BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 5,204
- 14,393
Hakuna kitu nafurahia kama kupishana na mwanamke akiwa na mtoto wake wote wakiwa nadhifu na wamependeza unaona kuna combination na bond nzuri kati ya mama na mtoto.
Kazi ipo hapa unakutana na mwanamke yeye kapendeza kwa nguo nzuri lakini mtoto yuko hovyo amemvalisha vinguo vilivyochakaa mtoto yupo yupo amekosa lishe lakini unakuta mama mtu mwili mkubwa kasuka manywele ya gharama lakini kashindwa kutoa hata mia tano ya kumpeleka mtoto wake saluni kunyoa kipilipili.
Wakuu sio kila sehemu pakumwagia ndani.