Katika pitapita zangu kwenye idara, vyombo au taasisi zenye dhamana ya upatanisho wa migogoro ya wana ndoa, kwa tathimini ya haraka haraka na baadhi ya shuhuda kama Tano (5), nimejiridhisha pasi...
Mimi nimeoa na naishi ya familia yangu, wote tumeajiriwa ila wife ndiye aliyenifuata mahali ninafanyia kazi. Tumegombana na huwa tunagombana mara Kwa mara shida kubwa mwenzangu Huwa anamatumizi...
Chukulia scenario hii. Umemfahamu mwanamke mmoja mrembo hivi ambaye ulikuwa unajua anafahamiana na kaka yako ingawa ulidhani uhusiano wao ni urafiki tu na ujirani mwema.
Mazingira yakabadilika...
Hii ni story ya kweli nilisimuliwa na jamaa yangu nami naileta kwenu kama funzo.
Ilikuwa mwaka 2004 ujenzi wa barabara ya Shinyanga-Mwanza umepamba moto chini ya Grinaker LTA nami nikiwa...
Habari wazee, nimesoma baadhi ya visa vya mahusiano, kama una kisa chako uliwahi kuwa na mahusiano na mwanamke mpaka kufikiria kwenda kutoa barua hili mfunge ndoa lakini ukaja kugundua kumbe...
Operation imepamba moto, vijana wanahimizana kukataa ndoa kwa kutokuoa ila hakuna anayepinga kuhusu suala la kujaza ulimwengu. Mizagamuano na misuguano inaleta sio tu raha na burudani kwa...
Wanaume wenzangu! Legally or illegally tupambane tupate madaraka na tupate mshiko. Hebu inagine unakuwa Rais au kigogo... mizigo kama hii unaitafuna sana.
Ni kuagiza tu hawezi kukataa. Ukiangalia...
Wanajamvi natumai kwema kwa wote hata mimi pia.
Naomba kuuliza huu msemo wa kukosea kuoa ama kuolewa umeharibu maisha; Kimtazamo umekaaje...?
Mfano;Mimi nina mke 1, na mtoto 1, nina miaka 5 ktk...
Hellow,
Wadogo zetu tunawapenda sana tunawaambia kila siku gono now ndio ugonjwa ambao ume trend sana na watu hawajui.
Mimi mwaka jana nilitokea penda manzi mmoja ya tanga, lina minyama kama...
Ilikuwa mwaka Jana nilipokuwa nafanya kazi kwenye taasisi Fulani. Alikuja binti mmoja kuajiliwa Aneth (sio jina lake halisi), baada ya kuajiliwa ile taasisi ilikuwa na mambo ya hovyo Sana hasa kwa...
NILIMSABABISHIA MATESO MKE WANGU
Mkurugenzi mkuu wa "Merumba Group"alikuwa ofisini kwake akimsimulia binamu yake Richard mkasa uliomkuta miaka miwili iliyopita.
"Kuna mdada mrembo sana alikuja...
Mpenzi wangu ni mwalimu wa shule ya msingi, alikuwa kabla hajarudi nyumbani anapitia lodge na mwalimu mwenzie ndipo anarudi nyumbani.
Sasa kuna siku nilipewa taarifa na mwalimu mwenzake kuwa...
Jamani kwema?
Nilitoka kidogo nikaacha hela mezani,nikamsisitiza aongezee kiasi fulani kutoka kwenye vikoba vyao ili tupate mchele robo tule wali na chai asubuhi hii. Akaitikia sawa, narudi...
By Dr Levy
Kitaa ndoa nyingi zina migogoro kwa ‘ishu’ za kukurupuka. Kufanya papara bila kufahamiana vizuri. Kuna vitu vya msingi watu tunapaswa kufanya lakini tunavipuuza. Ujuaji mwingi na...
Maisha yanaenda kasi saana
Kuna dada fulani mtaani kwetu bado ni mgeni. Huyo dada na muonanaga anapita maeneo ya home kila siku asubuhi na jioni. Anatusalimia na kupita zake
Jana akapita baada...
Waliona walivyokuwa wakipendana
Wakawakubalia kuwa pamoja mwishoni
Wakafunga ndoa kubwa
Ilikuwa nderemo na vifijo, vibwebwe na vigoma
Wakapata watoto
Na wakaishi kwa furaha maisha yao yote...
Habari za wakati huu ndugu zangu
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30+ , sijaoa na wala sina mpenzi wakudumu yaani mwanamke wakuoa bado sijapata..
Nimekua nikikutana na hali ya huzuni sana na...
Hatari sana wakuu,
Ni hivi nilikuwa nina mpango wa kupata pesa fulani na wife alikuwa anajua hilo. Nilipata ile pesa ila kwa kuhafilika sikupata nafasi mzuri ya kumuambia wife.
Basi tangia jana...
Habari! Ni matumaini yangu mu wazima wa afya, kama kuna wagonjwa poleni sana; nawaombea mpate afya haraka kwa uwezo wa Mola!
Sasa, leo naomba tuzungumze kidogo kuhusu tabia za baadhi ya wanaume...
Habari zenu Wana Jf
Tumekuwa tuna ugomvi Mara kadhaa na wife me sio muongeaji Sana..nikionaga ugomvi ni mkubwa nakaa kimya au naondoka lkn Kama mmegombana usiku ujue uwezi kulala ataongea na...