Hawa wadudu wanatuendesha kila kukicha.
Umewahi kukutana na kauli za kukera, kuvunja moyo ama kuujaza moyo hasira, kukatisha tamaa kutoka kwa mwanamke?
Baadhi ya kauli ambazo zinanikera ni ile...
Habari? Kama uzi unavyo jieleza hapo juu uliwezaje kukwepa fedhaha ya kumtongoza ndugu wa mkeo bila kujua? Leo mimi yamenikuta mwenzenu, nimemtongoza ndugu wa mke wangu bila kujua. Leo niko zangu...
Iko hivi wanawake ambao wapo single age 30 and above na waogopa sana, maana Kuna muda Kuna muda najiuliza itakuaje pisi Kali kama hii afu ipo single. Sasa unapokuja kuanzisha nae mahusiano ndo...
Habari za J Pili hii, kama nilivyotamka kwenye uzi wangu hapo awali, ya kuwa hawa wanaume wenzetu wanaojifanya wao ndiyo wao, hawashauriki wala hawasikii ya kuambiwa, hasa wakishauriwa kuenenda...
Kamanda Kikosi cha Usalama Barabarani cha Shirikisho (FRSC), huko Cross River, Maikano Hassan, amesema mwanamke huyo wa makamo alipata ajali hiyo na kupoteza maisha huko Calabar siku ya Jumapili...
Kutokana na kampeni hasi dhidi ya taasisi ya familia, kuna umuhimu wa wenye experience chanya wajitokeze kuitetea taasisi hii muhimu.
Naomba wenge uzoefu watusaidie kutufundisha ili tuiokoe...
1Kuna siku nilikwenda club na washkaji zangu nikakutana na ex wa brother wangu. Nikamsalimia akaniomba nimnunulie bia nikamletea huyo nikaondoka nikajichanganya zangu bado kama nusu Saa club...
Kila nikiangalia video youtube nakutana na wanaume wafupi tu, instagram kila mwanaume anae post picha ni mfupi. Hivi tanzania hakuna wanaume warefu? Kwani mnakula nini mpaka hamrefuki? Raha ya...
Waliosema mwalimu wao wanawake ni kipofu Hakukosea kabisa.
Ni ajabu mtu(mwanamke) kumkuta Instagram yupo LIVE yupo kama alivyozaliwa anajishika shika na watu ( Wanaume ) wapo busy wanamwangalia na...
Wakuu kwa kweli imefika mahali sasa nashawishika kujibu hovyo...
Kwa jina anitwa X, ni kabila la watu wa pwani, na kama mnavyojua kwenye mapenzi kwa hawa watu unaweza kuhonga hata nyumba. Mimi...
Habari zenu wanajamvi wenzangu.
Kwa mara ya kwanza naleta kisa hiki cha rafiki yangu wa karibu. Kwanza mtanisamehe kwa uandishi wangu, mimi sio mzuri wa kuandika kwa mpangilio!
Shoga yangu huyu...
Mwanaume mmoja aitwae Katayo Bote Mkazi wa Kijiji cha Kibwera Wilayani Geita Mkoani Geita, amechapwa viboko hadharani pamoja na kulipishwa faini ya shilingi laki mbili baada ya kufumaniwa na Mke...
Wakuu habarini za time hii?
I hope mko gud.
Hivi wanawake wenye ndevu wako romantic kweli kwenye relationship. Emu wenye experience na pisi zenye mindevu waseme.
Mimi binafsi sina experience...
Jaribu kua na ela alafu usiwe na amani na ukose ule upendo WA dhati ndo itakua hata ukiwa na pesa kias Cha kua afford hizi basic needs za kibinadam zote na luxury pia..Bado Kuna namna ya kukosa...
Short and clear, najihisi na shida wakuu. Kila binti ninaemu-approach anakata, anasema aniona mimi kama kaka pia kama mtu hatari sasa sijui shida ni ipi?
Pia nakumbuka kipindi nipo advance ( form...
Naishi naye huu mwaka wa 3 bila ya ndoa.
Hadithi yake ya nyuma ipo hivi
" Alioelewa akiwa na miaka 17 baada ya kupewa ujauzito na uyo jamaa na wakaishi wote miaka 8 kwenye ndoa na kuzaa watoto...
Amani ya Moyo Wa Mwanamke ni Kitu cha Thamani Mno Katika Maisha ya Mwili wake na Akili yake na Pia, ni Kitu Pekee na Zawadi ya Hali ya Juu inayompa Faraja na Kumdhihirishia Ishara Ya Upendo...
Habari za wanga! Muda ni 1:00 usiku wa manane, mbalamwezi na nyota zinaonekana vizuri kabisa. Nimeamua kuzima kabisa main switch, ili kuwe na giza totoro.
Nimechukua mahitaji yangu ambayo...
Wimbo Ulio Bora 1:2
Kubusu na anibusu kwa kinywa chake,
Maana pambaja zako zapita divai.
[emoji117]1.Busu Denda pande za lips :
Polepole lakini kwa upole tembeza ncha ya ulimi wako kwenye midomo...