Brother mpe mkeo vitu hivi atafarijika

Denis1729

Member
Sep 9, 2021
34
109
Amani ya Moyo Wa Mwanamke ni Kitu cha Thamani Mno Katika Maisha ya Mwili wake na Akili yake na Pia, ni Kitu Pekee na Zawadi ya Hali ya Juu inayompa Faraja na Kumdhihirishia Ishara Ya Upendo, Mahabbah, Hubba na Kuthaminiwa.

Na Wala Haridhishwi na Kero,,
Ubabe. Kufokewa kila Wakati na Kudharauliwa Mara Kwa Mara,
na Kuonekana Kuwa Nafasi ya Thamani yake Kwa Mume Wake ni ya Hadhi ya Nyama ya Mbwa mfu, Hadhi Isiyoguswa, Isiyonuswa. Isiyosogelewa wala Isiyoshikiliwa Kutokana na Uchafu wake na Unajsi wake.

Usiwe Hivyo Ndugu yangu.
Kila Unapomuumiza Mkeo Katika Hisia Zake, Basi Hupururuka Amani ya Moyo Wake.

MFANYIE HAYA MKEO KUANZIA LEO.

1.TENGA MUDA WA KUKAA NAYE.
Kama haukuwa na Utaratibu wa Kuketi Sehemu tulivu na Mkeo Mkazungumza Yaliyo ndani ya Mioyo yenu kabla Hata ya Kulala kwenu, Basi Jua Umeshautia Madoa Moyo Wake na Kuzikwaruza Hisia Zake.

Tenga Muda wa Kukaa na Mkeo Hata Kwa Dk10, Ukisikilize Alichonacho nawe Umpe Ukichonacho.

2.KILAINISHE KINYWA CHAKO JUU YAKE.
Kuwa na Maneno Matamu na Lainiii yaliyojawa Mahabbah na Hubba la Mazungumzo Yenye Upole wa Mawimbi Kila Mara Uzungumzapo na Mke Wako.
Kamwe Usiwe ni mtu Wa Kufoka foka Juu yake.

Hata Akikukosea Mweleze Makosa Yake kwa Upole na Mahabbah ya Hali ya Juu, Atakuelewa Wala Hatokupuuza,
na Utafurahika Moyo wake na Hatokuchoka Ndani ya Moyo wake.

Lugaha Tamu yenye Upole Inaeleweka Mno kwa Mke Wako Kuliko Kufoka Kwako.

3.KUWA RAFIKI KWAKE NA MSAIDIZI WAKE
Mapambano Ya Furaha Ya Moyo wa Mkeo Hayatofanikiwa Isipokuwa Kwa Weredi Wako wa Kushiriki kwako.
Juwa Kuwa Mkeo naye Ni Mwanadamu Huwa Anachoka na Anahitaji Mapumziko,
Jitahidi kwa Kadri ya Uwezo wako Kumsaidia Mke Baadhi ya Shughuli za Ndani Kwako.

Hata Kama Huwa Hazimchoshi wala Kumuumiza; Lakini Jua Kumsaidia kwako Kutazigusa Hisia Zake na Kuyanyanyua Mapenzi yake. Cheka naye, Taniana naye,

Mpe kila Anachostahili maana Huyo Ni Mkeo.

4.JIWEKE KARIBU NA MWILI WAKE.
Mume juwa Kuwa "Wewe ni Vazi kwa Mkeo naye ni Vazi kwako Wewe"

Iweke Mikono yako Urafiki wa Karibu na Mwili wa Mke Wako,
Mkumbatie Mkeo Kila Uingiapo Ndani Kwako. Na Usiiweke Mbali na Mwili Wake Pale Mzungumzapo, na Kijaalie Kichwa Chake Kuwa ni Halali ya Kifua Chako.

Kuwa Msaidizi Wa Kuusafisha Mwili wake Pale Muogapo na Kumpaka Mafuta yake kwa Mikono yako.
na Usiache Kumvalisha Mavazi yake Pale Mmalizapo kuoga.
 
Mwanamke bila ukorofi atakusumbua sana, anatakiwa asijue mwelekeo wako, ina maana asijue unakasirika saa ngapi, una cheka saa ngapi, utamtoa out saa ngapi na uta mchenjia saa ngapi. Ndio formula ya wanawake. Ninae mwaka wa kumi na nne sasa hivi.
 
Amani ya Moyo Wa Mwanamke ni Kitu Cha Thamani Mno Katika Maisha ya Mwili wake na Akili yake na Pia,
ni Kitu Pekee na Zawadi ya Hali ya Juu inayompa Faraja na Kumdhihirishia Ishara Ya Upendo,
Mahabbah,
Hubba na Kuthaminiwa.

Na Wala Haridhishwi na Kero,,
Ubabe,
Kufokewa kila Wakati na Kudharauliwa Mara Kwa Mara,
na Kuonekana Kuwa Nafasi ya Thamani yake Kwa Mume Wake ni ya Hadhi ya Nyama ya Mbwa mfu,
Hadhi Isiyoguswa
,Isiyonuswa,
Isiyosogelewa wala Isiyoshikiliwa Kutokana na Uchafu wake na Unajsi wake. Usiwe Hivyo Ndugu yangu.
Kila Unapomuumiza Mkeo Katika Hisia Zake,,
Basi Hupururuka Amani ya Moyo Wake.

MFANYIE HAYA MKEO KUANZIA LEO.

1.TENGA MUDA WA KUKAA NAYE.
Kama haukuwa na Utaratibu wa Kuketi Sehemu tulivu na Mkeo Mkazungumza Yaliyo ndani ya Mioyo yenu kabla Hata ya Kulala kwenu,
Basi Jua Umeshautia Madoa Moyo Wake na Kuzikwaruza Hisia Zake.
Tenga Muda wa Kukaa na Mkeo Hata Kwa Dk10,,
Ukisikilize Alichonacho nawe Umpe Ukichonacho.

2.KILAINISHE KINYWA CHAKO JUU YAKE.
Kuwa na Maneno Matamu na Lainiii yaliyojawa Mahabbah na Hubba la Mazungumzo Yenye Upole wa Mawimbi Kila Mara Uzungumzapo na Mke Wako.
Kamwe Usiwe ni mtu Wa Kufoka foka Juu yake,,,
Hata Akikukosea Mweleze Makosa Yake kwa Upole na Mahabbah ya Hali ya Juu, Atakuelewa Wala Hatokupuuza,,
na Utafurahika Moyo wake na Hatokuchoka Ndani ya Moyo wake.
Lugaha Tamu yenye Upole Inaeleweka Mno kwa Mke Wako Kuliko Kufoka Kwako.

3.KUWA RAFIKI KWAKE NA MSAIDIZI WAKE
Mapambano Ya Furaha Ya Moyo wa Mkeo Hayatofanikiwa Isipokuwa Kwa Weredi Wako wa Kushiriki kwako,
Juwa Kuwa Mkeo naye Ni Mwanadamu Huwa Anachoka na Anahitaji Mapumziko,,
Jitahidi kwa Kadri ya Uwezo wako Kumsaidia Mke Baadhi ya Shughuli za Ndani Kwako.
Hata Kama Huwa Hazimchoshi wala Kumuumiza; Lakini Jua Kumsaidia kwako Kutazigusa Hisia Zake na Kuyanyanyua Mapenzi yake. Cheka naye, Taniana naye,
Mpe kila Anachostahili maana Huyo Ni Mkeo.

4.JIWEKE KARIBU NA MWILI WAKE.
Mume juwa Kuwa "Wewe ni Vazi kwa Mkeo naye ni Vazi kwako Wewe"
Iweke Mikono yako Urafiki wa Karibu na Mwili wa Mke Wako,
Mkumbatie Mkeo Kila Uingiapo Ndani Kwako,
Na Usiiweke Mbali na Mwili Wake Pale Mzungumzapo,
na Kijaalie Kichwa Chake Kuwa ni Halali ya Kifua Chako,
Kuwa Msaidizi Wa Kuusafisha Mwili wake Pale Muogapo na Kumpaka Mafuta yake kwa Mikono yako,
na Usiache Kumvalisha Mavazi yake Pale Mmalizapo kuoga.
hakika haujapata kumafaham wanamake, ukifanya hayo yote ambayo kwa hakika ni mema na mazuri ila akili ya hawa kenge watakuona wewe bwege, na lazima wakupande kichwa ni maa wanajua "huwezi kuwafokea"

Screenshot_20220212-192123_Quora.jpg
 
Amani ya Moyo Wa Mwanamke ni Kitu Cha Thamani Mno Katika Maisha ya Mwili wake na Akili yake na Pia,
ni Kitu Pekee na Zawadi ya Hali ya Juu inayompa Faraja na Kumdhihirishia Ishara Ya Upendo,
Mahabbah,
Hubba na Kuthaminiwa.

Na Wala Haridhishwi na Kero,,
Ubabe,
Kufokewa kila Wakati na Kudharauliwa Mara Kwa Mara,
na Kuonekana Kuwa Nafasi ya Thamani yake Kwa Mume Wake ni ya Hadhi ya Nyama ya Mbwa mfu,
Hadhi Isiyoguswa
,Isiyonuswa,
Isiyosogelewa wala Isiyoshikiliwa Kutokana na Uchafu wake na Unajsi wake. Usiwe Hivyo Ndugu yangu.
Kila Unapomuumiza Mkeo Katika Hisia Zake,,
Basi Hupururuka Amani ya Moyo Wake.

MFANYIE HAYA MKEO KUANZIA LEO.

1.TENGA MUDA WA KUKAA NAYE.
Kama haukuwa na Utaratibu wa Kuketi Sehemu tulivu na Mkeo Mkazungumza Yaliyo ndani ya Mioyo yenu kabla Hata ya Kulala kwenu,
Basi Jua Umeshautia Madoa Moyo Wake na Kuzikwaruza Hisia Zake.
Tenga Muda wa Kukaa na Mkeo Hata Kwa Dk10,,
Ukisikilize Alichonacho nawe Umpe Ukichonacho.

2.KILAINISHE KINYWA CHAKO JUU YAKE.
Kuwa na Maneno Matamu na Lainiii yaliyojawa Mahabbah na Hubba la Mazungumzo Yenye Upole wa Mawimbi Kila Mara Uzungumzapo na Mke Wako.
Kamwe Usiwe ni mtu Wa Kufoka foka Juu yake,,,
Hata Akikukosea Mweleze Makosa Yake kwa Upole na Mahabbah ya Hali ya Juu, Atakuelewa Wala Hatokupuuza,,
na Utafurahika Moyo wake na Hatokuchoka Ndani ya Moyo wake.
Lugaha Tamu yenye Upole Inaeleweka Mno kwa Mke Wako Kuliko Kufoka Kwako.

3.KUWA RAFIKI KWAKE NA MSAIDIZI WAKE
Mapambano Ya Furaha Ya Moyo wa Mkeo Hayatofanikiwa Isipokuwa Kwa Weredi Wako wa Kushiriki kwako,
Juwa Kuwa Mkeo naye Ni Mwanadamu Huwa Anachoka na Anahitaji Mapumziko,,
Jitahidi kwa Kadri ya Uwezo wako Kumsaidia Mke Baadhi ya Shughuli za Ndani Kwako.
Hata Kama Huwa Hazimchoshi wala Kumuumiza; Lakini Jua Kumsaidia kwako Kutazigusa Hisia Zake na Kuyanyanyua Mapenzi yake. Cheka naye, Taniana naye,
Mpe kila Anachostahili maana Huyo Ni Mkeo.

4.JIWEKE KARIBU NA MWILI WAKE.
Mume juwa Kuwa "Wewe ni Vazi kwa Mkeo naye ni Vazi kwako Wewe"
Iweke Mikono yako Urafiki wa Karibu na Mwili wa Mke Wako,
Mkumbatie Mkeo Kila Uingiapo Ndani Kwako,
Na Usiiweke Mbali na Mwili Wake Pale Mzungumzapo,
na Kijaalie Kichwa Chake Kuwa ni Halali ya Kifua Chako,
Kuwa Msaidizi Wa Kuusafisha Mwili wake Pale Muogapo na Kumpaka Mafuta yake kwa Mikono yako,
na Usiache Kumvalisha Mavazi yake Pale Mmalizapo kuoga.
UTAJUA HUJUI...YAANI PESA HUJATAJA!!!!!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom