YonDu Udonta
JF-Expert Member
- Aug 6, 2016
- 723
- 570
Wakuu kwa kweli imefika mahali sasa nashawishika kujibu hovyo...
Kwa jina anitwa X, ni kabila la watu wa pwani, na kama mnavyojua kwenye mapenzi kwa hawa watu unaweza kuhonga hata nyumba. Mimi niliamua awe mchepuko, hivyo tukawa hatugandani, ila akiitaji msaada wowote nilikua nampa. Huyu mwanamke ni single mother na mtoto wake yupo std III, yanii ilikua hata birthday cake ya mwanawe nilikua naombwa mimi.
Sasa tatizo limekuja amebeba mimba sijui ya nani huko, halafu jamaa ameshaingia mitini, ananifata mnyonge wake... Kwa kuwa na mimi sasa hivi anipi mchezo nimeamua kumkaushia... Ila Anasumbua sanaaa....
Je nimfanyeje huyu...? Maana ameamua kushika mimba, amekatisha utamu, afu sasa anasumbua