Wanawake acheni ubinafsi, ni mwanamke wa 11 huyu ananichukia kiasi hiki.!

mimiamadiwenani

JF-Expert Member
Mar 9, 2022
5,411
7,016
J pili njema kwa ndugu zetu Wakristo.!

Mfungo mwema kwa ndugu zetu Waislam!.

Huyu ni wa 11 naye amenichukia ghafla tu bila sababu. Hivi mwanaume kujipenda ni dhambi? Mwanaume kula au kuvaa vizuri ni dhambi?

Yaani tumekutana ofisini kama mwezi hivi nikawa namchukulia kama rafiki tu wa kawaida sikuwahi mshobokea wala kumtongoza.

Sasa ghafla ameanza kunichukia na kunipiga majungu chini chini na sijui kosa ni lipi coz sijawahi mkosea kwa sababu sina ukaribu naye mkubwa.

Maneno ya chini chini nasikia anasema NAJISIKIA.

Jamani kwani mwanaume kutoshoboka ni dhambi? Wengine tumezaliwa hivi, hatupendi kushoboka hovyo eti kisa mwanamke na una tako, tuna vigezo vyetu tunavyovitaka sisi. Kosa lipo wapi hapo?

Mfano, juzi niliteleza na kutaka kuanguka, badala ya pole walinicheka mno tena kwa dharau. Haya yanayoka wapi???? Tuishi wapi????

Yaani mmeshajizoesha kila mwanaume wa aina fulani awatongoze ili mumkatae na mfurahi tu.

Jamani hivi na deal vipi na watu wa aina hii? Na wengine kumchezea mtu na kumuacha hatuwezi.

Mimi sijioni, ni mtu poa ninayesalimia kila mtu, sijali kavaaje na najishusha inapobidi. Sasa kwa nini wanawake wote hao 11 wanichukie from nowhere?

Na kama unampenda mwanaume si uoneshe ishara? M kiss basi hata ukiweza ili ajue? Sasa unaonesha ishara DHAIFU atajuaje?? Onesha ishara ambayo hata marafiki hawawezi kufanya, m kiss, au mtamkie wazi wazi kabisa.

NB: Mimi sicheki hovyo wala kutabasamu, sipendi kuongea bila sababu ila hiyo haifanyi niwe na sura ngumu. Nina sura ya kawaida tu si ngumu.
 
Hao wanaokuletea maneno ya chini chini kuwa nao makini. Kuna watu ni wachonganishi sana usipende kujali kila unalosikia, observe.

"Maneno ya chini chini nasikia anasema NAJISIKIA"
 
J pili njema kwa ndugu zetu Wakristo.!

Mfungo mwema kwa ndugu zetu Waislam!.

Huyu ni wa 11 naye amenichukia ghafla tu bila sababu. Hivi mwanaume kujipenda ni dhambi? Mwanaume kula au kuvaa vizuri ni dhambi?

Yaani tumekutana ofisini kama mwezi hivi nikawa namchukulia kama rafiki tu wa kawaida sikuwahi mshobokea wala kumtongoza.

Sasa ghafla ameanza kunichukia na kunipiga majungu chini chini na sijui kosa ni lipi coz sijawahi mkosea kwa sababu sina ukaribu naye mkubwa.

Maneno ya chini chini nasikia anasema NAJISIKIA.

Jamani kwani mwanaume kutoshoboka ni dhambi? Wengine tumezaliwa hivi, hatupendi kushoboka hovyo eti kisa mwanamke na una tako, tuna vigezo vyetu tunavyovitaka sisi. Kosa lipo wapi hapo?

Mfano, juzi niliteleza na kutaka kuanguka, badala ya pole walinicheka mno tena kwa dharau. Haya yanayoka wapi???? Tuishi wapi????

Yaani mmeshajizoesha kila mwanaume wa aina fulani awatongoze ili mumkatae na mfurahi tu.

Jamani hivi na deal vipi na watu wa aina hii? Na wengine kumchezea mtu na kumuacha hatuwezi.

Mimi sijioni, ni mtu poa ninayesalimia kila mtu, sijali kavaaje na najishusha inapobidi. Sasa kwa nini wanawake wote hao 11 wanichukie from nowhere?

Na kama unampenda mwanaume si uoneshe ishara? M kiss basi hata ukiweza ili ajue? Sasa unaonesha ishara DHAIFU atajuaje?? Onesha ishara ambayo hata marafiki hawawezi kufanya, m kiss, au mtamkie wazi wazi kabisa.

NB: Mimi sicheki hovyo wala kutabasamu, sipendi kuongea bila sababu ila hiyo haifanyi niwe na sura ngumu. Nina sura ya kawaida tu si ngumu.
Mi naona tatizo linaanza kwako.
Kwanini uhangaike nao sana, au kwanini uwape mawazo yako sana hao wanaokuchukia?
Hauna haja ya kuwabadilisha ili wakupende, wameshaamua kukuchukia, achana nao. Kuna watu wengi mno, huwezi poteza nguvu zako kwa wanaokuchukia.
Weka mawazo yako kwenye malengo yako na watu wanaokupa furaha, hao wengine achana nao.
Pia kingine,
Huwezi tegemea mwanamke akukiss au akuoneshe ishara kubwa sana ya kimapenzi. Wanaogopa kuonekana warahisi. Sio kama kwenye muvi. Kwenye maisha ya kweli mwanamke atakupa ishara ndogondogo ili wewe ufanyie kazi.
 
J pili njema kwa ndugu zetu Wakristo.!

Mfungo mwema kwa ndugu zetu Waislam!.

Huyu ni wa 11 naye amenichukia ghafla tu bila sababu. Hivi mwanaume kujipenda ni dhambi? Mwanaume kula au kuvaa vizuri ni dhambi?

Yaani tumekutana ofisini kama mwezi hivi nikawa namchukulia kama rafiki tu wa kawaida sikuwahi mshobokea wala kumtongoza.

Sasa ghafla ameanza kunichukia na kunipiga majungu chini chini na sijui kosa ni lipi coz sijawahi mkosea kwa sababu sina ukaribu naye mkubwa.

Maneno ya chini chini nasikia anasema NAJISIKIA.

Jamani kwani mwanaume kutoshoboka ni dhambi? Wengine tumezaliwa hivi, hatupendi kushoboka hovyo eti kisa mwanamke na una tako, tuna vigezo vyetu tunavyovitaka sisi. Kosa lipo wapi hapo?

Mfano, juzi niliteleza na kutaka kuanguka, badala ya pole walinicheka mno tena kwa dharau. Haya yanayoka wapi???? Tuishi wapi????

Yaani mmeshajizoesha kila mwanaume wa aina fulani awatongoze ili mumkatae na mfurahi tu.

Jamani hivi na deal vipi na watu wa aina hii? Na wengine kumchezea mtu na kumuacha hatuwezi.

Mimi sijioni, ni mtu poa ninayesalimia kila mtu, sijali kavaaje na najishusha inapobidi. Sasa kwa nini wanawake wote hao 11 wanichukie from nowhere?

Na kama unampenda mwanaume si uoneshe ishara? M kiss basi hata ukiweza ili ajue? Sasa unaonesha ishara DHAIFU atajuaje?? Onesha ishara ambayo hata marafiki hawawezi kufanya, m kiss, au mtamkie wazi wazi kabisa.

NB: Mimi sicheki hovyo wala kutabasamu, sipendi kuongea bila sababu ila hiyo haifanyi niwe na sura ngumu. Nina sura ya kawaida tu si ngumu.
🤔🤔🤔🤔⛹️⛹️⛹️🤾🤾
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom