intelelect
Senior Member
- Jul 8, 2022
- 190
- 288
Iko hivi wanawake ambao wapo single age 30 and above na waogopa sana, maana Kuna muda Kuna muda najiuliza itakuaje pisi Kali kama hii afu ipo single. Sasa unapokuja kuanzisha nae mahusiano ndo unajuta kutokana na vijitabia fulani vibovu.
Aisee ndo maana hawaolewi ,wanaume wanakuja wanaanzisha mahusiano wakishaona vijitabia flani vibovu wanapita hiviiii na kuchapa lapa.
Aisee ndo maana hawaolewi ,wanaume wanakuja wanaanzisha mahusiano wakishaona vijitabia flani vibovu wanapita hiviiii na kuchapa lapa.