Hivi kwanini wanaume wa Tanzania ni wafupi sana?

my name is my name

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2015
Messages
1,256
Points
2,000

my name is my name

JF-Expert Member
Joined Jan 12, 2015
1,256 2,000
Kila nikiangalia video youtube nakutana na wanaume wafupi tu, instagram kila mwanaume anae post picha ni mfupi. Hivi tanzania hakuna wanaume warefu? Kwani mnakula nini mpaka hamrefuki? Raha ya mwanaume awe mrefu ndio anapendeza hata kama ukisimama nae anakuzidi urefu sio mwanaume mfupiii kama mtoto mdogo. Halafu wanaume wafupi hawana mvuto hata wakivaa hawapendezi. Mimi mwanaume akiwa mfupi hata anipite miaka zaidi ya 20 namuona kama mdogo wangu tu.
 

Forum statistics

Threads 1,367,038
Members 521,607
Posts 33,385,405
Top