeandika kwamba mwanamke mzinzi ni wa kuachwa. Sasa mara tatu zote mtu anafanya ushenzi bado unamrudia ina maana wewe pia ni tatizo.

Hao ndugu pia wanaomwombea msamaha huyo kahaba ni nuksi tupu. Hii stori Ingefurahisha sana kama hata kwa housegirl ungesema umeamua kumuoa kama anafaa. ACHANA NA HUYO MWANAMKE.
 
Habari wana jamvi
Leo nilikua kwenye kikao Cha familia tukijarbu kusuluhisha hii case, uyu dada ameolewa lakini kuna muda hajiskii tu kukaa na mumewe, yaani according to her kwa maudhi aliyonayo mumewe hua kuna muda anataka kukaa mwenyewe.

Kwaiyo amekua akiiba Hela ndan hata 10m anaondoka anaenda anakaa ukoo zikiisha anawatuma ndugu wanamuomba mume wanaludiana.

Hii imejiludia kama mara tatu. Juzi mdada wa kazi akamskia akipanga kuondoka tena kwenda dar, dada akamshilikisha baba mwenye nyumba ndo tukakaa icho kikao.

But nimeobserve machache nimeona tushare

Wanawake heshimu waume zenu tuacheni kuleta maisha ya bongo movie in real life.

Kama mwanaume anasomesha watoto ndan mnakula vzuri na wewe anakujali jamani hayo mengine vumilieni punguzeni drama.

Mwanaume hata awe mlevi chakaram hafai kiasi gani niamin mim a man is very useful in the house nyumba yenye baba siku zote inaheshima yake.
Muombee mumeo pale unapoona umefika mwisho but please acheni kuwadhalilisha Hawa wanaume.

Kitendo Cha kua na mwanaume wa kulala nae usiku ni jambo tosha la kumshukuru Mungu heshimuni waume zenu.

NB: Kuna wanaume ni wakatili uku nje jamani na kuna wanaume wana mateso kupitlza uuyo wako anaeonesha kujali embu na wewe mjali, mtunze, muheshimu, muombee.

Mwanaume hata awe mlevi chakaram hafai kiasi gani niamin mim a man is very useful in the house nyumba yenye baba siku zote inaheshima yake.
 
Habari wana jamvi
Leo nilikua kwenye kikao Cha familia tukijarbu kusuluhisha hii case, uyu dada ameolewa lakini kuna muda hajiskii tu kukaa na mumewe, yaani according to her kwa maudhi aliyonayo mumewe hua kuna muda anataka kukaa mwenyewe.

Kwaiyo amekua akiiba Hela ndan hata 10m anaondoka anaenda anakaa ukoo zikiisha anawatuma ndugu wanamuomba mume wanaludiana.

Hii imejiludia kama mara tatu. Juzi mdada wa kazi akamskia akipanga kuondoka tena kwenda dar, dada akamshilikisha baba mwenye nyumba ndo tukakaa icho kikao.

But nimeobserve machache nimeona tushare

Wanawake heshimu waume zenu tuacheni kuleta maisha ya bongo movie in real life.

Kama mwanaume anasomesha watoto ndan mnakula vzuri na wewe anakujali jamani hayo mengine vumilieni punguzeni drama.

Mwanaume hata awe mlevi chakaram hafai kiasi gani niamin mim a man is very useful in the house nyumba yenye baba siku zote inaheshima yake.
Muombee mumeo pale unapoona umefika mwisho but please acheni kuwadhalilisha Hawa wanaume.

Kitendo Cha kua na mwanaume wa kulala nae usiku ni jambo tosha la kumshukuru Mungu heshimuni waume zenu.

NB: Kuna wanaume ni wakatili uku nje jamani na kuna wanaume wana mateso kupitlza uuyo wako anaeonesha kujali embu na wewe mjali, mtunze, muheshimu, muombee.
........afadhali umeliona hilo kwa macho yako, nadhani umejifunza kitu, tunashukuru kwa kututetea......
 
Wanaume huwa hatutetewi usirudie tena mwanaume akichoka tabia za mwanamke akimuacha jua Katumia busara nje na hapo tukutane kwenye vyombo vya Habari kuna mtu kafanyiwa ukatili! Mara mtu katolewa kitovu,mwengine kakatwa ulimi!.
 
uyu dada ameolewa lakini kuna muda hajiskii tu kukaa na mumewe, yaani according to her kwa maudhi aliyonayo mumewe hua kuna muda anataka kukaa mwenyewe.

Hayo maudhi ni yapi yanayomfanya mwanamke asijisikie kukaa naye?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom