Tuliowahi tongoza ndugu wa mke tukutane hapa

Mondela

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2021
Posts
2,575
Reaction score
3,806
Habari? Kama uzi unavyo jieleza hapo juu uliwezaje kukwepa fedhaha ya kumtongoza ndugu wa mkeo bila kujua? Leo mimi yamenikuta mwenzenu, nimemtongoza ndugu wa mke wangu bila kujua. Leo niko zangu nyumbani nashangaa mke wangu na mdada ambae nilikuwa nasikiliza wakipiga story huku wakija home nikawa nasikia sauti kwa mbaali mara nikaona mdada mmoja mrembo wakija home kwa lengo la kupajua.

Nikiwa nimetulia home nikawa nimechungulia nione wife anakuja na nani? Yahaulaaa !!!; Nikaona mdada mmoja mreembo! Kuangalia vizuri sinimdada niliye mtongoza [emoji23][emoji23], nikasema enheee kumekucha. Basi wakaingia ndani na mm hapo nikajikaza kiume, mara yule dada akashtuka kuniona na wife akauliza kwani mnafahamiana? Mimi nikajibu hapana.

Sikukaa sawa nikatambulishwa na mke wangu kuwa umemuona huyu mgeni? Huyu ni mama yangu yaani marehem mama yangu na huyu wanaitana dada yaani ni ukoo mmoja! Nikajisemea kirohoni si nimetongoza mama mkwe hapa! Sijui sura yangu nitaiweka wapi mimi! Aisee niliishi kwa kujificha ficha maana ilifikia kipindi najificha kwenye uvungu, dram za pombe endapo akija home [emoji1787][emoji1787][emoji1787].

Roho yangu ilifarijika siku alivyo ondoka, je' na wewe ulikwepaje misala ya kumtongoza ndugu wa mkeo? [emoji2960][emoji1787][emoji2960]
 
Habari? Kama uzi unavyo jieleza hapo juu uliwezaje kukwepa fedhaha ya kumtongoza ndugu wa mkeo bila kujua? Leo mimi yamenikuta mwenzenu, nimemtongoza ndugu wa mke wangu bila kujua. Leo niko zangu nyumbani nashangaa mke wangu na mdada ambae nilikuwa nasikiliza wakipiga story
Leo yamekukuta mkuu, drama zimeisha siku aliyoondoka wakati umeeleza mwanzo leo ndo alikuja home na wife wako
 
Habari? Kama uzi unavyo jieleza hapo juu uliwezaje kukwepa fedhaha ya kumtongoza ndugu wa mkeo bila kujua? Leo mimi yamenikuta mwenzenu, nimemtongoza ndugu wa mke wangu bila kujua. Leo niko zangu nyumbani nashangaa mke wangu na mdada ambae nilikuwa nasikiliza wakipiga story huku wakija home nikawa nasikia sauti kwa mbaali mara nikaona mdada mmoja mrembo wakija home kwa lengo la kupajua.
Hivi kutongoza ni dhambi? Watu tumegonga mama mkwe kabisa,www vipi
 
Habari? Kama uzi unavyo jieleza hapo juu uliwezaje kukwepa fedhaha ya kumtongoza ndugu wa mkeo bila kujua? Leo mimi yamenikuta mwenzenu, nimemtongoza ndugu wa mke wangu bila kujua. Leo niko zangu nyumbani nashangaa mke wangu na mdada ambae nilikuwa nasikiliza wakipiga story huku wakija home nikawa nasikia sauti kwa mbaali mara nikaona mdada mmoja mrembo wakija home kwa lengo la kupajua.

Nikiwa nimetulia home nikawa nimechungulia nione wife anakuja na nani? Yahaulaaa !!!; Nikaona mdada mmoja mreembo! Kuangalia vizuri sinimdada niliye mtongoza [emoji23][emoji23], nikasema enheee kumekucha. Basi wakaingia ndani na mm hapo nikajikaza kiume, mara yule dada akashtuka kuniona na wife akauliza kwani mnafahamiana? Mimi nikajibu hapana.

Sikukaa sawa nikatambulishwa na mke wangu kuwa umemuona huyu mgeni? Huyu ni mama yangu yaani marehem mama yangu na huyu wanaitana dada yaani ni ukoo mmoja! Nikajisemea kirohoni si nimetongoza mama mkwe hapa! Sijui sura yangu nitaiweka wapi mimi! Aisee niliishi kwa kujificha ficha maana ilifikia kipindi najificha kwenye uvungu, dram za pombe endapo akija home [emoji1787][emoji1787][emoji1787].

Roho yangu ilifarijika siku alivyo ondoka, je' na wewe ulikwepaje misala ya kumtongoza ndugu wa mkeo? [emoji2960][emoji1787][emoji2960]
Aibu ya nini na mlikuwa hamjuani, je alikubali au alikuchomolea
 
Nakumbuka mwaka 2018 nilimtongoza shemeji akatia tiki na tulipo kuja kujua tukazungumza ikawa Siri
 
Mkuu, hilo jina lako "Zururu" ndiyo linamaanisha ile ile ya "Zururu" ninayolijua? [emoji12][emoji12]
 
Wakati unamtongoza kabla hujagundua kuwa ni Mama Mdogo alikuwa na mwelekeo wa kukubali ama kukataa?
Alikuwa anamuelekeo wa kukubali mkuu [emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom