Nimeamini wanawake sio watu wa kawaida

Waliosema mwalimu wao wanawake ni kipofu Hakukosea kabisa.
Ni ajabu mtu(mwanamke) kumkuta Instagram yupo LIVE yupo kama alivyozaliwa anajishika shika na watu ( Wanaume ) wapo busy wanamwangalia na kumsifia na kutuma comment kibao kuwa yeye ni mzuri.
1679765181581.png
 
Mkuu hilo ndio limekushangaza hadi uje hapa kuandika kuwa ni ajabu? Nimeanzisha kanisa, kesho ni jpili uje nikuombee.
 
Kwanini unatujumuisha wanawake wote.. as if hakuna wanaume wanaofanya mambo ya ajabu juzi kumevuja video ya yule afande mwanaume maana ake tuseme wanaume wote mashoga?
Yule sio mwanaume yule yupo upande wenu
 
Back
Top Bottom